johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 86,423
- 147,100
Mbunge wa Kahama Kishimba amesema 90% ya Wataalam wetu wanajua Kusoma na Kuandika lakini hawana Maarifa yoyote
Kishimba amesema mambo mengi ya maendeleo Kule chini yamekwamishwa na hao wanaojiita Wataalam
Kishimba amesema mfano fedha yote aliyotoa mama Samia kwa ajili ya ujenzi wa Shule zaidi ya tsh trillion 1 na ushee ambayo ni mkopo wameenda kumpa Dangote na Wachina wa ALAF ilhali Matofari ya kuchoma ni Bora na kuna Majengo ya Shule na Makanisa Yana zaidi ya miaka 100 sasa
Kishimba Amelia Kuwa watakaolopa fedha ya mkopo aliyopewa Dangote ni Watoto na Wajukuu zetu, tujaribu kuwahurumia
Source Bungeni