Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya kuibuka Sakata la SATIVA (ambaye huko X anakwenda kwa @Sativa255), nimejikuta napata hamu ya kumjua zaidi muhusika na harakati zake, kikubwa nilichokiona baada ya kutembelea profile yake...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), leo Juni 29, 2024 ameungana na Wajumbe wengine kushiriki katika Kikao cha Kamati ya Siasa Wilaya Magu, jijini Mwanza...
1 Reactions
9 Replies
778 Views
1. Abstract The Tanzanian dream toward a republican constitutional democracy mandates each and every citizen, including the secret service staff, whose discipline is managed, based on the...
1 Reactions
1 Replies
681 Views
Hivi Rais anakaa katikati au pembeni? Naomba Wajuvi mnijibu…….
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Mahubiri yenu yanaikumbatia serikali. Hubirini HAKI, wizi wa mali za Umma , uuzwaji wa rasilimali za nchi, MaDc, RC, kuwaonea watu , report za CAG na vitu kama hivyo. Maadili si ushoga/ubakaji...
12 Reactions
35 Replies
1K Views
Kwanza, hakuna serikali inayokataa wananchi wake wasikosoe, ukosoaji upo lkn ukosoaji lazima uwe na staha, yaan constructive criticism. Kwa mfano kama wafanyabiashara wamegoma ukiamua kukosoa...
2 Reactions
18 Replies
440 Views
Dini zetu hizi mbili zilikuja na wakoloni (watesi) wetu. Viongozi wa dini waliishi nyumba na mtaa mmoja na wakoloni (watesi) wetu, walisali pamoja, walikula na kunywa pamoja na wakoloni...
1 Reactions
5 Replies
515 Views
Chonde chonde Rais Samia hata kama wamekuudhi vipi tafadhari tusiridi enzi zile za giza maana wawekezaji wataanza kukimbia tena tukose ajira kwa maelfu ambazo zipo sasa. Mahoteli yaliyofungwa...
-1 Reactions
3 Replies
433 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kinachopelekea na kuchochea maandamano,machafuko na vurugu katika nchi yoyote ile kwa wananchi wake kuanza kumwagika na kumiminika mitaani kuandamana na kufanya vurugu kwa...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Hapa Kenya mbunge mmoja na mkewe na Watoto wake na Wafanyakazi wake wamevaa t-shirt zenye bango la kuwaomba msamaha Wakenya wote kwa baba yao (mbunge) kupiga kura ya Ndio Finance Bill. Familia...
4 Reactions
2 Replies
353 Views
Andiko la Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Kutokana na ukame unaoikumba nchi ya Zambia, nchi hiyo imeingia makubaliano na Tanzania kununua tani 650,000 za mahindi kwa ajili ya kuwasaidia wananchi...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane katika uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina. Shime watanzania kila mtu aandike katika uzi huu maneno yafuatayo: "NASIMAMA...
20 Reactions
197 Replies
10K Views
Mpina hana Back up laiti angezaliwa Kenya angekuwa na kundi la watu milion 1 nyuma yake hao ni active, Kwa Bongo Mpina yuko mwenyewe sana sana ana Keybord Worrior nyuma yake wengi sana kama milion...
19 Reactions
106 Replies
4K Views
Watu maskini na wajinga usiwapatie demokrasia pana sana, maana wataitumia demokrasia hiyo kwenye kuandamana, kidai huduma na kugomea mipango yote ya serikali Kila siku bila wao kitimiza wajibu...
1 Reactions
8 Replies
463 Views
Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na...
20 Reactions
246 Replies
6K Views
Nakupongeza sana Samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya Africa n Africa kwa ujumla. Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara Kenya. Wachangiaji wamewaka hapa...
11 Reactions
68 Replies
3K Views
Watanzania tuwape majina mazuri watoto yanasaidia kutoka kimaisha mfano Raisi Samia anajiita Simba jike Mama Anna Semamba Makinda tafsiri yake kikwao ni Anna mtoto wa kike wa Mamba yaani Semamba...
1 Reactions
2 Replies
386 Views
Mbunge wa Kahama Kishimba amesema 90% ya Wataalam wetu wanajua Kusoma na Kuandika lakini hawana Maarifa yoyote Kishimba amesema mambo mengi ya maendeleo Kule chini yamekwamishwa na hao wanaojiita...
22 Reactions
115 Replies
5K Views
Mambo ni shaghala bhaghala kama nchi. Tanzania aichomoki kwa wahusika wa succession planning waliopo hawana clue dunia inazunguka vipi. Take it or leave it hata hao vijana wa kesho waliopewa...
2 Reactions
10 Replies
435 Views
https://m.youtube.com/watch?v=xEU5GWcrF_A Msikilize huyu bwana ambae amejaribu kukuza mambo not knowing kwa mujibu wa sheria anayosema ni matatizo. Kutotunza nyaraka na kuwapa TRA deni, ambalo...
1 Reactions
4 Replies
442 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…