waTanzania wengi tumekuwa tukitoa maoni yetu Kwa nia njema. Ingawa kila unapotoa maoni yako wengine wanaona maoni hayo hayafai kutolewa sielewi Kwanini?
Kwa mfano watu wengi walikuwa wanatoa maoni kuhusu kukopa kuna watu wasiomtakia mema Rais walikuwa wanaona wanaoshauri hili hawafai wanarudisha nyuma maendeleo ya taifa.
Akiwemo Kafulila. Nashukuru mama kaliona Hilo. Yapo na mengine yakisemwa yatazamwe Kwa kina madhara yake wasilaumiwe wakosoaji na washauri wengine wanaushauri wa maana.
Japo kila mshauri mnaona nyuma yake kuna nan sijui nan tena. Watu Wana nia njema na Mama na taifa hili. Wasikilizwe! Alaumiwe anayetukana na kutoa maneno ya kashifa.
Mtu akisema Mama mm sitamchagua muulizeni huenda ana mambo ya msingi ambayo ni kero Kwa mtazamo wake msimkasirikie. Tutakuwa hatujamsaidia Mama na kulisaidia taifa.
Watu wa 2024 siyo wa 1947.