Nimekuwa nikifuatilia utekelezaji wa miradi na kuona kama inasuasua kwenye maeneo kadhaa mikoani. Ninaishauri serikali na vyombo vyake kusaini mikataba isainiwe baada ya fedha kutengwa.
Kwa mfanomkataba wa ujenzi wa Uwanja wa ndege Mwanza umesainiwa muda mrefu na wanasiasa wakaahidi kuwa fedha za kuanzia bn 4 zipo, lakini tangu usainiwe mkataba huo hakuna kitu kinachoendelea, ingawaje tuliaminishwa pale vifaa vya ujenzi vilipopelekwa site, kwa maana ya site mobilization. vivyo hivyo, maeneo mengine ya nchi.
Mipango yetu ikoje?
Tubadilike.