Baadhi ya Viongozi wa Dini mpo upande gani kuhusu yanayoendelea nchini?

Mushkov

JF-Expert Member
Feb 16, 2024
334
640
Viongozi wa Dini nyingine, kwa nini mnakaa kimya wakati Watanzania wanapitia katika mateso mbalimbali?

Kuna suala la Wamasai wa Ngorongoro na suala la kutekwa watu, viongozi mbalimbali wa Dini wamejaribu kupaza sauti zao kukemea maovu yanayofanywa lakini viongozi wa Dini nyingine mpo wapi?

Hamyaoni haya?
 
Viongozi wa Dini nyingine, kwa nini mnakaa kimya wakati Watanzania wanapitia katika mateso mbalimbali?
Kuna suala la wamasai wa Ngorongoro na suala la kutekwa watu, viongozi mbalimbali wa Dini wamejaribu kupaza sauti zao kukemea maovu yanayofanywa lakini viongozi wa Dini nyingine mpo wapi?

Hamyaoni haya?
Wanasubiri kukusanya sadaka tu makondoo wao tu
 
Back
Top Bottom