Ushauri wangu kwa mliochagua kuipinga Serikali

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,696
Kwanza, hakuna serikali inayokataa wananchi wake wasikosoe, ukosoaji upo lkn ukosoaji lazima uwe na staha, yaan constructive criticism.
Kwa mfano kama wafanyabiashara wamegoma ukiamua kukosoa unasema t kwa hapa serikali imekosea hiki na kile na unadhan wakifanya vile itakuwa vzr, ushauri wako utapokelewa vzr t.

Lakini unakosoa serikali huku ukiita viongozi wake wapumbavu, washenzi, wezi, wamejaa rushwa na matusi kibao hapo lazima utashughulikiwa

Hata nyiw Chadema, mbona watu wakimpimga Mbowe nyie mnawatukana, mnawapiga, mnawatenga sembuse serikali

Hv kwa mfano Rais wenu angekuwa Mr.Sugu, halaf mm najitokeza hadharani namtukana Rais Sugu kuwa ni shoga, ni mnyakyusa, hana uwezo wa kuongoza nchi, yaan kila anachosema Rais Sugu mm najitokeza kum crush.

Nyie mngeniacha niendelee kuchafua serikali ya Sugu?

Hakuna serikali hiyo duniani, lazima tuiheshimu serikali na tuikosoe kwa staha kwa nia ya kujenga.

Dhamira yoyote ya serikali duniani ni happiness kwa wananchi wake.Mliosoma Jurisprudence mnajua nikisema Utilitarianism.Serikali inapanga mipango mizuri lakn wapo baadhi ya watendaji wake sio waaminifu, sasa Rais asilaumiwe kwa uzembe wa watendaji, amewawajibisha na bado kazi inaendelea.

Tuache matusi, kebehi,dharau, udhalilishaji na upinzani wa kifala dhidi ya Serikali.

Mnatukuna serikali na kuchonganisha na wananchi wake halafu mnalalamika kuwa mnawindwa, cjui mnatekwa wakati mnajiteka wenyewe. Huo ndio ushauri wangu kwa wale radicals.
 
Hakuna serikali hiyo duniani,
Zipo serikali ambazo raia wanawatukana viongozi, wanawakejeli na kuwasema kwa kila maneno mabaya. Mfano ni Marekani na Kenya.
 
Hakuna serikali hiyo duniani
Ziweke data zako vizuri; hapo Kenya tu mfano hai. Viongozi wanaitwa majina zaidi ya hayo na hakuna upuuzi kama unaofanywa hapa.
Huko kulikoendelea ni balaa lakini mambo yanaenda.

Ni hapa kwetu na pengine penye udikteta, lakini pale ambapo demokrasia imekomaa, hayo unayosema ni mambo madogo.

Huwezi kutumia rasilimali za nchi kwa ajili ya kumshughulikia mtu aliyemwita kiongozi, mpumbavu kama wewe si mpumbavu!
 
Watu wabishane kwa hoja. Ila mbona nyie viongozi mnawatuma UVCCM wawatukane wapinzani wenu na nyie muwajibishwe na nani?
 
Zipo serikali ambazo raia wanawatukana viongozi, wanawakejeli na kuwasema kwa kila maneno mabaya. Mfano ni Marekani na Kenya.
Naam. Kila penye demokrasia, mambo hayo ni kawaida.
Ila hapa kuna demokrasia ya mchongo ndiyo maana vitu vidogo vinawasumbua.
 
Kwanza, hakuna serikali inayokataa wananchi wake wasikosoe, ukosoaji upo lkn ukosoaji lazima uwe na staha, yaan constructive criticism.
Kwa mfano kama wafanyabiashara wamegoma ukiamua kukosoa unasema t kwa hapa serikali imekosea hiki na kile na unadhan wakifanya vile itakuwa vzr, ushauri wako utapokelewa vzr t.

Lakini unakosoa serikali huku ukiita viongozi wake wapumbavu, washenzi, wezi, wamejaa rushwa na matusi kibao hapo lazima utashughulikiwa

Hata nyiw Chadema, mbona watu wakimpimga Mbowe nyie mnawatukana, mnawapiga, mnawatenga sembuse serikali

Hv kwa mfano Rais wenu angekuwa Mr.Sugu, halaf mm najitokeza hadharani namtukana Rais Sugu kuwa ni shoga, ni mnyakyusa, hana uwezo wa kuongoza nchi, yaan kila anachosema Rais Sugu mm najitokeza kum crush.

Nyie mngeniacha niendelee kuchafua serikali ya Sugu?

Hakuna serikali hiyo duniani, lazima tuiheshimu serikali na tuikosoe kwa staha kwa nia ya kujenga.

Dhamira yoyote ya serikali duniani ni happiness kwa wananchi wake.Mliosoma Jurisprudence mnajua nikisema Utilitarianism.Serikali inapanga mipango mizuri lakn wapo baadhi ya watendaji wake sio waaminifu, sasa Rais asilaumiwe kwa uzembe wa watendaji, amewawajibisha na bado kazi inaendelea.

Tuache matusi, kebehi,dharau, udhalilishaji na upinzani wa kifala dhidi ya Serikali.

Mnatukuna serikali na kuchonganisha na wananchi wake halafu mnalalamika kuwa mnawindwa, cjui mnatekwa wakati mnajiteka wenyewe. Huo ndio ushauri wangu kwa wale radicals.
Sasa Mpina kamtukana nani?
 
Jina lingine la mtu mwizi au Mla Rushwa ni lipi ili.wasiwaudhi wakosoaji?
 
Sawa walikuwepo akina Hitler nao walipita.

Kipi kinakufanya wewe ujione ni bora sana kuliko miamba akina Musolin?
 
Dhamira yoyote ya serikali duniani ni happiness kwa wananchi wake.Mliosoma Jurisprudence mnajua nikisema Utilitarianism.Serikali inapanga mipango mizuri lakn wapo baadhi ya watendaji wake sio waaminifu, sasa Rais asilaumiwe kwa uzembe wa watendaji, amewawajibisha na bado kazi inaendelea.
Sio kweli
 
Siungi mkono matusi kutoka pande yeyote ile 🙄

Iwe ni kutoka upinzani au chama tawala
Matusi hayafai na sio utamaduni wetu !
Lakini nashangaa pande zote hizo mbili zimeshamiri kwa matusi !
Wengine wanatukana mpaka Wazee ambao ni sawa na Babu zao !

Mungu anawaona na iko siku atawatia mikononi mwake !
Mtajuta !
 
Magu: Ni uwendawazimu Kusaini mkataba mbovu wa Bandari ya bagamoyo.

Sasa tusi hapo ni lipi, kukosoa hapo ni kupi?

Hapo Magu alikosea wapi?
 
Back
Top Bottom