LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 866
- 1,110
Athari ya kuwa na maduka ya fedha za kigeni mtaani inajitokeza na tayari athari zimejitokeza.
1. Fedha ya Tanzania sio stable tena inabadilika badilika hivyo kuharibu mfumo wa bei ndani ya nchi.
2. Mwanya kwa viongozi wasio waaminifu kupokea rushwa bila kuonekana kwa kuwa miamala hiyo ni ngumu kufuatiliwa.
3. Kuibuka kwa magendo ya fedha za kigeni hasa dola ambapo kuna kila dalili tabia ya kuficha dola na kupitisha kupitia mlango wa nyuma ni dhahiri.
4. Hatari kubwa ni kuongezeka kwa gharama za utekelezaji wa miradi mikubwa ya serikali hivyo kutumia fedha zaidi ya walipa kodi.
Lakini pia tujiulize kuwa wakati mabenki walipokuwa wanafanya hii biashara ya fedha za kigeni kulikuwa na. Athari gani hasi? Binafsi sikuona tatizo na fedha ya kigeni ilipatikàna vizuri sana.
Hima hima uchumi unakwenda mrama BOT sasa wameongeza riba hapo hapo serikali inataka mabènki yapunguze riba wapi na wapi?