Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumemsikia Mpina kashfa ya kuagiza sukari kutoka nje, tumewasikia wakulima wa miwa wakimlalamikia Bashe kwa kuua kilimo chao cha miwa, tumewasikiliza wenye viwanda wakimlalamikia bashe kwa kutunga...
0 Reactions
2 Replies
602 Views
Hapa juzi nimeona taarifa Rais Samia akiwaambia wananchi wa Kilosa wamrudishie Prof. Kabudi katika uchaguzi wa 2025. Nimejiuliza sana bila kupata jibu, kama Rais Samia haoni ni kosa kubwa sana...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
KASHFA ya Sukari iliyoibuliwa na Mbunge Mpina hivi karibuni bungeni imemgharimu hadi kufukuzwa bungeni vikao 15 huku Bunge la Mwezi Agosti ambalo Mpina hatashiriki litafanya kazi ya kubadilisha na...
0 Reactions
3 Replies
547 Views
Nimeona hii inafanyika maeneo mengi anapopita Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani? Watoto darasa la 5,6,7 na wanafunzi wa...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Enzi za akina Mzee Mtei, Dr Kaborou, Bob Makani nk Uongozi ulikuwa wa kupokezana Lakini zama hizi Mbowe ni Mwenyekiti wa kudumu Tundu Lisu ni Makamu mwenyekiti wa kudumu Pambalu Mwenyekiti wa...
0 Reactions
2 Replies
250 Views
Wakulima wa Miwa wa Bonde la Kilombero wamemng'ata sikio Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa katika ziara yake Kilombero asikubali kuongea na viongozi wa Amcos kwani kwa sehemu kubwa...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Huku wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme, kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 10 au zaidi. Tatizo ni nini? Nchi sasa hivi haina shida ya umeme, kuna nini huku...
0 Reactions
1 Replies
651 Views
Nimeshangazwa sana kuona tangazo hili, Hii ni kampeni au utekelezaji wa majukumu ya kiongozi aliyepewa dhamana na wananchi? Sikumbuki kama Nyerere alishawahi kufanya haya pindi alipoenda kukagua...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Watanzania wengi ni maskini,hakuna shaka yeyote kuhusu jambo hilo.Kwa nini Watanzania ni maskini ndilo jambo ambalo limeonekana kusumbua watu wengi. Kikwete yeye alisema hajui kwa nini Watanzania...
0 Reactions
1 Replies
621 Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na kwa maslahi ya taifa. Maslahi ya leo ni hii issue ya SMZ kumiliki eneo la ekari 6000 Bagamoyo. Tangazo la SMZ Zanzibar: Hekta 6,000...
26 Reactions
134 Replies
13K Views
Vita ya UKRAINE na URUSI imetawala katika vyombo kadhaa vya habari!! Nina Funzo kubwa kwamba USIJIWEKE WAZI KWA KILA JAMBO, KWANINI? Urusi kutokuwa wazi sana na taarifa zake sahihi kutojulikana...
10 Reactions
19 Replies
3K Views
Kulalamika na kulaumu pekee ni mbinu ya kisiasa inayotumiwa na waupinzani nchini, isiyo na tija na iliyopitwa na wakati. Haijawahi kuwa na msaada wala manufaa yoyote kwa vyama vyao wala kuleta...
1 Reactions
1 Replies
432 Views
Asikwambie mtu ziara za nje muhimu mno! Uchumi unafunguka watu wananeemeka! Maji yanamwagika huko vijijini, Miradi inakwenda! Bei za vyakula na bidhaa mbalimbali zinashuka! Yaani ziara tamu...
2 Reactions
7 Replies
476 Views
Ndio Katiba yao inavyosema au ni Hulka tu isiyo na maana yoyote inayotokana na Wahafidhina wa Chama hicho? Ni kweli Wazee ni hazina lakini kwa mujibu wa Tafsiri ya Kiswahili, Mzee ni mtu Mzima...
13 Reactions
42 Replies
2K Views
Ni msingi wa katiba yetu ya JMT kuwa chama tawala kitapokuwa madarakani kilazazimika kutekeleza ilani yake kilichoinadi kipindi cha uchaguzi. Rais Samia sasa hivi yupo madarakani? Mlitarajia...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Mzee Dee katika hotuba yake alisema Mkewe alikuwa na tabia ya kuweka 10% ya kipato chake kwa ajili ya kutoa Zaka ikiwemo kuwasaidia Maskini na wanaohitaji kusomeshwa. Aliyasema hayo wakati wa...
17 Reactions
43 Replies
4K Views
Tanzania imekuwa ni nchi iliojaa vituko toka kwa viongozi wasio na maono chanya yenye kuleta mabadiliko katika nyanja mbalimbali za kiuchumi. Sera nyingi zimekuwa zikikinzana na kuzua mijadala juu...
4 Reactions
15 Replies
909 Views
''Chama cha siasa siyo imani, lakini hata imani watu wanahama. Ni ndoa ya ki-katoliki tu ndiyo ambayo huwezi kuachana, chama cha siasa kama nilivyosema kwamba tuna nchi ya kujenga'' --- Ndugu...
0 Reactions
18 Replies
884 Views
Waziri Hussein Bashe alikuwa na msimamo mzuri kuanzia alipoteuliwa kuwa Waziri wa Kilimo kuhusu kufungua mipaka kwa wageni kuja kununua mazao ya kilimo nchini. Hii ilikuwa ni furaha kwa wakulima...
3 Reactions
52 Replies
4K Views
Huyu Mzee sijui anaongea kutoka kijiji gani ila lafudhi ni ya Kibena, yaani watu wa Njombe ana hoja asikilizwe! Soma pia: Serikali Yaja na Mfumo Maalum wa Kuondoa Changamoto ya Ubambikiwaji wa...
3 Reactions
11 Replies
695 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…