Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,781
Siandiki masimango! Sio hulka yangu... Hadhira hushangilia anguko la mtu kuliko mafanikio yake.... Washindwa wengi ndio huwa wa kwanza kunyoosha vidole vya lawama, kejeli, matusi, dharau nknk... Utawasikia wakisema kiko wapi sasa.... Hii ndio hulka za washindwa, wale wenye roho za kwanini....! Ndio maana daima ukitaka mafanikio learn from the best....!!!
Masha anapitia katika kikaango cha moto... Na hadhira isiyo na jema imeanza kumnyooshea vidole kila kona....

Kuna jambo kubwa sana la kujifunza katika maisha ya huyu bwana! Elimu bora, akili kubwa, kupambana, ngekewa, upigaji, mitandao iliyonyooka na mahitaji ya nyakati
Masha ni mmojawapo wa vijana waliosoma nje ya nchi kisha kurudi kufanya kazi nyumbani.. Kwa mtazamo tu wa maramoja unaona kabisa ni mtu mwenye kiu ya kupata zaidi na zaidi (tamaa ya wengi hii), bila kujali unapataje... Kwakuwa the end justifies the means!!
Pengine udogoni alitamani kusomea kingine ama la, lakini aliona future iliyoko kwenye sheria na akaingia huko kwa nguvu zote.... Japo sina hakika sana kama ni mwanasheria makini, mahiri na mweledi....

Masha si mwanasiasa... Siasa ni kipaji kinachohitaji uzushi, uongo na ndimi nyingi.. Masha ni mwanasheria mpambanaji kimjini, mpigaji kupitia fani yake... Mahitaji ya nyakati kupitia utawala uliokuwepo, mitandao na mamlaka zenye maamuzi, vilimbeba yeye na wenzake mpaka kuweza kutengeneza kampuni ya mawakili na wanasheria yenye nguvu sana (IMMA ADVOCATES)
Kampuni hii ikapata kazi kubwa kubwa za serikali zenye pesa nyingi kwenye malipo, fidia na ndani na nje ya nchi... Lakini taratibu kwa kule kujihusisha na serikali, kampuni ikaanza kuachana na maadili ya taaluma na kuanza kuingiza ama kuchanganya taaluma na siasa.... Unajua mwisho wa siku unaangalia unapata nini kwenye nini (kwahiyo kimaisha sio kosa, labda kitaaluma na kimaadili)
Nyota yake sasa ikiwa inang'aa hasa katika maisha na kuelekea kilele cha mafanikio, katika hali iliyowangaza wengi akaingizwa kwenye siasa na kuukwaa uwaziri wa mambo ya ndani... Bwana mdogo tu, pesa ipo elimu? Ipo, na kwenye siasa yupo... Kila mtu angetamani kuwa kama yeye...

Wakati si milele... Wakati hausimami kamwe unatembea... Mahitaji ya nyakati yakaleta ukomo wa madaraka kwa waliong'arisha nyota yake... Kama nilivyotangulia kusema huyu si mwanasiasa.... Hivyo changamoto za taaluma hii mpya ya siasa akashindwa kuzikabili... Fitina uzushi majungu nk, vikamfungashia virago na kutimkia upinzani
Mambo hayakuwa mazuri sana huko ugenini... Huyu kazoea kuwa juu muda wote, kutoa amri na kutuma... Huku ugenini alipwaya na nyakati zikawa zinabadilika kwa kasi.... Biashara zikaanza kuyumba... Taaluma ya sheria akiwa kaipa kabisa kisogo akaamua kutubu na kurudi nyumbani, lakini si kwamba anaipenda siasa na vyama vyake la hasha... Ni mpigani mpambanaji anayeangalia fursa

Amerudi nyumbani hakunogi tena kama zamani, nyakati si rafiki tena! Hakuna lobbing tena na kupanga mikakati huku mnafyonza vikali vya bei mbaya... Mitandao yote imepigwa pini.... Ni dakika hizi za lala salama anapojaribu kusimama kwa miguu yake mwenyewe... Ndio anagundua kuwa kina ni kirefu kuliko alivyofikiri....
Ametengeneza LEGACY yake... Ni mfano wa kuigwa pia hasa kwenye kutimiza ndoto... Hata akiwa chapombe saivi ni sahihi kwa haya anayopitia... Tusimbeze bali tujitafakari kama tunaweza nasi kupitia njia aliyopitia
Dunia ni hadaa ulimwengu ni shujaa

Jr
 
Mwisho wa mnafiki ni Aibu acha apitie tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajitahidi aache pombe kali
 
Ni mwizi, anashirikiana na wachawi, wezi, yaani anafanya ka sheratoni, kampuni inabadili jina na mmiliki mpya tena mtanzania mwenzetu kainunua ili wageni wasepe, safari hii wageni wamemuogopa Dkt Magufuli, mwenyeji kajitokeza, either kwa kupewa hela na wageni au hela zake, mwache aumie tu
 
Fursa zimegoma ktk maisha kuna kupanda na kushuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ni kupanda na kushuka
Dr-Reginald.jpeg
DSC_5238.jpeg

Jr
 
Ni mwizi, anashirikiana na wachawi, wezi, yaani anafanya ka sheratoni, kampuni inabadili jina na mmiliki mpya tena mtanzania mwenzetu kainunua ili wageni wasepe, safari hii wageni wamemuogopa Dkt Magufuli, mwenyeji kajitokeza, either kwa kupewa hela na wageni au hela zake, mwache aumie tu
Ila haya hayakuwa maamuzi yake binafsi... Nafahamu alikuwa anatekeleza ilani

Jr
 
Huyu dogo alikuwa mpuuzi sana enzi za Kikwete, yaani kipindi alipokuwa waziri. Alitembea sana na wake za watu tena kwa nguvu kutumia madaraka yake. Akafungwe tu, nina ndugu zangu jela wanamsubiri kumvua chupi kwani nilishawapa habari zake. Wapuuzi kama hawa ndiyo wanaopiga kelele kuwa nchi imeharibika wakati wao ndiyo walikuwa wanatuibia na kutufanyia maovu.
 
Hao wanawake ni wajinga na wapuuzi, wao ndiyo walipenda na kumpenda
 
Back
Top Bottom