Kwanza, ninaomba kutangaza "Conflict of Interest" katika jambo hili. Ninaandika haya baada ya kuwa mimi ni sehemu ya waathirika wa mfumo wa elimu unaotolewa na Chuo cha Ustawi wa Jamii.
Nilikuwa...
Tanzania ipo katika giza nene la kiutawala. Tatizo kubwa ni Serikali na watawala.
Watanzania tunalalamikia katiba mbaya, lakini ukweli ulio wazi, hata hiyo katiba yenye kasoro nyingi, haifuatwi...
Ndugu zangu Watanzania,
Habari ni kuwa Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Mwenyekiti wa CCM Taifa, ambaye pia ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi...
Maandamano yanayoendelea nchini Kenya, binafsi hayajanivutia kwa sababu hayana lengo linaloeleweka.
Uharibifu unaofanywa na waandamanaji kama kuiba na kupora Mali za watu hii inaonyesha...
Walianza zamani kuonesha wao wako mbele kisiasa walipoitoa KANU madarakani na KANU ikakubaliana na matokeo.
Sisi mpaka sasa CCM Bado inasema yenyewe ikitoka madarakani nchi itaingia vitani...
Salaam, Shalom!!
Ukihesabu ziara alizofanya kiongozi wetu mkuu, Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla, amekwenda mara nyingi zaidi kuliko maeneo mengine,
Wananchi tunajiuliza, katika mikoa 26...
Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa imesema kitendo Cha Wagombea kugawa Fedha, Nguo na Chakula Kwa Wapiga kura kinadhalilisha Utu wa Mtu
Source: Mwanzo Tv Plus
Waione Sugu na Lucas
Mlale...
Wengi wanakosea Kwa kuwafananisha Generation Z na Generation CHAWA
Gen Z ni Vijana Wadogo na Wengi wao wamezaliwa kuanzia 1997
CHAWA ni mchanganyiko Maalum wa Vijana, Wazee na akina mama
Hivyo...
Alhaj Adam Kimbisa - CCM imekosa mvuto, kimechoka
Mwanachama mkongwe Alhaj
Adam Kimbisa akitoa ushahidi wa CCM mkoa wa Dodoma kuishiwa pumzi ni takwimu za kura za urais 2015 mkoa wa Dodoma...
Ndugu zangu Watanzania,
Msemaji mkuu wa serikali atazungumza na waandishi wa habari jioni hii,ambapo atakuwa live au mbashara kupitia vyombo vyote vya habari hapa Nchini yaani vile vya serikali...
Baraza la Maaskofu limesema linaunga mkono maandamano ya Gen Z ila yawe ya Amani
Kadhalika Tume Huru ya uchaguzi ifanyiwe marekebisho makubwa ikiwemo kupewa Meno ya kuwafukuza Wabunge
Source...
Kenya wana mtu ana controo bajeti, huyu ndie anaamua bajeti ya taasisi zote iwe Bunge au Ikulu au Mahakama ni independent na hawajibiki kwa mtu yoyote yule.
Sasa juzi kati Ikulu ya Oenya iliomba...
Muda mfupi uliopita nilikuwa kwenye daladala ya kutoka Gongolamboto kuelekea mjini.
Kwa sasa asilimia kubwa ya njia hiyo huwezi kukosa foleni Kwa sababu ya ujenzi unaoendelea.
Na Kwa sababu ya...
Fuatilia kwa umakini maswali anayo muuliza.
Kitalaamu tunaita leading questions.
Yaani anamuuliza maswali ya majibu aliyonayo tayari .
Lafudhi yake tu. Inaonyesha sio mtu wa Katavi.
Cc Jebra...
Suala la Mpina halipuuziki. Sema nasi tusikie. Mbunge Luhaga J. Mpina alidai bungeni kuwa Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amelidanganya Bunge kuhusu sakata la uingizwaji wa sukari nchini. Alidai...
Naweza kusema kwamba, tunahatua kubwa sana kujifunza kutoka kwa majirani zetu Kenya! Kodi na ama ongezeko lolote la kikodi litokanazo na bidhaa, humlenga moja kwa moja mlaji na siyo mfanya...
Huo ndio ukweli mchungu
Hata yaliyotokea Kenya Finance Bill kukataliwa ingekuwa ni Tanzania Rais angevunja Bunge
Lakini Kenya Gachagua anataka Mkurugenzi wa Intelligence Nurdin Haji ndio...
Binafsi sioni umuhimu wa kuwa na bandari. Kama bandari inatoa ajira hata tukiiuza mwekezaji ataajiri pia.
Kama Watanzania tulipaswa kuwa na unafuu wa katika manunuzi ya bidhaa kuliko nchi nyingi...
Maandamano ya vijana wa Kenya ya kupinga mswada wa sheria ya kodi 2024/2025 yaliyanza kwa amani, na baadaye yameishia kwenye maafa. Lakini inaelezwa kuwa chanzo ni baada ya Polisi kumwua kijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.