Kumbe Musukuma ana nguvu kuliko Nape na Makamba ndani ya CCM?

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,751
Hali imewaendea vibaya vijana wawili Nape na January Makamba baada ya matokeo ya uchaguzi kuonyesha kumbe Askofu Gwajima na darasa la saba Musukuma wana nguvu na uungwaji mkono mkubwa ndani ya ccm kuliko wao.!

Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.

Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730

Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
 
Msukuma ni kanda ya ziwa na ni sukuma gang!

Ndio sababu unaona Mzee wa hovyo Makamba na Jk walipanic sana
kanda ya ziwa ndiyo nini? Huoni aibu jitu zima? Je Mahenda? na Jackson Je? Marehemu amewaharibu kwl utafikiri kanda ya ziwa ni kubwa kulliko Tanzania. Kanda ya ziwa haifiki ht 30% ya population yote. Pili hata hiyo kanda ya ziwa siyo kabila au asili moja. Kagera na Mara siyo washamba km wasukuma na hawana visababa nanyi washamba. Kuna wilya ya Ukerewe. Wasukuma ni mijitu ya hovyo kwl, siku hizi kila kitu kanda ya ziwa. hamuoni hata aibu.
 
Matumizi ya kondomu yangetuepushia kiumbe wa hovyo kama wewe, ukisikia wasukuma kwa mpalange panakuwasha sana au
 
kanda ya ziwa ndiyo nini? Huoni aibu jitu zima? Je Mahenda? na Jackson Je? Marehemu amewaharibu kwl utafikiri kanda ya ziwa ni kubwa kulliko Tanzania. Kanda ya ziwa haifiki ht 30% ya population yote. Pili hata hiyo kanda ya ziwa siyo kabila au asili moja. Kagera na Mara siyo washamba km wasukuma na hawana visababa nanyi washamba. Kuna wilya ya Ukerewe. Wasukuma ni mijitu ya hovyo kwl, siku hizi kila kitu kanda ya ziwa. hamuoni hata aibu.
Unajua kabila la
Mahenda?...

Tulieni dawa iwaingie
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom