Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MWENGE WA UHURU MUSOMA VIJIJINI: MIRADI YA THAMANI YA TSH 3.5 BILIONI YAKAGULIWA NA KUKUBALIKA Mwenge wa Uhuru ulipokelewa kwa shangwe nyingi mno kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Musoma...
-1 Reactions
6 Replies
528 Views
Tarehe 01 Agosti, 2024 rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani amesafiri kwa Treni ya kisasa ya SGR kutoka Darisama kuelekea Dodoma kwenye uzinduzi wa safari kutoka Dar Es...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba wakati dunua inaachana na treni za kizamani,hata sisi kama Taifa katika huu ulimwengu hatuwezi kubaki nyuma ni lazima na sisi tuende sambamba na wenzetu ingawa sisi tunaweza kuwa...
5 Reactions
93 Replies
11K Views
Najaribu kuwaza tu kwa sauti JPM angekuwa bado yupo hali ingekuwaje mpaka sasa. Kwanza wawekezaji wote wameshakimbilia kenya au kwingineko tofauti na sasa ambako wawekezaji wanatoka kenya kuja...
13 Reactions
132 Replies
4K Views
Hayati Magufuli aliipiga marufuku biashara ya jongoo wa baharini ambayo kwa kiasi kikubwa inafanywa na raia wa China. Kwa Wachina jongoo bahari ni chakula murua (delicacy), na pia ana matumizi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hebu fikiria kuna wananchi wanafurahia kupandishwa ndege na kwenda kutalii nje ya nchi. Na wengine kupewa ahadi za kuwa viongozi. Wengine kusafirishwa kwa kupanda treni mpya. Naandika haya huku...
8 Reactions
4 Replies
433 Views
..Tundu Lissu amesema Mawakili wana wajibu kutetea nchi na wananchi. ..Mawakili hawapaswi kukaa kimya wakati haki za wananchi zikikanyagwa. ..Msikilize hapa chini akifafanua wajibu wa chama cha...
3 Reactions
13 Replies
730 Views
Mheshimiwa rais, Tayari tuna ndege, treni na mabasi ya mwendokasi. Tayari tuna miundombinu mizuri na adimu katika bara la Africa kama viwanja vya ndege, SGR na BRT. Lakini bado huduma katika...
2 Reactions
4 Replies
681 Views
Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie nina sema kuwa hakuna haja ya katiba mpya kwa sababu katiba iliyopo inajitoshereza. Sasa hivii...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kinarajia kufanya uchaguzi wake mkuu hivi karibuni Jijini Dodoma kumchagua rais wa kuongoza chama hicho kwa kipindi cha mwaka mmoja Wagombea halaii...
5 Reactions
55 Replies
5K Views
Hili ndio bandiko lake kutoka Account yake ya X NGEDERE NA BUNDI WAOKOA MABILLIONI YA PESA UNUNUZI WA TRENI ZA SGR. NGEDERE mmoja na BUNDI mmoja jana maeneo ya Kidete wilaya ya Kilosa ndiyo...
18 Reactions
75 Replies
6K Views
Ilisemwa mambo ya Samia hayataenda asipokuwa na hao wawili. Ajabu leo hii mambo ya Samia yapo muswano. Ilisemwa na kudaiwa jamaa hao wasioridhika na kukubaliana na hali halisi eti...
3 Reactions
6 Replies
840 Views
TUNDU LISSU HAFAI KUWA RAISI WA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA LAWYER SOCIETY (TLS) Chama cha wanasheria Tanzania ni moja ya taasisi zinazojitegemea na zenye katiba zao na miongozo yao ambayo...
9 Reactions
195 Replies
21K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameshiriki kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) unaoendelea jijini Dodoma huku akikumbushia namna alivyopigwa risasi...
4 Reactions
1 Replies
777 Views
Bila shaka kichwa cha habari kinajieleza vizuri sana. Binafsi sina tatizo na falsafa ya uanzishwaji wa mbio za mwenge wa uhuru. Tatizo langu kubwa ni namna wanavyoweza kuathiri afya za...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Pamekuwa na hekaheka ya Wazazi wa Wanafunzi wa Shule za Msingi kuitwa shuleni kupokea zawadi za magodoro madogo ya Watoto Tunamshukuru Mungu wa mbinguni kwa hilo na tungependa tu kujua zawadi...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Sidhani kama hili halikuwekwa kwenye mkataba, kwamba waliotengeneza treni hiyo wanatakiwa kutoa warrant ya sio chini ya miaka mitatu, na pia, kwa muda walau wa mwaka, washiriki moja kwa moja...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani anaanza ziara ya kikazi Morogoro. Mkoa uliogubikwa na migogoro ya kila mwaka ya wakulima na wafugaji. Ujio wa kiongozi Mku wa nchi utatoa muarobaini kwa kero hii?
1 Reactions
1 Replies
378 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akizindua Rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme ya SGR Dar es Salaam hadi Dodoma, leo tarehe 1 Agosti, 2024...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 6,106,516,794.00 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo katika Kata ya Old Moshi Mashariki katika Jimbo la Moshi vijijini. Hayo aliyasema Mbunge...
0 Reactions
2 Replies
546 Views
Back
Top Bottom