Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Binafsi nina imani na tume ya uchaguzi,nina imani na mahakama,nina imani na serikali, nina imani na uongozi huu wa Mh Samia suluhu Hassani . Nimeshuhudia maboresho mengi ya mifumo sasa Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
417 Views
Ilikuwa balaa.Usalama wa Taifa waliingia na kuteka uhesabuji kura. Wakadai kuwa wametumwa kuilinda nchi na mipasuko. Lahaula! CCM imeshakuwa nchi tena? Sisi tuliokuwa na jukumu la kuhesabu kura...
39 Reactions
149 Replies
13K Views
Aiseee CCM ni wakongwe ndio maana wao wako busy mitaani kusajili wapiga kura wapya na wanachama wapya mitaani. Lakini CHADEMA wamejikita kwenye mitandao tu kuangalia linalotrend wapinge au watoe...
3 Reactions
26 Replies
769 Views
Kauli ya NAPE Jana kuhusu wizi wa kura ilipaswa kuwa kwenye magazeti ya leo kama habari kuu kama ilivyotawala kwenye mitandao ya kijamii. Kutokana na kufinywa kwa uhuru wa habari, magazeti karibu...
1 Reactions
6 Replies
840 Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema kulikoni kususia Uchaguzi ni Bora kuingia uchaguzini na kupambana Mwanzo mwisho Mbowe amesema Wananchi wakiwa majasiri basi Chadema watashinda kwa Katiba...
1 Reactions
10 Replies
384 Views
Hakika Msigwa, naamini unafuatilia mitandao ya kijamii ili kujua mambo yanavyoendelea duniani. Nimeona na kusikia Nape akielezea mambo yanayofanywa na chama chako pendwa, CCM. Najua kwamba Roho wa...
4 Reactions
9 Replies
793 Views
Kwa sababu Peter Msigwa ni Mchungaji wa Dini ya Yesu Kristo basi ni vema Matendo yake yakapimwa kibiblia Na Ili umfahamu vizuri lazima kwanza ujiulize je mchungaji Msigwa ameisaliti Chadema kama...
2 Reactions
1 Replies
453 Views
Kijana amkeni nchi inamalizwa na wazee tangu nimefuatilia siasa hao wazee naona wanastaafu na kurudi kazini chukulia mtu kama kinana, omben seifue n.k. hao ni baadhi tu nimewataja na nimewataja...
19 Reactions
58 Replies
2K Views
Kuna watu humu wanasema hamas/Palestina ni mashujaa.. Sidhani kama kuna sense katika usemi huo wakati watu wanateketea kama si binadamu. Why not release hostages and look for a new alternative to...
2 Reactions
5 Replies
634 Views
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh Mrisho Gambo a.k.a kiboko ya mafisadi, anampongeza Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara kwani sasa wanaume watapimwa jukwaani na si kwa mbeleko tena. Bwana...
13 Reactions
115 Replies
8K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Godbless Lema amesema maisha yamekuwa magumu sana kiasi kwamba kula Wali Nyama imekuwa ni jambo la kuvizia Lema amesema Serikali iwaangalie kwa jicho la Tatu...
11 Reactions
54 Replies
2K Views
Hakimu akielezea namna viongozi wa CCM walivyokuwa wakimpigia sim kumshinikiza kutumia mahakama kupambana vita vyao vya kisiasa. --- Akifafanua jambo hilo Hakimu anasema: Mimi nikiwa Ardhi pale...
0 Reactions
3 Replies
568 Views
Hali imewaendea vibaya vijana wawili Nape na January Makamba baada ya matokeo ya uchaguzi kuonyesha kumbe Askofu Gwajima na darasa la saba Musukuma wana nguvu na uungwaji mkono mkubwa ndani ya ccm...
7 Reactions
73 Replies
7K Views
Kuna matindo wa kitoto, woga, kibabe na kijinga sana sasa hivi unafanywa na ma DC, RC na Mawaziri wakati wakiongea na wananchi wanapozidiwa hoja au wanapotaka wananchi waogope utasikia...
14 Reactions
31 Replies
2K Views
Kamati kuu ya chama cha mapinduzi imemtosa kijana mahili na chipukizi kwenye siasa Bwana Husein Bashe ambaye aligombea kura za maoni ccm kupitia jimbo la nzega na kumbwaga aliyekuwa mbunge wa...
1 Reactions
269 Replies
34K Views
Unaweza sema ni mapinduzi ya kiuchumi ama rekodi za kipekee za Rais Samia. Kwa kipindi Cha miaka 4 ya mama,Samia ameweza kuongeza Bajeti ya Nchi kutoka Shilingi Trilioni 36 mwaka 2021/2022 Hadi...
2 Reactions
75 Replies
3K Views
Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera kuwapeleka walimu 10 wa shule za msingi na sekondari Dubai kwa watakaofanikisha ufaulu mwakani, imeonekana kuwaamsha walimu kila mmoja akiahidi...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (Mb) amewataka wananchi wa vijijini waliofikishiwa huduma za mawasiliano kuipa thamani miradi hiyo kwa kuitumia vinginevyo...
0 Reactions
4 Replies
411 Views
Salaam, Shalom!! I declare interest, Mimi ni mwalimu wa watoto. Sasa Huwa tunakaa tunajiuliza, walimu Hasa tunakosea wapi? Tuseme kwamba labda Kuna watoto wengine hawapiti mikononi mwetu, hili...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Mara nyingi Watu wanaohamia CCM kutoka Chadema huwaga na mbwembwe sana lakini kwa Mchungaji Msigwa imekuwa tofauti Kabisa Yuko wapi Pastor? PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa...
6 Reactions
52 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…