Huyu jamaa anapendwa Sana na namuona mbali Sana katika nchi ya Tanzania. Kafanikiwa kuondoa habari za simba na yanga nchini yeye ndo amekuwa habari kuu
Namuona Bungeni
Namuona Ikulu
Namuona...
4. Objects
The objects for which the Society is established are:
to maintain and improve the standards of conduct and learning of the legal profession in Tanzania;
to facilitate the acquisition...
Nikizungumza na Rafiki zangu kadhaa walioko bungeni wamenieleza hofu yao kufuatia Ushindi wa Mwabukusi hapo TLS.
Wameniambia iwapo wapiga kura majimboni watabeba Ujasiri wa Wapiga kura wa TLS...
Boniface Kajunjumile Asinyile Mwabukusi akianzisha chama chake nje ya vyama vilivyopo vinavyotumia "surname" kwa ajili ya kusurvive akitanguliza maslahi ya Tanganyika basi asubuhi sana...
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Msomi Julius Mtatiro amesema yeye kama Kampeni Meneja wa Wakili Nkuba amemshauri asiliendeleze suala hilo.
Mtatiro kupitia ukurasa wake wa X amesema Uchaguzi...
Ishu kubwa jamaa anaonekana kwenye jamii kama mtu mwenye uchungu na rasilimali za umma.
Ndo maana hata raia wa kawaida wanamtakia awe kiongozi wao. Hata 2025 atashinda urais ikiwa hakutakuwa na...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimekaa nikawaza ,kufikiria na kurudisha kumbukumbu nyuma mahali tulikotoka ,tulipo na tunakokwenda na kufikia hatua kusema kuwa kwa hakika Watanzania bila kujali itikadi...
Baada ya kusoma HUKUMU ya Leo, nimegundua kuwa team ya Wazalendo under MWAMBUKUSI imeshinda ushindi wa Awali ingawa referee ameonekana kuonyesha kuwa Hana uwezo wa Kutoa ushindi.
Hoja zifuatazo...
Moja ya sababu kubwa anayolalamikia Wakili msomi Nkuba ni Taarifa za Matokeo kuanza kutolewa kabla Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Hajatangaza.
Nkuba anaamini kabisa matokeo halali ni yale majumuisho...
Salaam, Shalom!
Kuna uvumi na tetesi zinaendelea kuwa wanasheria Toka Zanzibar ambao Wana chama Chao, kuwa wameletwa Dodoma na Serikali pia kupiga kura, wamelipiwa Kila kitu, Ili mtu wa Serikali...
Wakili Mwabukusi aapishwa rasmi kuwa Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika.
Wakili Boniface Mwabukusi ataendesha chama cha Wanasheria Tanganyika kwa Miaka mitatu.
Uapisho huo umefanyika katika...
Ushindi wa Mwabukusi huko Dodoma kwa hakika utaleta mambo mengi ya kufikiri.
Moja, TLS sasa ina vijana na wamemchagua kijana mwenzao.
Pili, uchaguzi huu umefuatiliwa kwa makini karibu sehemu...
ZIARA YA RAIS DKT. SAMIA MKOANI MOROGORO LEO TAREHE 03 AGOSTI, KUFANYA YAFUATAYO:
▪️Kuzindua Kampeni ya Tutunzane Mvomero Uwanja wa Sokoine Mvomero.
▪️Kuzindua Bwawa la Umwagiliaji la Kiwanda...
Habari za Leo wananchi!
Hali inayoendelea katika nchi yetu katika HUDUMA afya baada ya kushuswa bei za Bima NHIF kutokana na Maboresha HUDUMA katika hospital zetu zinazidi kuwa mbaya, Hospital...
Kwa ubaya wanaofanyiwa watanzania na CCM lakini wametulia tuliii... Inashangaza Sana.
Hadi nawaza ni kitu gani kibaya ambacho CCM hawajawafanyia wabongo kitakachowakera awa watanzania wenzangu...
Kuna hii "Clip" hapo chini ambayo imeigizwa na wale watoto wa Uganda walioigiza jaribio la kuuawa Kwa Donald Trump wa Marekani.
Clip hiyo inaonesha utofauti uliopo kati ya wasudan wakiandamana na...
Namshauri huyo anayejiita Mchungaji Msigwa kuwa wakati anaitangaza vibaya CHADEMA iliyomlea na kumkuza kisiasa awe anasema na yale aliyofanyowa na serikali ya CCM wakati akiwa CHADEMA ikiwa ni...
Habari za Wakati huu?
Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na mapambano yenu ya kimaisha.
Kwanza nitumie Fursa hii kumpongeza Wakili Msomi Boniface Mwabukusi kwa kufanikiwa kushika kiti...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa mara baada ya kuzindua Bwawa la...
Kumradhi wanabodi kuuliza si ujinga naona tu nguvu nyingi sana zina tumika kuhakikisha TLS Inapata kiongozi fulani. Pengine tofauti na jumuiya zingine nyingi ambazo wahusika huchaguana tu na sa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.