Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TLS, LHRC , Vyama vya Siasa na wadau wote wa Haki Nchini. Haya Machozi ya Hawa wazazi yasiende Bure . Wakati tunapaza sauti zetu kuhusu yule Binti alobakwa, Tukumbuke hapa Kuna Kijana Mdogo...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Viongozi wa Dini nyingine, kwa nini mnakaa kimya wakati Watanzania wanapitia katika mateso mbalimbali? Kuna suala la Wamasai wa Ngorongoro na suala la kutekwa watu, viongozi mbalimbali wa Dini...
2 Reactions
9 Replies
643 Views
1. Hayati alipenda CCM kuliko Tanzania. Mama anapenda Tanzania kuliko Chama chake 2. Hayati aliogopo yeyote ambaye akubaliani naye. Mama alishazoea siasa za makubaliano kule Zanzibar hivyo...
62 Reactions
159 Replies
14K Views
Ukipita mitandaoni utaona baadhi ya vijana wanavyolalamika bila Sababu Wanamlaumu Rais magufuli kwamba maisha magumu Ati zile maisha magumu zimeripotiwa na Rais wetu mpendwa Tuliobahatika...
90 Reactions
557 Replies
35K Views
Mpaka ifike 2020 watanzania watatambua magufuli ni nani, tujuao magufuli si mwanasiasa na yupo kiutendaji na kibaya zaidi anaamini alichokiamini hakina mapungufu ,ushahidi mwingi upo wakati...
7 Reactions
116 Replies
15K Views
Ni ukweli ulio wazi kabisa kwamba Tundu Lisu na Shujaa Magufuli wanafanana katika mambo mengi ikiwemo Ujasiri, Kujiamini, Ubabe, Upendo na One Man Show Tofauti yao ya Msingi ni Moja tu Kwamba...
11 Reactions
49 Replies
2K Views
Habari zinasema kuwa baada ya kumaliza ziara mkoani Mwanza Rais yupo likizo kijijini kwao.
17 Reactions
181 Replies
37K Views
Zitto Kabwe, ambaye ameweka wazi kuwa anataka kuwa Rais wa Tanzania anasema kuwa Jakaya Kikwete amemwambia yeye na Mbunge wa NCCR Mageuzi, David Kafulila, kuwa anapendelea Rais wa 2015 awe kijana...
4 Reactions
597 Replies
56K Views
Jana mzee Mkapa alimwaga radhi, CCM nayo ikamwaga radhi. Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, alipopata wasaa wa kuhutubia maelfu ya wanachama wa CCM waliokuwa uwanjani wa Jangwani, alirusha...
26 Reactions
827 Replies
94K Views
Nimetafakari, nikaona nipate pia mawazo wanafikra weledi juu ya baadhi ya kauli zenye utata za viongozi kwa wananchi Je, huu ni uungwana kweli? Kauli tata za vingozi wa Tanzania Mtakula nyasi...
15 Reactions
2K Replies
236K Views
Ili kupunguza makali kwa wanzazibari Rais Samia kwa kushirikiana na Mwinyi jengeni bara ya lami kuunganisha Unguja na Bara. Hii itasaidia maroli na vyakula kutoka bara kwenda kuingia kwa urahisi...
1 Reactions
12 Replies
951 Views
Kuna mambo Mwendazake alituachia inabidi tuyaenzi kwa manufaa ya Taifa letu. Kwa bahati mbaya Sana Siasa za ndani na nje ya CCM zinataka kutupofusha tusione mambo ya Msingi ambayo yanabeba...
22 Reactions
94 Replies
8K Views
Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 2024, je, utashiriki katika Kupiga Kura? Kama ndiyo/hapana kwanini? JamiiForums inakukaribisha kushiriki katika Mjadala...
2 Reactions
9 Replies
680 Views
Mwaka jana serikali iliifuta hifadhi ya Kigosi na kufanya kuwa makazi ya watu. Hakukuwa na kelele, badala yake watu wa makundi yote walishangilia...
0 Reactions
2 Replies
324 Views
Mara kwa mara Shujaa Magufuli alikuwa akisema amejitoa Sadaka Nchi ipone kwani ilikuwa imechezewa sana Chadema wakamfanyia kila hila wakisaidiwa na Zitto Kabwe Lakini sasa tunakula Matunda ya...
1 Reactions
12 Replies
520 Views
Kutumia risasi za moto kutuliza vurugu si sawa. Hasa kwa chombo ambacho wananchi wanadhani kimeundwa kuwalinda na kuwaonyesha njia ya amani. Hakika damu haiendi bure, roho zinazotolewa kabla ya...
1 Reactions
9 Replies
333 Views
Inabidi tuanze kujifikirisha tena kidogo kwa fikra yakinifu dhidi ya Faida na Hasara za Uhusiano wa kidplomasia na Mataifa yenye Migogoro ili tusije kuingia kwenye kaburi ya Halaiki lililochimbwa...
3 Reactions
54 Replies
7K Views
Baada ya mwanaharakati na mtungeneza maudhui Fortunatus Buyobe kudai kuwa SSP Fatuma Kidongo ndio anayetajwa kama afande na wabakaji wakati sio kweli mwanasheria wa familia amedai kuwa mteja wake...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Hivi Watanzania wanaelewa mifumo ya uongozi? Kama hawaelewi huko shuleni wanajifunza nini? Kila Jambo hata Mambo madogo ya kifamilia utasikia mtu anamlilia Rais. Mtu akitembea na mke wa mtu...
2 Reactions
26 Replies
868 Views
Back
Top Bottom