BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,712
- 6,505
Kenya wana mtu ana controo bajeti, huyu ndie anaamua bajeti ya taasisi zote iwe Bunge au Ikulu au Mahakama ni independent na hawajibiki kwa mtu yoyote yule.
Sasa juzi kati Ikulu ya Oenya iliomba peaa zaidi, kwa ajili ya matumizi ya Ikulu, Mdhibiti wa Bajeti kachomoa.
Sasa Piga Picha Tanzania, je nani ana idhinisha bajeti zaidi ya Ikulu? ni Raisi mwenyewe au ni nani? Tukidai katiba mpya wajinga wanakuja na hoja za kipuuzi mno kwamba raia hawali katiba mpya.