Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete amesema Watu Wengi hufikiri Demokrasia ni Uchaguzi kumbe siyo bali Demokrasia ni zaidi ya Uchaguzi kwani ina mambo mengine mengi
Mzee Kikwete amesema kukiwa na...
Hapa ndio inabidi tujiulize, kama lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili kulinda eneo la hifadhi, wanapata ugumu gani kukanusha madai kuwa lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili ardhi yao apewe Mwarabu...
Kuna utumwa wa aina nyingi ukiwemo wa fikra, ngono, kutumikishwa na pia huu wa siasa ambao Msigwa na Peneza ndo unawahusu
CCM sasa hivi kazi yao ni kuitisha mikutano halafu wao wanakaa background...
Tanzania bara tuna rate ndogo ya udini lakini tunakokwenda siko, tukiyapuuzia tutajifunza kwa consequences.
Kuna video naiona baadhi ya miradi kama Airport wanaanza kuweka vyumba maalum kwajili...
Mwaka 2006 vijana watatu ndugu wa familia moja ambao walikua wafanybiashara wa madini kutoka Mahenge mkoani Morogoro pamoja na dereva taxi wao waliuawa kikatili na serikali ya CCM chini ya agizo...
Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa
Amesema wamefikia uamuzi huo kwasababu kuna Utalii...
Tatizo watanganyika wameisha jimilikisha jina na nchi ya Tanzania na wameuvaa Utanzania haswa kuliko Wazanzibar.
Wanadhani Wazanzibar ni Watanzania na wanajali hata kuhusu huo Utanzania na mambo...
Mwabukusi na "PC" yake anapotosha ukweli...
Anawaita ndugu zetu kuwa ni WAMASAI...hapa anaunga mnyororo wa WAPOTOSHAJI WA NDANI NA NJE.
Hii ndio FIMBO YAO KUBWA....wengi wa watanzania wenye...
Naandika kifupi Sana kushauri juu ya utendaji wa Waziri huyu ambaye tangu akiwa naibu Waziri alionyesha kiwango cha chini Sana cha uwajibikaji. Ukipita Kila mtandao utakutana na Malalamiko ya...
Rais Samia amezitaka Jami zinazoishi maeneo yenye Vivutio vya Utalii kuendeleza Mila na Desturi za maeneo hayo Ili kulinda Heshima ya Mila hizo na kuendelea kuvutia Watalii
Source: Clouds media
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshtushwa na madai ya madereva wa Serikali kulogana ili wapate magari ya kufanyia kazi.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Juma Mtanda kwenye kongamano...
Hakuna namna kwa hali ilivyo fomu zaidi ya moja haikwepeke kama kweli CCM watanganyika wanatupenda watanganyika wenzao. Mambo ni magumu sana huku bara.
Ajira kiduchu, Hata Kinana anajua...
WAZIRI KAIRUKI AKAGUA UJENZI WA MRADI WA NYUMBA MSOMERA
Asisitiza Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu inalenga kuboresha maisha ya wananchi
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki...
Helo Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) Wameshutumu Vikali kile wamepita Undumilakuwili na Ukosefu wa Uadilifu Kwa Wanaopinga mkataba wa Bandari kwa kile wameita kugumbia...
Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo...
Nimefuatilia mitandaoni nyendo za RPC Dodoma aliyeondolewa, nimefuatilia kuona mahusiano yake na jamii pamoja na utendaji kazi wake. Nachelea kuamini kwamba katika kinywa kile maneno...
Habari wananzengo,
Tumesambaziwa barua na Chama cha Mapinduzi kutuomba kuchangia kuboresha zoezi la kulipa kura, lakini mie nahisi harufu na rushwa na kupigwa maana daftari ya kupiga kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.