Ombi: Rais Samia tunaomba Vunjo iwe Wilaya

Ombi: Rais Samia tunaomba Vunjo iwe Wilaya

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
7,237
Reaction score
4,347
Mheshimiwa Rais ya JMT pole na majukumu ya ujenzi wa taifa letu pendwa. Kazi unayofanya wenye akili timamu wanaiona na tunakuhakikishia kuwa mwaka 2025 utakuwa wa neema kubwa sana kwa chama na serikali unayoingoza.

Mimi ni mkazi wa jimbo la Vunjo. Hili jimbo mheshimiwa Rais ni eneo pekee hapa nchini lenye miji midogo mitatu(Himo, Marangu Mtoni na Njia Panda) na wapiga kura zaidi ya laki tano lakini sio wilaya inayojitegemea .

Ikumbukwe ya kwamba njia kuu ya kupanda mlima Kilimanjaro iko kwenye hili jimbo.

Mheshimiwa Rais,hili jimbo la Vunjo lina shule za sekondari zaidi ya mbili kwa kila kata na taasisi za elimu za kutosha, mfano chuo cha Ualimu Marangu na Mandaka .

Kutokana na uhalisia ya kwamba jimbo la Vunjo ni moja ya majimbo yanayostahili kuwa na wilaya inayojitegemea kama ikukupendeza Mheshimwa Rais tunaomba zawadi pekee kwa wanavunjo ni kutupataia mamlaka kamili kama Wilaya.
 
Hizo kazi anazofanya mnaziona wewe na mumeo, Moshi ulikuwa ni mji wa kisasa sahivi umekuwa mji wa hovyo kupita kiasi halafu unasema kazi unaziona, kwa vile amekuruhusu uibe bila kukamatwa ndiyo kazi zake unaziona. Shame on you
 
Unakuwa kama ombaomba wa mtaani.
Kwani ukielezea jambo bila kujikombakomba kama unataka kufanyiwa hisani kuna shida gani? unakuwa kama sio mchaga aseee.

Njoo Mombasa highway hapa kumeshaanza kuchangamka.
Hawa UWT akili zao zinawaza kuiba na kusifia pekee
 
Unakuwa kama ombaomba wa mtaani.
Kwani ukielezea jambo bila kujikombakomba kama unataka kufanyiwa hisani kuna shida gani? unakuwa kama sio mchaga aseee.

Njoo Mombasa highway hapa kumeshaanza kuchangamka.
Kuna omba omba kama wachagga ,si nyie mnasilimia wototo shikamoo kwa kuwa tu anao uwezo ? Kimsingi ni kabila pekee baba anakuwa chawa wa mtoto kisa ni pesa ,mnatia aibu aisee.Hapo mombasa mbona ni pachafu kupindukia ,mchoma nyama anakatakata nyama wakati huo huo anahesabu fedha.Kwa kifupi sitaweza kufitahia kupata starehe eneo la ovyo kama hapo highway Mombasa
 
Mheshimiwa Rais ya JMT pole na majukumu ya ujenzi wa taifa letu pendwa.Kazi unayofanya wenye akili timamu wanaiona na tunakuhakikishia kuwa mwaka 2025 utakuwa wa neema kubwa sana kwa chama na serikali unayoingoza.
Mimi ni mkazi wa jimbo la Vunjo .Hili jimbo mheshimiwa Rais ni eneo pekee hapa nchini lenye miji midogo mitatu(Himo,Marangu mtoni na Njia Panda) na wapiga kura zaidi ya laki tano lakini sio wilaya inayojitegemea .
Ikumbukwe ya kwamba njia kuu ya kupanda mlima Kilimanjaro iko kwenye hili jimbo.
Mheshimiwa Rais ,hili jimbo la Vunjo lina shule za sekondari zaidi ya mbili kwa kila kata na taasisi za elimu za kutosha ,mfano chuo cha ualimu marangu na Mandaka .
Kutokana na uhalisia ya kwamba jimbo la Vunjo ni moja ya majimbo yanayostahili kuwa na wilaya inayojitegemea kama ikukupendeza Mheshimwa Rais tunaomba zawadi pekee kwa wanavunjo ni kutupataia mamlaka kamili kama Wilaya.
Leka usawa meku. Nkiki ukundi? Nonengo kiki ulalu? Mbese mnducho aende lumkundifo.
 
Kuna omba omba kama wachagga ,si nyie mnasilimia wototo shikamoo kwa kuwa tu anao uwezo ? Kimsingi ni kabila pekee baba anakuwa chawa wa mtoto kisa ni pesa ,mnatia aibu aisee.Hapo mombasa mbona ni pachafu kupindukia ,mchoma nyama anakatakata nyama wakati huo huo anahesabu fedha.Kwa kifupi sitaweza kufitahia kupata starehe eneo la ovyo kama hapo highway Mombasa
In short wewe ni mwalimu.
Acha kuwa ombaomba.
 
Mzee mbowe hivi aliwapa nini nyie wachagga wa ovyo ? Inakuaje mnakuwa mfuasi wa mzee aliefeli form six?
Mumeo aliyefaulu Form Six ana nini? Mbowe ni mwekezaji mkubwa mpaka nje na ametoa ajira kwa watanzania wengi, mlipa kodi, alifilisiwa kwa kutetea rasilimali za taifa, wewe na mumeo mmefanya nini kwa nchi hii? wewe unaloga na kujipendekeza ukafanye kazi BoT mwenzako aliacha kazi kwa hiari. Shame on you
 
Sidhani hata kama anafahamu uwezo wa mbowe.
 
Huyu nadhani wa primary au sekondari akitoka nje ya hapo ni mwenyekiti wa kitongoji( hawa ndo wapumbavu wa mwisho hapa tanzania)
Hajui hata huo ualimu ni haki yake yeye anachukulia ni hisani ya Rais, tuna mfumo wa elimu mbovu haswa unazalisha wajinga kama hawa
 
Leka usawa meku. Nkiki ukundi? Nonengo kiki ulalu? Mbese mnducho aende lumkundifo.
Lekenye utondo ,kundu kulaore utondo wa upinzani kuendelea kila siku,mfano mkoa wa pwani ,Morogoro,Mbeya ,na Songea wai kuleshi kapisa .Baada ya miaka ishiri mkoa wpnkilomanjaro utakuwa wa mwisho kimaendeleo ,nyoo endeleeni iseka na masembo (upinzani) ,waiteseka na wanawaru
 
Sidhani hata kama anafahamu uwezo wa mbowe.
Upi huo ,ameridhi hela za baba na amerithi chama toka kwa mkwe,huyu mbowe juzi ndio kajenga nyumbani kwake kule machame mzee bado alikuwa anishi kwenye nyumba ya familia hata baada ya kuvuka miaka sitini .Nionyeshe kitu kimoja tu ambacho mzee mbowe amekiqnzisha na kikafanikiwa.
 
Lekenye utondo ,kundu kulaore utondo wa upinzani kuendelea kila siku,mfano mkoa wa pwani ,Morogoro,Mbeya ,na Songea wai kuleshi kapisa .Baada ya miaka ishiri mkoa wpnkilomanjaro utakuwa wa mwisho kimaendeleo ,nyoo endeleeni iseka na masembo (upinzani) ,waiteseka na wanawaru
Koifo nukundi ifo koryu tupu kuendelee na chi Tanzania yosenyi? Nuonyi chandu mnduchu ailuiwia? Muwese aende mleu lumkundifo.
 
Anaujua sn, hata maza ake anatamani angezaa na Mbowe badala ya dingi ake apate unafuu wa maisha
Mkuu Mzee Mbowe amefanya nini kama urithi kwa wanae,tunaomjua ninkuwa yeye alirithi hela za kutosha toka kwa mzazi wake na chama pia amerithi toka kwa baba mkwe .Hapa vipi mzee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom