Yusuf Manji; Mmoja wa Watu Walioficha Fedha Uswisi

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
3,444
Reaction score
265

Mehbub Yusufali Manji: Businessman

Details: The Manji family is one of the richest in Tanzania. It started Quality Group Limited, the country's major conglomerate with interests ranging from automotive to food processing.

Offshore business: Director and shareholder of Intertrade Commercial Services Inc. (2007-2009) in the British Virgin Islands.

Comment: Yusuf Manji, chairman and CEO of the company, did not reply to ICIJ's emailed request for comment. The contact address in the records is that of the company in Dar-Es-Salaam.

Karamagi na Chenge wamo....Tutawaleteeni taarifa zaidi

Who Uses the Offshore World | International Consortium of Investigative Journalists
 
Kuna kuficha na kuweka!,sio kila fedha Uswiss ni ameficha, wengine wameweka!.

Kuficha ni pale tuu ambapo fedha hizo ni "ill gotten money" ambazo zimepatikana kwa njia isiyo halali, na maranyingi ni kwa public officials, hivyo wamezificha Uswiss ili zisigundulike!, hawa ni wezi na wala rushwa!.

Kuweka ni pale fedha hizo ni halali, na kwa vile Uswiss ndio the safest country duniani (haina jeshi) hairuhusiwi kuvamiwa!, then wenye fedha zao halali, wanaweza kuamua kuziweka benk za Uswiss sio kwa lengo la kuzificha bali kuzihifadhi!.

Hata hao public officials wenye fedha Uswiss, sio kila fedha ni za wizi!.

Nijuavyo mimi, kuna level fulani ya uongozi, akiwemo mkuu wa nchi, unashauriwa kuweka sehemu ya fedha zako Uswiss, just in case of anything, usije ukaaibika!, just for safe custody!.

Kama zilivyo zile fedha za EPA, sio kila senti iliyolipwa EPA, ilikuwa ni ya wizi, wako watu waliovuna fedha nene za EPA, kwa kununua madeni kihalali kabisa, na hawakuwa na kesi yoyote!.

Kwa Mfanyabiashara kama YM, na hata RM na wengine wengi, wameweka fedha zao Uswisi kihalali kabisa na kiusalama, na kwa vile sio Public Officials, paid by tax payers money, then the public, has no right kujua chochote under the "the right to privacy".
 
Pasco.

I talked about this. Kuna kina Bomani, Rupia etc ambao wakikwambia wameweka Uswizi hela za urithi hatuwezi kushangaa kwa sababu tunajua wana legacy ya miaka 50+, wengine wamechangia TANU kiasi kikubwa hata kuanza kuwasema leo will be nothing short of utovu wa fadhila, mpaka "Baba Kabwela" mwenyewe amewaheshimu mpaka anaingia kaburini kwa kujua mchango wao. Wau wamechangia a significant portion of his tickets to UNO.

Yusuf Manji is not one of them to my knowledge.

Tofauti ya kuficha na kuweka ni nini? Tutajuaje Manji anaweka na hajafika? Sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu kuweka ili tujue kwamba Manji kazifuata, ka declare kote anakotakiwa na hajaficha? Kesho keshokutwa Swiss ashakum ikienda bankrupt kama Cyprus tujue tutamteteaje Mtanzania mwenzetu na kurudisha chake?
 
Mkuu Kiranga, you are wrong!, tafuta history ya "House of Manji" utajua baba yake Yusuf Ally alialianzia wapi!, hawa ni level ya koo kama kina Hatim Karimjee, kina Rupia, Kahama ni cha mtoto!.

Tofauti pekee kati ya kuficha na kuweka, its the motive behind uwekaji huo wa fedha depending fedha hizo zimepatikanaje!. Kama ni "ill gotten money", then ndiko kuficha, ili usigundulike!, kama zimepatikana kihalali, then zimewekwa Uswiss for safe custody!.

Nijuavyo mimi, one can only declare kama fedha hizo zimepatikana nchini, ukazibadili, na kuzifanyia international transfer, kuzi bank nje!. BOT imeweka track system ku trace every cent inayofanyiwa exchange kwenye kila duka la fedha!, japo haifuatwi!. Lakini ukifanya biashara zako za kimataifa, ukavuna fedha juu kwa juu na kuzibenki huko huko Uswiss, no declaration is needed!. YM sio public servant, hivyo the public has no right to know his private transactions!.

Mkuu Kiranga cannot be wrong, by definition, every possibility of being wrong is covered by a clause. An autodidactic papal clause at that, infinitely stranger than any man could invent.

You are the one who is wrong. Kuficha na kuweka kunaweza kuwa na motive moja. tofauti pekee ikawa anayeweka kaweka wazi, anayeficha hakuweka wazi.

Mimi niko Wall Street, naweza kupata hela kwa mbinu zangu nikamtumia mdogo wangu wa Sokoine Drive, akazifanyia manouvres zake anzojua za Tanzania hapo, aka flip, akazituma Zurich kama zake legally.

Mimi ni advocate namba moja wa privacy, which would work for YM. At the same time mimi ni advocate namba moja wa Tanzania ku pecsecute money launderers na taz evaders, which would definitely not work for YM.
 
TAFUTA ZA KWAKO NA UKAWAJENGEE SIMBA UWANJA,,!!!!Raman tu unagwaya,what if ujenz ukianza?waweza sema meng!
 
Simba na yanga nani ameanza kuweka wazi ramani? N the last time I checked uwanja unataka hekta 11.4 sasa sijui pale kwenye mafuriko itakuwaje? Hehehehe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu Kiranga cannot be wrong, by definition, every possibility of being wrong is covered by a clause. An autodidactic papal clause at that, infinitely stranger than any man could invent.

You are the one who is wrong. Kuficha na kuweka kunaweza kuwa na motive moja. tofauti pekee ikawa anayeweka kaweka wazi, anayeficha hakuweka wazi.

Mimi niko Wall Street, naweza kupata hela kwa mbinu zangu nikamtumia mdogo wangu wa Sokoine Drive, akazifanyia manouvres zake anzojua za Tanzania hapo, aka flip, akazituma Zurich kama zake legally.

Mimi ni advocate namba moja wa privacy, which would work for YM. At the same time mimi ni advocate namba moja wa Tanzania ku pecsecute money launderers na taz evaders, which would definitely not work for YM.
Mkuu Kiranga, this time tena mapema kabisa, naomba tukubaliane katika kutokubaliana kuwa kuficha na kuweka ni kitu kile kile!.

Suala la kukwepa kodi, japo lipo, ila kodi inalipwa mahali pale pesa ilipotengenezwa!. Mimi nimebeba box UK, US na nimelipwa kwa cheque, tax nimekatwa huko huko nilikokuwa na ndiko niliko upatia huo mpunga!. Hivyo ukipata pesa kwa manuvers zako zozote, kitendo tuu cha kuzipitishia bank, hizo tayari zinakuwa ni legal money, na Uswiss wanapokea pesa zozote, toka popote bila kuulizwa umezipaje, kitendo tuu cha kuzituma kwa huyo nduguyo wa Sokoine Drive, kinamuingiza kwenye records, hivyo every cent inayoondoka nchini through legal ways is in records, hivyo element ya kuficha, haipo!, wanaoficha ni wale wanaotorosha fedha "ill gotten money" tena in "hard cash!". Ukifanikisha tuu kutua nazo Zurich, huulizwi, kwa sababu serikali ya Uswisi inaendeshwa kwa kodi za mabenki!.

Nasisitiza, wenye fedha halali, wako huru ku benk fedha zao mahali popote salama, sio kosa, sio wizi na sio kuficha!. Ila pia wenye fedha halali, wanaweza pia kuwa na biashara haramu, na kupata fedha haramu, lakini wakazificha as if ni fedhga halali!, huku sasa sio kuficha bali ni kusafisha!, na hili ni kosa kisheria!.

Kitendo cha kufuatilia fedha za YM huko zilizoko Uswisi ni kutaka tuu kuingilia his privacy kwa sababu halipwi kwa taxpayers money, na hata wewe kama haulipwi kwa fedha za kodi, uko huru ku benk mabilioni yako popote bila kuulizwa na yeyote!, huko ni kuweka na sio kuficha, hata kama lengo lako ni kuficha, kitendo cha kuiweka fedha halali popote ili iwe salama, huko ni kuweka tuu na sio kuficha!.

Ni kama tofauti kati ya kuchota maji na kuteka maji, au kuchota pesa, kuchukua pesa na kuiba pesa!. Kama pesa ni zako, hata uzitumieje, huko ni kutumia tuu na sio kuiba!, ila kama fedha sio zako, kuzitumia bila ruhusa au kwa kisingizio chochote isivyo halali, huko ni kuiba!. Hata kama fedha ni zako na umezipata kihalali, kitendo cha kuzitapanya kwa matumizi makubwa kwa lengo la kuongeza gharama ya expenditure ili kukwepa kodi, huku nako ni kuiba!.

Kutumia ni kutumia,na kuiba ni kuiba kama ilivyo kuweka ni kuweka na kuficha ni kuficha!.

Nafuatilia dikshenari yangu kwanza kujua "autodidactic papal clause", nilijua tuu kuwa Mkuu Kiranga, haamini Mungu, I didn't know kumbe "Mkuu Kiranga cannot be wrong", wewe ni zaidi ya malaika!, ila kwa hili la kuficha na kuweka, nakuomba kwa sasa tukubaliane tuu kutokubaliana!.

Pasco.
 
Kuna kuficha na kuweka!,sio kila fedha Uswiss ni ameficha, wengine wameweka!.

Kuficha ni pale tuu ambapo fedha hizo ni "ill gotten money" ambazo zimepatikana kwa njia isiyo halali, na maranyingi ni kwa public officials, hivyo wamezificha Uswiss ili zisigundulike!, hawa ni wezi na wala rushwa!.

Kuweka ni pale fedha hizo ni halali, na kwa vile Uswiss ndio the safest country duniani (haina jeshi) hairuhusiwi kuvamiwa!, then wenye fedha zao halali, wanaweza kuamua kuziweka benk za Uswiss sio kwa lengo la kuzificha bali kuzihifadhi!.

Hata hao public officials wenye fedha Uswiss, sio kila fedha ni za wizi!.

Nijuavyo mimi, kuna level fulani ya uongozi, akiwemo mkuu wa nchi, unashauriwa kuweka sehemu ya fedha zako Uswiss, just in case of anything, usije ukaaibika!, just for safe custody!.

Kama zilivyo zile fedha za EPA, sio kila senti iliyolipwa EPA, ilikuwa ni ya wizi, wako watu waliovuna fedha nene za EPA, kwa kununua madeni kihalali kabisa, na hawakuwa na kesi yoyote!.

Kwa Mfanyabiashara kama YM, na hata RM na wengine wengi, wameweka fedha zao Uswisi kihalali kabisa na kiusalama, na kwa vile sio Public Officials, paid by tax payers money, then the public, has no right kujua chochote under the "the right to privacy".
Pasco.

Nakubaliana na wewe mkuu! Huwa nashangaa Watanzania tunavyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa kwamba kila aliyeweka fedha nje ya nchi ameficha. Nilimshangaa hata Mh. Zitto Kabwe alipokuwa anatumia lugha ya "kuficha" wakati anazungumzia "mabilioni yaliyofichwa Uswisi na mafisadi". Ni ukweli kwamba siyo wote walioweka fedha nje ya nchi wameficha.
 
Mkuu Kiranga, you are wrong!, tafuta history ya "House of Manji" utajua baba yake Yusuf Ally alialianzia wapi!, hawa ni level ya koo kama kina Hatim Karimjee, kina Rupia, Kahama ni cha mtoto!.

Tofauti pekee kati ya kuficha na kuweka, its the motive behind uwekaji huo wa fedha depending fedha hizo zimepatikanaje!. Kama ni "ill gotten money", then ndiko kuficha, ili usigundulike!, kama zimepatikana kihalali, then zimewekwa Uswiss for safe custody!.

Nijuavyo mimi, one can only declare kama fedha hizo zimepatikana nchini, ukazibadili, na kuzifanyia international transfer, kuzi bank nje!. BOT imeweka track system ku trace every cent inayofanyiwa exchange kwenye kila duka la fedha!, japo haifuatwi!. Lakini ukifanya biashara zako za kimataifa, ukavuna fedha juu kwa juu na kuzibenki huko huko Uswiss, no declaration is needed!. YM sio public servant, hivyo the public has no right to know his private transactions!.
Pasco.

Manji hata baba yake hakuja tajiri Tanzania wewe, hawa walikuja na mashuka hapa mjini NI UJANJA UJANJA TU NDIO UMEWATAJIRISHA, Karimjee haukwa tajiri hivyo ila Nyerere tulipopata uhuru na baadae alipotahifisha mali za wazungu aliwapa hawa akina Karimjee na akina George Anatoglu kwani wao walionekana kama wajasilia mali zaidi kiujanjajanja. Kwahiyo huwezi kuwafananisha na akina Rupia na Kahama hasa kuhus pesa halali mkuu... Nimemaliza...
 
Pasco ameeleza vizuri kuhusu kuficha na kuweka, mleta mada tafadhali sahihisha au thibitisha title yako
 
Kwa lugha ya baadhi ya wanasiasa wa Tanzania ambao wanataka ku-demonise kila Mtanzania aliye na offshore A'C kama ni mwizi bila kujua kama watu wanaweka pesa zao zisizo za wizi kwa sababu mbali mbali kama privacy, political & financial instability au pia kwa sababu ya kodi.

Kwani sheria za Tanzania zinataka kila Mtanzania aliye na offshore A'C lazima ku-declare hizo pesa hazina?.
 
Manji hata baba yake hakuja tajiri Tanzania wewe, hawa walikuja na mashuka hapa mjini NI UJANJA UJANJA TU NDIO UMEWATAJIRISHA, Karimjee haukwa tajiri hivyo ila Nyerere tulipopata uhuru na baadae alipotahifisha mali za wazungu aliwapa hawa akina Karimjee na akina George Anatoglu kwani wao walionekana kama wajasilia mali zaidi kiujanjajanja. Kwahiyo huwezi kuwafananisha na akina Rupia na Kahama hasa kuhus pesa halali mkuu... Nimemaliza...
.
Mkuu Kakato, laiti ungeijua historia ya Tanzania, ungelijua wahindi wote ndio waliojenga yale magorofa yote mjini hadi Kariakoo with exception ya Mzee John Rupia!, jee unaijua the source of funds za hao wahindi?, sasa ndio nakuambia the source of funds za hao wahindi ndio the same source ya kina Rupia na kina Kahama!, tungekuwa tunauzungumzia utajiri wa asili Tanzania, sisi Wasukuma ndio tungeongoza, kuna watu walikuwa na ng'ombe elfu kumi, lakini nyumba ni ya nyasi!. Hata dhahabu, almasi, samaki sato, wote ni mwanza, mpaka leo tuna nini?. Rudi kasome historia ya taifa hili, source ya hizo fedha ni nini, ndipo utakapokuja kukutana na jina la Manji, wana utajiri wa asili!.

Its pointless kwa sasa kuuzungumzia utajiri wa familia tajiri ambao hautusaidii lolote sisi na umasikini wetu, ila kuna tatizo la masikini wenye chuki dhidi ya matajiri, na chuki hizo zinazidishwa inapotokea matajiri hao ni wahindi!. Humu jf
kuna mijitu ina chuki ya ajabu dhidi ya matajiri wa kihindi for no apparent reasons!.
Chuki hazijengi na zikizidi ni ugonjwa!.
Pasco.
 
Kwa lugha ya baadhi ya wanasiasa wa Tanzania ambao wanataka ku-demonise kila Mtanzania aliye na offshore A'C kama ni mwizi bila kujua kama watu wanaweka pesa zao zisizo za wizi kwa sababu mbali mbali kama privacy, political & financial instability au pia kwa sababu ya kodi.

Kwani sheria za Tanzania zinataka kila Mtanzania aliye na offshore A'C lazima ku-declare hizo pesa hazina?.

benki kuu hutoa kibali cha kuweka pesa ughaibuni ndugu.
 
Nakubaliana na wewe mkuu! Huwa nashangaa Watanzania tunavyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa kwamba kila aliyeweka fedha nje ya nchi ameficha. Nilimshangaa hata Mh. Zitto Kabwe alipokuwa anatumia lugha ya "kuficha" wakati anazungumzia "mabilioni yaliyofichwa Uswisi na mafisadi". Ni ukweli kwamba siyo wote walioweka fedha nje ya nchi wameficha.

"Kuna wanasiasa tena wengine ni viongozi wakubwa wameficha fedha uswisi" unaelewa maana yake au unamkosoa tu Zitto......
 
Haya ya kumzungumzia Manji na maisha yake....sielewi nini mantiki yake na dhima kuu hapa?
Manji is not a government official....hivyo hatuna uhalali wa kufuatilia maisha yake....tunageuza JF kijiwe cha umbea na majungu...
 
Huyu amehusika kwenye biashara mbali mbali ambazo zina chembe chembe za rushwa au wizi -Kagoda,tenda za jeshi,Majengo ya NSSF?
Kama aliweza kukwapua kiwanja cha msikiti, haiwezi kumpa shida kukwepa kodi na kuficha Swiss.
 
Offshore business: Director and shareholder of Intertrade Commercial Services Inc. (2007-2009) in the British Virgin Islands.

>>>Sasa kama anabiashara mpaka nje unategemea nini, Tusihukumu mtu kwa sababu ya historia.Haya ndo Raila aliyasema wakati wa mdaharo wa Urais Kenya kuwa, tusimhukumu Uhuru Kenyata kwa kuwa He is an an Innocent Inheritor'!!
 
Kuna kuficha na kuweka!,sio kila fedha Uswiss ni ameficha, wengine wameweka!.

Kuficha ni pale tuu ambapo fedha hizo ni "ill gotten money" ambazo zimepatikana kwa njia isiyo halali, na maranyingi ni kwa public officials, hivyo wamezificha Uswiss ili zisigundulike!, hawa ni wezi na wala rushwa!.

Kuweka ni pale fedha hizo ni halali, na kwa vile Uswiss ndio the safest country duniani (haina jeshi) hairuhusiwi kuvamiwa!, then wenye fedha zao halali, wanaweza kuamua kuziweka benk za Uswiss sio kwa lengo la kuzificha bali kuzihifadhi!.

Hata hao public officials wenye fedha Uswiss, sio kila fedha ni za wizi!.

Nijuavyo mimi, kuna level fulani ya uongozi, akiwemo mkuu wa nchi, unashauriwa kuweka sehemu ya fedha zako Uswiss, just in case of anything, usije ukaaibika!, just for safe custody!.

Kama zilivyo zile fedha za EPA, sio kila senti iliyolipwa EPA, ilikuwa ni ya wizi, wako watu waliovuna fedha nene za EPA, kwa kununua madeni kihalali kabisa, na hawakuwa na kesi yoyote!.

Kwa Mfanyabiashara kama YM, na hata RM na wengine wengi, wameweka fedha zao Uswisi kihalali kabisa na kiusalama, na kwa vile sio Public Officials, paid by tax payers money, then the public, has no right kujua chochote under the "the right to privacy".
Pasco.
Hao viongozi wanazipata wapi hizo pesa za ziada wakati nchi ni masikini. Au unaongelea viongozi "wafanyabiashara"
 
Back
Top Bottom