Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ana Makamu wake (Zanzibar)
Dk. Ali Moahammed Shein wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa
Baraza la ushauri la viongozi wastaafu wa CCM...
Siku hizi imekua kawaida kwenye kila tukio hata ya kawaida tu ya muheshimiwa Rais wakuu wa Mihimili yote muhimu wanakua paraded Mbele yake kuanzia Spika , Jaji Mkuu , Mkuu wa Majeshi , Usalama...
Inasemekana kuwa umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) leo wamekodi mabasi mengi ya kwenda Morogoro kupeleka vijana wengi wakiwamo wanafunzi uwanja wa Taifa kwa Mkapa kwa ajili ya jambo...
Jamani naomba kufahamu. Kwenye Bango la Mgombea Urais Bw. Magufuli jina lake kwenye herufi M limewekewa alama ya mwenge.
Ndiyo nauliza nini maana yake? Nia yangu nisije nikakosea badae kuliandika...
Kama mada inavyojieleza hapo juu natamani tuondokane na siasa za mihemko tuje kwenye siasa za hoja. Kuna wanaJF wanatamani kuamua nani wamchague na nani kwa sababu zipi. Nataka tusaidiane kupata...
MWENYEKITI CHADEMA MBEYA DC AWAKUMBUSHA WANAKYELA JINI MAGUFULI ALIVYODHIHIRISHA KUWA CCM IMEKUFA
Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Mbeya vijijini Getruda Japhet Lengesela
Akizungumza kwenye...
waTanzania wengi tumekuwa tukitoa maoni yetu Kwa nia njema. Ingawa kila unapotoa maoni yako wengine wanaona maoni hayo hayafai kutolewa sielewi Kwanini?
Kwa mfano watu wengi walikuwa wanatoa...
Salaam, Shalom!!
Nimelazimika kupandisha mada hii baada ya kusoma comment ya mdau wa JF aitwaye Voice of Tanzania alipokuwa akichangia mada katika thread isomekayo,
Ni Lini Serikali ya CCM...
Mehbub Yusufali Manji: Businessman
Details: The Manji family is one of the richest in Tanzania. It started Quality Group Limited, the country's major conglomerate with interests ranging from...
Kuna tofauti kubwa kati ya Uadilifu na Uchapa kazi. Hayo ni mambo mawili tofauti. Viongozi wengi wako katika makundi mawili
1. Viongozi waadilifu lakini hawana maarifa ya kuchapa kazi na kuleta...
Zaidi sana utapoteza muda na fedha zako, tena kwa fedheha sana, ukiwa na elimu ya madigrii kadhaa ya kitaaluma wakati mganga hata darasa la saba hajamaliza.
Mganga hawezi na wala hana uwezo wa...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewataka vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wa Manispaa ya Songea Mjini...
P02: MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI
Lina wizara 14, Mawaziri 14, hakuna Manaibu Mawaziri
Wizara hizo ni:
1. Ofisi ya Rais (menejimenti ya utumishi wa umma, katiba sheria na utawala bora)
2...
My Take
Kwa moto huu wa Dk.Mollel Hapa Chadema Hamna Chenu ππππ
Wananchi wa kijiji cha Roseline, kilichopo kata ya Ndumeti, wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro wakionesha furaha na bashasha kubwa...
Baada ya Wafanyabiashara wa Simu 2000 kumfukuza mkuu wa wilaya ya Ubungo hatimaye Mkuu wa mkoa mh Albert Chalamila alifika eneo hilo na kufanikiwa kuwatuliza Wamachinga
Chalamila ameahidi...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha anasimamia ujenzi wa barabara ya Malagarasi - Ilunde - Uvinza (km...
Akiwa amezungukwa na Waandishi wa Habari DC Bomboko aliwauliza mgomo wa Wafanyabiashara umesababishwa na nini?
Waandishi: Wanadai eneo hili kauziwa Mwarabu na mchina Ili wajenge karakana
DC...
Baada ya tukio la hivi karibuni la timu za Simba, Yanga na Azama kushiriki kikamilifu katika siasa za kuiunga mkono CCM katika mkutana mkubwa wa UVCCM kupitia wasemaji wao rasmi wa timu , Je...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema βBaada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...