Nimewiwa kufikiri "detrimental sequalea" ya kupotea kwa watu na hata kuuwawa. Hili limekaaje katika kuwatisha wageni wetu na athari zake katika soko la utalii.
Kenya wamepitia magumu katika sekta...
Wote lile genge walioshangilia kifo cha Rais wa Tanzania 17/3/2021 anzeni kutubu haraka maana mmejionea wenyewe jinsi watanzania walivyoupokea msiba wa jasusi mbobezi Benard Membe. Mitandao ya...
Tundu Lisu kwenye hotuba zake hazungumzii uchumi, ajira wala viwanda, hawezi kutaja hata maendeleo ya barabara wala vifaa tiba mahosipitalini.
Yeye kwa miaka mitano ni kuelezea tu alivyopigwa...
c&p....DR KIGWANGALA AMPIGA RISASI MFANYAKAZI WAKE NA KUMJERUHI VIBAYA SANA
Mh, Mbunge wa Nzega HAMIS KIGWANGALA Leo 23-5-2023 anatuhumiwa kumpiga Risasi na kumjeruhi Kijana Anayefahamika kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii ndio taarifa yao .naiweka kama ilivyo pasipo kuweka neno langu hata moja wala nukta.
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Dodoma umelaani vikali...
Stendi mpya ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza imeanza kazi rasmi leo tarehe 5/6/2023 huku uzuri wake ukiwaacha hoi wananchi na kusema iko vizuri zaidi ya viwanja vingi vya ndege.
Ikumbukwe jiwe...
Tarehe 15/8/2024 chama cha mapinduzi huko jijini Mwanza kimefanya jambo la aibu ,dhihaka na kejeli mbele ya wazalendo wa nchi hii kwa kuwachangisha masikini ili eti msaliti Lisu apate gari...
Mtu aliyezunguka dunia na kupita kwenye vyombo mbalimbali vya habari akifurahi na kushangilia waziwazi kifo cha Rais Magufuli leo ni wa kulilia kwenda kuweka maua kwenye kaburi lake?
Yani furaha...
Utamkuta mtu amejenga nyumba yake binafsi, ameoa au kuolewa, amepata mtoto, amehitimu kiwango fulani cha elimu, anasafiri, anaanza kwa kumshukuru mama.
Wengine wanafika mbali zaidi hata kwenye...
Tumefika salama. Kumshindikiza mzee wetu
=======
Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Masauni, amesema Rais amehuzunishwa sana na tukio hili, na kutoa wito kwa mtu yeyote kuacha kushutumu...
Kila mtu ameumbwa na nguvu zake za ziada ingawa tunafanana, eiza ikwa ni sababu ya kuwa kalibu kiimani na Muumba wake, au na asili ya chimbuko la mizimu yake huko alikotoka
Inawezekana...
Katika hali isiyo ya kawaida wawakilishi wa Serikali katika msiba wa Ally Mohammed Kibao uliofanyika jijini Tanga wamekumbana na zomea zomea wakati wakitoa hotuba zao.
Zomea zomea hiyo ilianzia...
Tuliosoma vyuo vikuu tuliona. Vijana waliokuwa UVCCM ndo wengi wao walikuja kuajiriwa Serikalini na kuingizwa kwenye vyombo vya dola ikiwemo usalama wa Taifa.
Mimi niliosoma nao waliokuwa mstari...
Katika jambo la kustaajabisha kabisa ni tukio la wamasai waliohamishwa kutoka Ngorongoro na kupelekwa kule Handeni, Tanga eneo la Msomera wameonekana pia Ngorongoro wakati huu wa sakata la wamasai...
Siasa za vyama vingi zilianza mwaka 1992 baada ya IMF na WB kutoa vipaumbele na masharti kwa nchi zitakazotaka kukopeshwa kwa wakati huo, masharti hayo ni pamoja na kuwa na soko huria na kuwa na...
Bwana Martin Niemoller {1892-1989} anasema "First they came for the socialists and l didn't speak out, because l was not a socialist then they came for the Trade unionists and l didn't speak out...
Serikali ya Rais Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa - TISS ambao kwa ujumla wake una mapungufu mengi ikiwemo kuwapa kinga ya makosa ya jinai kwa maafisa wa idara...
Kweli watu wana ajenda zao....
Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la...