Orodha hii ya majina imezingatia zaidi vita dhidi ya Ufisadi na Mafisadi ndani ya Tanzania.
Majina haya kwa nyakati tofauti tofauti na maeneo tofauti tofauti yamepambana na rushwa wala rushwa...
Tumesikia wote kuwa mkuu wa Polisi Kenya kaamua kuwajibika kutokana na matendo ya polisi wakati wa maandamano ya GEN.Z na kupisha wengine.
Je, wa kwetu yeye anasubiri nini kwa matukio haya yaliyo...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mwamba wa siasa za kisasa Barani Africa, Freeman Mbowe leo 14/07/2024 amefika Siha Mkoani Kilimanjaro, Katika Mwendelezo wa Chama chake kufundisha wananchi...
Mkoa wenu kabla ya kuitwa Katavi ulikuwa sehemu ya Mkoa wa Rukwa, huko wamekuwepo viongozi wakubwa tu, wakiwemo Mzindakaya na Mizengo Pinda aliyefika juu hadi kuwa Waziri Mkuu, Pinda amekuwa...
Ni muhimu ubalozi wa Tanzania Nchini marekani ukatuwakilisha vyema kwa kutoa tamko rasmi la jinsi mwenendo wa uchaguzi unavyoendelea nchini Marekani.
Ni muhimu kuwaasa wagombea urais huko...
Niwaombe sana viongozi na makada wa CCM ngazi za wilaya na kata, msijifichie kwenye mwamvuli wa kufuatilia utekelezaji wa ilani ya chama kwa kunyanyasa wengine.
Jueni mipaka yenu makada wenzangu...
Mwenye macho haambiwi tazama kwa mfumo wa uongozi wa taifa letu ambapo rais anakuwa na nguvu nyingi kiwango kinachomfanya hata asie mkubali kujipendekeza kwake ni ngumu sana kwa wapinzani...
Salaam,Shalom!!
Ile Hali ya wanasiasa kujifanya viziwi Kwa kutosikiza MAONI ya wananchi ambao ndio hasa boss wao, imesababisha Bunge kutekwa kuchomwa na waandamanaji baada ya Polisi kuzidiwa...
Katika dunia ya leo yenye vitu "sophsticated" viongozi huwa wanajiamini vipi kutembea kwenye magari ya wazi?
Mtu mwenye nia mbaya na alietayari kwa lolote, katika mazingira haya anashindwa...
Rais Samia salaam!
Ni furaha kuona umekuja kutembelea mkoa wetu wa Katavi. Furaha imetuelemea tuliposikia kwamba safari yako ni ya kichama zaidi na sio kiserikali ingawa ni vigumu kutofautisha...
Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini mh Godbless Lema ameonya 2025 hatakubali kuibiwa kura
Lema amesema yeye atamuiba mwizi wa kura zake
Angalizo limetolewa ukurasani X
Nawatakia Dominica Njema 😄
Kutoka Ukurasa wa Boniface Jacob Mtandao wa X: SIKU 280 TANGU APOTEE ADINANI HUSSEIN MBEZI MIKONONI MWA POLISI
Maarufu kama (ADAM),umri wa miaka 32,mkazi wa Kinyerezi,mtaa wa Faru,Jimbo la...
Salaam, Shalom!!
Miaka mitano, ni muda unaotosha kabisa kutimiza kusudi na malengo na KAZI ambayo mbunge amepewa na wananchi.
Ikiwa miaka mitano pekee, ya Rais Magufuli, ilitosha kuonyesha...
Kiukweli mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe asiwadanganye wanachama wake, Kilimanjaro na Arusha CCM ni Imara sana
Jimbo pekee lenye changamoto ni Karatu Arusha lakini Majimbo yote ya Kilimanjaro ni...
Mheshimiwa Rais ya JMT pole na majukumu ya ujenzi wa taifa letu pendwa. Kazi unayofanya wenye akili timamu wanaiona na tunakuhakikishia kuwa mwaka 2025 utakuwa wa neema kubwa sana kwa chama na...
Daraja la J.P.Magufuli (Kigongo-Busisi) ni la 1 kwa urefu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kati. Litaondoa tabu ya wananchi kutumia dakika 120 (masaa mawili) kusubiri kivuko hadi DAKIKA 4 tu...
Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka.
Mwanahabari Ansbert Ngurumo...
Nauliza swali hili very technically
Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza
Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe...
Fatuma KArume: Jana kwenye mdahalo wa TLS nimewasikiliza wagombea wa Urais wote na nimewauliza:
*Mnaelewa mnataka URAIS wa TLS ya Serikali lakini inayolipiwa na mawakili?
*TLS haiwezi kutunga...