Sabato Njema!
Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi...
Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi. Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita.
Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro. Ziara hii ni muendelezo wa ziara zake za kutembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa ajili ya kuzindua...
UPDATES:
Kama ilivyotarajiwa na wengi, Adv. Boniface Mwabukusi akiwakilisha young lawyers maarufu kama GEN Z - CHADEMA ameshinda kwa kishindo kikuu na kuwa Rais wa TLS kwa miaka mitatu 2024 -...
Kufanya Uchaguzi Mkuu tarehe 25|10|2025 kwenye nafasi ya Urais wa JMT ni matumizi mabovu na mabaya ya pesa za walipa kodi hawa wachache na masikini kabisa.
Kama Fedha ya Uchaguzi ni zaidi ya TZS...
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Kampeni ya TUTUNZANE MVOMERO 2023-2028 wilayani Mvomero mkoani Morogoro inayohamasisha wafugaji kufanya ufugaji wa kisasa ikiwemo kuwa na maeneo yao ya kulima...
Sipo hapa kudhibitisha hili..hili lipo wazi na lishadhibitika mara nyingi sana.
TLS ashawahi shinda Lissu
Jana kashinda Mwambukusi hawa wote waliwabwaga Machawa wa Ccm.
The same Madaktari...
Tukipoteza woga wetu wanapoteza nguvu zao,
Ushindi wa wakili Mwabukusi umeshangiliwa na watu wengi, hii ni ishara kuwa Wanaoisapot CCM ni wale wanaonufaika nayo tu ambao kimsingi ni wachache...
Salaam, Shalom!!
Nachukua wasaa huu kuwaamsha wote waliokata tamaa, wote walioapa hadharani kuwa hawatashiriki kupiga kura wengine wakachoma kadi za kupigia kura, baada ya matumaini Yao ya...
GTs,
Ni heshima iliyoje kuona haki imetendeka na tena kwa uwazi kabisa kwa kijana Wakili Mwambukusi kuibuka mshindi.
Ni dhahiri Wakili Nkuba hakuwa kabisa na uwezekano wa kushinda. Najua michezo...
Huyu jamaa anapendwa Sana na namuona mbali Sana katika nchi ya Tanzania. Kafanikiwa kuondoa habari za simba na yanga nchini yeye ndo amekuwa habari kuu
Namuona Bungeni
Namuona Ikulu
Namuona...
4. Objects
The objects for which the Society is established are:
to maintain and improve the standards of conduct and learning of the legal profession in Tanzania;
to facilitate the acquisition...
Nikizungumza na Rafiki zangu kadhaa walioko bungeni wamenieleza hofu yao kufuatia Ushindi wa Mwabukusi hapo TLS.
Wameniambia iwapo wapiga kura majimboni watabeba Ujasiri wa Wapiga kura wa TLS...
Boniface Kajunjumile Asinyile Mwabukusi akianzisha chama chake nje ya vyama vilivyopo vinavyotumia "surname" kwa ajili ya kusurvive akitanguliza maslahi ya Tanganyika basi asubuhi sana...
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Msomi Julius Mtatiro amesema yeye kama Kampeni Meneja wa Wakili Nkuba amemshauri asiliendeleze suala hilo.
Mtatiro kupitia ukurasa wake wa X amesema Uchaguzi...
Ishu kubwa jamaa anaonekana kwenye jamii kama mtu mwenye uchungu na rasilimali za umma.
Ndo maana hata raia wa kawaida wanamtakia awe kiongozi wao. Hata 2025 atashinda urais ikiwa hakutakuwa na...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimekaa nikawaza ,kufikiria na kurudisha kumbukumbu nyuma mahali tulikotoka ,tulipo na tunakokwenda na kufikia hatua kusema kuwa kwa hakika Watanzania bila kujali itikadi...
Baada ya kusoma HUKUMU ya Leo, nimegundua kuwa team ya Wazalendo under MWAMBUKUSI imeshinda ushindi wa Awali ingawa referee ameonekana kuonyesha kuwa Hana uwezo wa Kutoa ushindi.
Hoja zifuatazo...
Moja ya sababu kubwa anayolalamikia Wakili msomi Nkuba ni Taarifa za Matokeo kuanza kutolewa kabla Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Hajatangaza.
Nkuba anaamini kabisa matokeo halali ni yale majumuisho...
Salaam, Shalom!
Kuna uvumi na tetesi zinaendelea kuwa wanasheria Toka Zanzibar ambao Wana chama Chao, kuwa wameletwa Dodoma na Serikali pia kupiga kura, wamelipiwa Kila kitu, Ili mtu wa Serikali...