Shujaa Magufuli alijitoa Sadaka Ili nchi ipone!

Shujaa Magufuli alijitoa Sadaka Ili nchi ipone!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,636
Mara kwa mara Shujaa Magufuli alikuwa akisema amejitoa Sadaka Nchi ipone kwani ilikuwa imechezewa sana

Chadema wakamfanyia kila hila wakisaidiwa na Zitto Kabwe

Lakini sasa tunakula Matunda ya Uzalendo wake na Waziri wa Fedha ameanza rasmi kutumia Usafiri wa Treni ya SGR 😂

Ndiye Ajaye

Mlale Unono 😀😀🌹
 
Magufuli hakujitoa sadaka.
Alitumua fedha za umma kujenga Airport nyumbani kwa mama yake.

Aliiba uchaguzi matokeo yake bunge limekufa.
 
Wewe nawe unachosha
 
Kuhusu huyo ajaye siko pamoja nawe......

Kuhusu kujitoa sadaka kwa JPM hakika hakika niko pamoja nawe [emoji7][emoji7]

JPM alijitoa hasa kwa nchi hii na ndio maana kazi zake zinaendelezwa na CHUMA CHA PUA ironlady mh.Rais SSH....

Ingalikuwa Rais SSH naye hajitoi sadaka kama mtangulizi wake basi haya yangetokea;

1)Mradi wa SGR ungekufa....

2)Mradi wa ujenzi wa bwawa la umeme la mwalimu Nyerere TUNGEUZIKA....

3)Ununuzi wa ndege ungebaki historia

4)Filamu ya "Royal Tour" isingalikuwepo.

5) Scholarship za Samia zisingekuwepo kwani ujenzi wa vituo vya afya na hospitali ungekoma....

Ni mengi mno......

Mh.Rais SSH ataendelea kuwa THATCHER wetu.....[emoji7][emoji1787]

#Nchi Kwanza [emoji7]
#JMT milele dumu [emoji7]
#Serikali mbili za JMT Milele[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Yule alikuwa Dikteta uchwara,

Sasa tumempata chura kiziwi, hapa hata shetani ametulia pembeni anachukua notes😭😭
 
Kuiba uchaguzi na kuwaachia bunge kibogoyo la ndio mzee ndio kujitoa sadaka?
 
Magufuli hakujitoa sadaka.
Alitumua fedha za umma kujenga Airport nyumbani kwa mama yake.

Aliiba uchaguzi matokeo yake bunge limekufa.
Mwambie ukweli huyu pimbi hajielewi kabisa ni mpumbavu sana!
 
Back
Top Bottom