Tunachezea pesa kwa mambo kama Tamasha la Kizimkazi

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Sooni ninakusudia kuachana na CCM nimeipigania hapa yangu 2009, JF sijawahi kuisaliti ila Kwa yanayoendelea nchini naona kama nawasaliti watanzania wenzagu kushabikia huu upuuzi unaoendelae Kwa kutapanya pesa za walalahoi maskini huku sisi tukiendela kula Bata tena Kwa vitu visivyo na maana na Wala havisaidii taifa.

Imekuwa nchi ya sherehe ,matamasha ,wizi,ufisadi, ujambazi ,huku nchi ilikosa mwelekeo wakiuchumi Kwa watoto wetu

Unawaita wasanii wakae wiki nzima kizimkazi wale ,wanywe walale Kwa pesa za walalahoi maskini wa taifa hili .

Unawaita wanasiasa ,mawaziri, Askari na n.k wakae wanywe wale walale na michepuko yao Kwa pesa za walalahoi maskini wa taifa hili.

Hapohapo unatoka kuongeza wizara nne mpya kwenye baraza la mawaziri wale bila sababu ya msingi
 
Sooni ninakusudia kuachana na CCM nimeipigania hapa yangu 2009 jf sijawahi kuisaliti ila Kwa yanayoendelea nchini naona kama nawasaliti watanzania wenzagu kushabikia huu upuuzi unaoendelae Kwa kutapanya pesa za walalahoi maskini huku sisi tukiendela kula Bata tena Kwa vitu visivyo na maana na Wala havisaidii taifa.

Imekuwa nchi ya sherehe ,matamasha ,wizi,ufisadi, ujambazi ,huku nchi ilikosa mwelekeo wakiuchumi Kwa watoto wetu

Unawaita wasanii wakae wiki nzima kizimkazi wale ,wanywe walale Kwa pesa za walalahoi maskini wa taifa hili .

Unawaita wanasiasa ,mawaziri, Askari na n.k wakae wanywe wale walale na michepuko yao Kwa pesa za walalahoi maskini wa taifa hili.

Hapohapo unatoka kuongeza wizara nne mpya kwenye baraza la mawaziri wale bila sababu ya msingi

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Mama wa matamasha. Mara kkkt etc hanaga ziara za kikazi huyo
 
Sooni ninakusudia kuachana na CCM nimeipigania hapa yangu 2009, JF sijawahi kuisaliti ila Kwa yanayoendelea nchini naona kama nawasaliti watanzania wenzagu kushabikia huu upuuzi unaoendelae Kwa kutapanya pesa za walalahoi maskini huku sisi tukiendela kula Bata tena Kwa vitu visivyo na maana na Wala havisaidii taifa.

Imekuwa nchi ya sherehe ,matamasha ,wizi,ufisadi, ujambazi ,huku nchi ilikosa mwelekeo wakiuchumi Kwa watoto wetu

Unawaita wasanii wakae wiki nzima kizimkazi wale ,wanywe walale Kwa pesa za walalahoi maskini wa taifa hili .

Unawaita wanasiasa ,mawaziri, Askari na n.k wakae wanywe wale walale na michepuko yao Kwa pesa za walalahoi maskini wa taifa hili.

Hapohapo unatoka kuongeza wizara nne mpya kwenye baraza la mawaziri wale bila sababu ya msingi
Haupo kwenye mgao wa Kizimkazi??
 
Kuna watu kwa maandiko yao tu, wanaonesha kabisa roho zinawauma sana kwa mafanikio ya Mama Samia Suluhu.
 
Sooni ninakusudia kuachana na CCM nimeipigania hapa yangu 2009, JF sijawahi kuisaliti ila Kwa yanayoendelea nchini naona kama nawasaliti watanzania wenzagu kushabikia huu upuuzi unaoendelae Kwa kutapanya pesa za walalahoi maskini huku sisi tukiendela kula Bata tena Kwa vitu visivyo na maana na Wala havisaidii taifa.

Imekuwa nchi ya sherehe ,matamasha ,wizi,ufisadi, ujambazi ,huku nchi ilikosa mwelekeo wakiuchumi Kwa watoto wetu

Unawaita wasanii wakae wiki nzima kizimkazi wale ,wanywe walale Kwa pesa za walalahoi maskini wa taifa hili .

Unawaita wanasiasa ,mawaziri, Askari na n.k wakae wanywe wale walale na michepuko yao Kwa pesa za walalahoi maskini wa taifa hili.

Hapohapo unatoka kuongeza wizara nne mpya kwenye baraza la mawaziri wale bila sababu ya msingi
This is Africa, hatuna mipango mamlaka zote ni za mtu mmoja hakuna checkup. Ifike mahali kuwe na jopo la kufanya maamuzi
 
Back
Top Bottom