Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali ya Tanzania inatarajia kusaini Makubaliano ya Mkopo wa Riba Nafuu wa takriban Tsh. Trilioni 6.51 kutoka Serikali ya Korea Kusini kupitia ziara itakayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan...
4 Reactions
75 Replies
6K Views
Wananchi wazalendo wa msomera mkoani Tanga, ambao hapo kabla walikua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ngorongoro, ambapo baadae kwa kushauriana na mamlaka za serikali, na kwa hiyari na utashi...
4 Reactions
55 Replies
2K Views
Kuna mkono wa Kenya mgogoro wa Loliondo....... Gazeti la Jamhuri April 12, 2022 *Wakenya wajipenyeza hadi ndani ya CCM na kushinda udiwani wakati si raia *Maslahi binafsi yatawala, wafikia...
14 Reactions
47 Replies
4K Views
Sooni ninakusudia kuachana na CCM nimeipigania hapa yangu 2009, JF sijawahi kuisaliti ila Kwa yanayoendelea nchini naona kama nawasaliti watanzania wenzagu kushabikia huu upuuzi unaoendelae Kwa...
40 Reactions
120 Replies
8K Views
Habar wana nzengo, Kumekuwa na matamanio makubwa sana kwa wananchi kutaka kuona mabadiliko ya kiutawala kwa kuamini ya kwamba utawala uliopo madarakani hivi sasa unakiuka misingi ya dwmokrasia...
1 Reactions
7 Replies
751 Views
Sitalitaja hilo Taifa lakini kila mwenye akili na mfuatiliaji wa mambo atalibaini na zaid atanielewa japo inaumiza. Bidhaa bandia siku zote hufanana na bidha halisi ila kwenye matumizi na mambo...
12 Reactions
21 Replies
1K Views
Athari ya kuwa na maduka ya fedha za kigeni mtaani inajitokeza na tayari athari zimejitokeza. 1. Fedha ya Tanzania sio stable tena inabadilika badilika hivyo kuharibu mfumo wa bei ndani ya nchi...
1 Reactions
4 Replies
582 Views
Wadau Asalam aleykum. Wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji. Nawashauri viongozi wangu mlioko kwenye vyombo vya kutunga sera, mfanye kuwaajiri vijana walioko mtaani wenye ujuzi na wasio na...
7 Reactions
82 Replies
3K Views
Au nasema uwongo ndugu Zangu Wale Wazee wa mipango pengo lao halijazibika ndio unawaona akina Maria na Mwabukusi wanatamba tu huko Ngorongoro Mlale Unono 😀😀 PIA SOMA - Kuelekea 2025 -...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Tulipompata Rais wetu Mpendwa Magufuri kalibu kila mtu alilizika, na utendaje wake wa kazi,alijipambanua yeye ni Rais wa wanyonge na alichukia ufisadi na kila mtu aliona na hakucheka na majizi...
11 Reactions
46 Replies
2K Views
Hili ni swali ninalolipeleka kwa Wanachama wa Chadema pamoja na viongozi wao, Wengine wanaopaswa kujibu maswali haya ni Wapenda haki wote, Wakiwemo pia viongozi wa Dini Hawa wengine tuliambiwa...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Wasalaam. Katika nchi ya kusadikika kuna matamasha mbalimbali kama vile matamasha ya michezo, wanamiziki na matamasha ya waigiza filamu. Lakini katika siku za karibuni hasa kuanzia mwaka wa jana...
3 Reactions
8 Replies
775 Views
Ndugu Watanzania! Serikali ya Tanzania, kupitia Supplement Na. 30 imetoa Tangazo la Serikali Na. 673 la 2/9/2024 la kufuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96 katika Halmashauri ya Wilaya ya...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Samaki katika Ziwa Victoria kama vile wamekwisha kabisa. Wavuvi wanatumia gharama kubwa sana na mwisho wa siku hakuna faida wanayopata kutokana na ukosefu wa samaki. Pili Ziwa Victoria...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Friends and Our Enemies, Kupitia kwa ARUSHA MANIFESTO miaka hamsini iliyopita,Rais wa kwanza wa nchi hii, Mwalimu J.K Nyerere alituusia na hapa chini nitaweka nukuu yake Over fifty years ago...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Boniface Mwabukusi, amesema Waziri hana Mamlaka ya Kufuta Vijiji vya Ngorongoro Ameyasema hayo leo 20/08/2024 Mkoani Dar Es Salaam alipokuwa anaongea na...
33 Reactions
138 Replies
8K Views
Salaam Wakuu, Rais Samia ameonesha Ushujaa ukomavu mkubwa na Ushujaa wa nguvu, kumteua Suzan Kaganda kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu wa Jeshi la Polisi. Kutokana na ajali kuongezeka...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Duru ndani ya corridor za Umoja wa Ulaya hapa Nchini hivi karibuni unatarajia kutoa tamko la kusikitishwa na ukiukwaji haki za binadamu wa kutisha wanaofanyiwa Wamasai kule NGORONGORO.
0 Reactions
4 Replies
662 Views
Kiongozi mkubwa yupo wizarani zaidi ya uhai wake hapa duniani. Anasimama jukwaani na kuwaambia vijana wa kitanzania hasa masikini kabisa kuwa maisha mema yanapatikana shambani. Huyu Simbachawene...
4 Reactions
7 Replies
552 Views
Kampeni hazijaanza lakini mambo ni motoo, yaani kila anayepata nafasi ni mwendo wa kujipigia chapuo tuu, kama hakupeleka alivyosema atapeleka jimboni huu ndio muda wa kuviwasilisha! Wacha...
0 Reactions
3 Replies
673 Views
Back
Top Bottom