Salaam Mama Rais Samia.
Wakati yalipoanza matukio ya utekaji kipindi cha Serikali ya awamu ya 5; yalikuwa ni matukio mageni. Walakini kama vile hayataki yakawa mazoea kabla ya kuota mizizi...
Baada ya kifo cha Magufuli Zanzibar imekuwa na mabadiliko makubwa kiuchumi, barabara zumepigwa lami nyingi sana. Hawajaanza kuchimba mafuta, zile pesa wamezitoa wapi? Ji ukweli Samia kuna namna...
Ukiwa Mkuu wa mkoa ukijishusha, cheo hakiondoki
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amesema hapendezwi na wakuu wa Mikoa nchini...
Mara zote Huwa nasema Demokrasia haifai kabisa Kwa Nchi maskini na Zenye watu wajinga na wapuuzi ambao hawako tayari kushauriana Bali wanajali matumizi ya Nguvu zaidi.
Sasa Kwa hiki...
Hebu tuwe wakweli ndugu zangu watanzania, ni kweli hakuna jema linalofanywa na Serikali yetu? Mbona asilimia kubwa humu tunapenda kulaumu sana.
Sijasema viongozi wetu ni malaika hapana, lakini ni...
Habari wakuu!
Huenda ulikuwa mgomo wa siku tatu.
Huenda siasa imeingilia suala hili
Huenda pumzi imekata.
Wachambuzi wa masuala ya migomo na maandamano wanaeleza kuwa mgomo huu wa wakariakoo...
The government is always there for welfare maximization but not profit maximization. Sasa kwa nini serikali huwa haifikiri kuwa na bank yake ya biashara ili wananchi wawese kuinjoy welfare hiyo...
Nilisiliza maelezo ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba Bungeni kuhusu mikopo umiza na wanaofanya biashara ya kukopesha bila leseni, na pia nimesoma tangazo la Benk Kuu(BoT) la tarehe 13/05/2024...
Ukifika Zanzibar na kujitambulisha wewe ni mhubiri au muumini thabiti wa dini fulani (tofauti na dini inayotawala zaidi pale Zanzibar) umekuja kwa shughuli ya kueneza habari njema kwa watu wote...
Imeandikwa na Boniface Jacob
1. Kabla ya mgomo Wafanyabiashara wamekaa vikao zaidi ya 10 na mamlaka ya mapato TRA, hawakupata majibu.
2. Kabla ya mgomo Wafanyabiashara wamekaa vikao na serikali...
Nitoe wito Kwa Viongozi wa Serikali wasihamgaike na hao wafanyabiashara wanaotumika Kisiasa.
Wacheni wafunge biashara Kwa sababu njaa itawarudisha sokoni bila hata Nguvu.
Huwezi ukajua na madai...
Sisi Watanzani ni waoga sana. Inafahamika kuwa ni jukumu la serikali kujua mstakabali wa vijana na kama imeshindwa suwala zima la kujua ustawi wetu na haisemi ni wajibu wetu kuingia barabarani...
Mara kadhaa nimeongea kwamba mifumo ya Nchi za Magharibi na Demokrasia Yao haiwezi fanya kazi Afrika.Huwezi weka mifumo Yao ya Utawala kwenye jamii ya wajinga, njaa na wasiojitambua.
Matokeo yake...
Jeshi letu limetutenga Watanzania.
Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.
Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
SOLOMON Stockbrokers Limited
Member of Dar es Salaam Stock Exchange
Authorized Dealer of Government Securities
www.solomon.co.tz
e-Market Report
Reach | Access | Invest™ Thursday, June 27, 2024...
MOJA YA MAMBO YALIYONIFANYA NICHUKIE AWAMU YA TANO NI SUALA LA UTEKAJI. HATA KAMA WAKOSOAJI NI WAPUMBAVU BASI USITUMIKE UPUMBAVU KUKABILIANA NAO.
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Suleiman...
Mnamo tarehe 29/03/2021 niliikosoa hadharani hotuba ya kwanza kabisa ya Rais wa JMT Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani nilimweleza wazi kwamba sera zake za uchumi hazina tija kwa baadaye na...
Vijana wa Gen Z jana walikuwa wanafuatilia Kwa makini Mdahalo wa Wazee wawili wanaogombea Urais wa Marekani
Gen Z wamesema kasi ya Wazee katika jambo lolote haiwezi kuendana na Kasi ya Dunia ya...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol unawezaje kukubali Kituo cha Polisi kutumika na genge la watekaji? Unajisikiaje raia ambaye anapaswa kujiona salama kituoni akiteswa kutoka kituoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.