Baada ya kusoma HUKUMU ya Leo, nimegundua kuwa team ya Wazalendo under MWAMBUKUSI imeshinda ushindi wa Awali ingawa referee ameonekana kuonyesha kuwa Hana uwezo wa Kutoa ushindi.
Hoja zifuatazo ndizo zimenipa kuona ushindi wa team wazalendo:
1. Judge Ndumbari, Amekiri kuwepo dosari katika ushirikishwaji wa wananchi.
2. Judge Ndumbari , Amekiri IGA imevunja SHERIA za ulinzi wa raslimali za Nchi Kwa kupeleka migogoro nje ya nchi.
3. Judge Ndumbari, ANASHANGAA😳😳 na kusema IGA itaongozwa na SHERIA za Nchi, na mikataba ya miradi itaongozwa na SHERIA za ndani lakini migogoro itatatuliwa nje ya nchi.
Ndugu Mwananchi mwenzangu, kama Judge ANASHANGAA 😳😳 tunatakiwa kustuka, maana wasiwasi ndiyo AKILI.
Judge ameonyesha mapungufu hayo makubwa ya msingi na Bado amesita Kutoa HUKUMU Kwa team wazalendo, hii inaonyesha wazi kuwa ameona BUSARA mahakama ya juu zaidi itoe HUKUMU ya HAKI.
Kwangu Mimi na wazalendo wenzangu, ni wazi kuwa tumeshinda ila Bado kutangazwa washindi.
Tusubiri ushindi wetu kutangazwa mahakama ya rufaa kuwa mkataba Ule ni BATILI na FAKE!!
Wakati tukiendelea kusubiri HUKUMU, tuendelee kupiga KURA YA WAZI mabarabarani na Viwanjani, Ili ikihitajika kuthibitisha ushindi wa nguvu ya Umma iwe Rahisi.
Mwanakondoo ameshinda, tumfuate.
Aamen.