Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwafrika ana mambo fulani hivi ya kushangaza lakini yapo na huwezi kuyajibu kisayansi. Mwaka unaogawanyika kwa 5 au tuseme mwaka wa uchaguzi huwa kuna uhaba wa mvua,watabiri wa hali ya hewa huwa...
0 Reactions
4 Replies
804 Views
Kuanza nianze kwa kuwashukuru wana Jamii Forums mlio nitafuta PM kwa kunipa pole katika msiba ule mzito. Nawashukuru pia wale mlio kuja PM kunikebehi yakuwa nilikuwa nawasinzigizia nilio wataja...
32 Reactions
139 Replies
15K Views
Haya mambo yako kwenye nchi ya Wajamaa Tanzania,Huku ndiko wanajeshi Badala ya kulinda mipaka wanaenda kupiga raia mitaani kisa wamegombana na raia mambo ambayo zaidi ni ugomvi wa kibinafisi sana...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
MBUNGE wetu sisi wana IFAKARA hatukukutuma kupiga magoti. Kuanzia leo hii anza kutafuta kazi NYINGINE maana kwa ubunge basi. Mbunge Abubakari Asenga ameonekana akipiga magoti kushukuru KUJENGEWA...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Ccm si chama cha kufanya nao maridhiano, ni genge la wahuni. Mama Samia siku ya 5 leo yupo Morogoro kwa ziara rasmi ya kiserikali lakini badala yake ziara hiyo inatumika kufanya kampeni chafu za...
4 Reactions
9 Replies
658 Views
Katika ziara ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi, mbunge wa jimbo la Biharamulo Mhandis Ezra Chiwelesa amewataka mameneja wa TARURA na RUWASA wilaya ya Biharamulo kufika katika kijiji cha...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Save this post!!!!!! Mzee wa victoria ambaye ni kiongozi wa ile eneo muda si mrefu atahama chama na kwenda kwa wale wenzzetu wa kijani baada ya kununuliwa kwa vipande vya thumni. Save the...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
"Ndugu Vijana wenzangu, Secretariat ya CCM katika mapokezi yake ilisema wazi kuwa katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 itatoa fomu 1 kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye si...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja" wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe. Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi...
3 Reactions
15 Replies
795 Views
Tumemsikia Mpina kashfa ya kuagiza sukari kutoka nje, tumewasikia wakulima wa miwa wakimlalamikia Bashe kwa kuua kilimo chao cha miwa, tumewasikiliza wenye viwanda wakimlalamikia bashe kwa kutunga...
0 Reactions
2 Replies
602 Views
Hapa juzi nimeona taarifa Rais Samia akiwaambia wananchi wa Kilosa wamrudishie Prof. Kabudi katika uchaguzi wa 2025. Nimejiuliza sana bila kupata jibu, kama Rais Samia haoni ni kosa kubwa sana...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
KASHFA ya Sukari iliyoibuliwa na Mbunge Mpina hivi karibuni bungeni imemgharimu hadi kufukuzwa bungeni vikao 15 huku Bunge la Mwezi Agosti ambalo Mpina hatashiriki litafanya kazi ya kubadilisha na...
0 Reactions
3 Replies
547 Views
Nimeona hii inafanyika maeneo mengi anapopita Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani? Watoto darasa la 5,6,7 na wanafunzi wa...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Enzi za akina Mzee Mtei, Dr Kaborou, Bob Makani nk Uongozi ulikuwa wa kupokezana Lakini zama hizi Mbowe ni Mwenyekiti wa kudumu Tundu Lisu ni Makamu mwenyekiti wa kudumu Pambalu Mwenyekiti wa...
0 Reactions
2 Replies
250 Views
Wakulima wa Miwa wa Bonde la Kilombero wamemng'ata sikio Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa katika ziara yake Kilombero asikubali kuongea na viongozi wa Amcos kwani kwa sehemu kubwa...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Huku wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme, kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 10 au zaidi. Tatizo ni nini? Nchi sasa hivi haina shida ya umeme, kuna nini huku...
0 Reactions
1 Replies
651 Views
Nimeshangazwa sana kuona tangazo hili, Hii ni kampeni au utekelezaji wa majukumu ya kiongozi aliyepewa dhamana na wananchi? Sikumbuki kama Nyerere alishawahi kufanya haya pindi alipoenda kukagua...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Watanzania wengi ni maskini,hakuna shaka yeyote kuhusu jambo hilo.Kwa nini Watanzania ni maskini ndilo jambo ambalo limeonekana kusumbua watu wengi. Kikwete yeye alisema hajui kwa nini Watanzania...
0 Reactions
1 Replies
621 Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na kwa maslahi ya taifa. Maslahi ya leo ni hii issue ya SMZ kumiliki eneo la ekari 6000 Bagamoyo. Tangazo la SMZ Zanzibar: Hekta 6,000...
26 Reactions
134 Replies
13K Views
Vita ya UKRAINE na URUSI imetawala katika vyombo kadhaa vya habari!! Nina Funzo kubwa kwamba USIJIWEKE WAZI KWA KILA JAMBO, KWANINI? Urusi kutokuwa wazi sana na taarifa zake sahihi kutojulikana...
10 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom