Kijana aliyetekwa katolewa oysterbay Dar es Salaam kapelekwa Arusha, swali ka kujiuliza Arusha kuna nini mpaka mtu atekwe kiharamia apelekwe huko?
Lakin jambo lingine la ajabu who is Sativa? Nina...
Katika majimbo yanayoleta changamoto kubwa kwa CCM nyakati za uchaguzi ni jimbo la Arusha mjini. Kibaya zaidi changamoto kubwa huwa ni ndani ya CCM kwenyewe wakati wa kupata mgombea ubunge kupitia...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ataandikwa kwenye kumbukumbu za historia za viongozi shupavu wa nchi hii kwa namna alivyothubutu kuchochea mageuzi na mabadiliko katika kilimo kwa bajeti ndogo tu...
Hili taifa kama tunaendelea kusingizia amani ndio tunu huku viongozi mafisadi wakineemeka kwa upole wetu tutaangamia
Kigezo cha amani ndio imekuwa silaha ya wanyonyaji nchi hii,jambo moja...
Msanifu wa majengo Arch. Yassin Mringo kutoka kampuni ya Y&P Architect aeleza kwa undani kuhusu jengo tarajiwa.
https://m.youtube.com/watch?v=szHwN2oBSbo
Kampuni ya Y&P Architects (T) Ltd ni...
Akichangia mjadala wa bajeti kuu ya serikali mbunge wa gairo mheshimiwa shabiby amesema kumeibuka wimbi la wasifiaji wa kila kitu na kusema kweli zile sifa hazitoki moyoni bali wanasifia kwa...
Salam ndugu zangu wa Tanzania.
Tanzania ni nchi nzuri sana pengine kuliko nchi nyingine yoyote katika ukanda wa maziwa makuu na Jangwa la Sahara.
Ukiangalia bendera Ramani na Historia ya...
Tetesi zimezagaa Luhaga Mpina hayupo mwenyewe na kuna kundi la wabunge walishirikiana naye kuandaa ile ripoti yake na bado wapo naye. Inadaiwa walikutana Dodoma eneo la Espirancee na kufanya...
Ni kana kwamba makada wa chama changu ccm wanadmfukuzana na muda kwa kukopa na kukuza deni la taifa kuwa kasi sana huku rasilimali zikibebwa na wageni KWA kisingizio cha mikataba ya uwekezaji...
1. Hawawezi kujifunza lolote. Kwa nini wakose la kujifunza?
JIBU:
Watawala, CCM for that matter, walihakikishiwa na Kenyatta enzi hizoza uhai wake kuwa
.1. WATANZANIA NI MAITI, HAWAWEZI...
Tunataka chunguzi kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa kwa Edgar Mwakabela
ACT Wazalendo tunalaani na kukemea vikali tukio la kutekwa, kuteswa na kuumizwa vibaya kwa kijana Edgar Mwakabela, mtandaoni...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba akitoa ufanunuzi wa hoja zilizoibuliwa na Wabunge kuhusu Bajeti ya Serikali, amesema Shilingi ya Tanzania inatakiwa kutumika kwenye maeneo yote ya ndani ya...
"Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa...
Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba...
Wakati hapa Tanzania Watu wanajadili kutekwa Kwa Mwakalebela huko Ubungo na kukutwa Katavi ametupwa huko Kenya nako hakuko poa
Naibu Rais mh Gachagua amewalaani Polisi waliomteka mtoto wa...
Waziri Dotto Biteko ambaye pia ni Naibu Waziri mMkuu ameituliza sana Wizara ya Nishati iliyokuwa imeharibiwa vibaya kwa ufisadi na January Makamba. Foleni za kugombea mafuta hazionekani tena pia...
Tukitaka kuwa wakweli kwa nafsi zetu, Bunge la Tanzania la sasa halina faida wala msaada kwa Watanzania. Nina hakika hata kama lisingekuwepo, hakuna ambacho kingebadilika. Hili ni Bunge ambalo...
Naomba niende Moja Kwa Moja kama kichwa Cha habar kinavyojieleza,Kuna MIKOPO hii ya kwenye mtandao,hasa unapotuma Hela pale unapo pungukiwa basi waanakuboost,ni jambo jema shida inakuja hasa pale...
Kwa nature ya watanzania ni ngumu sana kufanikisha lengo lako la kubadili mambo unayoona si sawa kwenye serikali.
Tofauti na Kenya ambapo wana umoja unaounganishwa na ukabila na factors zingine...
Serikali imesema kuwa mwaka 2017 kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa biashara, ilitoa mwongozo wa pamoja wenye dhima ya kuunganisha tozo na kodi mbalimbali kwa nia ya kupunguza wingi wa tozo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.