Kila mtu ameumbwa na nguvu zake na kuna damu huwa haziendi bure

cumbamalema

JF-Expert Member
Sep 4, 2024
259
597
Kila mtu ameumbwa na nguvu zake za ziada ingawa tunafanana, eiza ikwa ni sababu ya kuwa kalibu kiimani na Muumba wake, au na asili ya chimbuko la mizimu yake huko alikotoka

Inawezekana umeshashuuhudia kitu kama hiki, kuna watu wakifa lazima waenda na watu kwa namna moja au nyingine, na hata kama wauaji walitaka kuficha ushahidi wa muhusika wanajikuta wanafanya vitu ambavyo wao wenyewe hawakutarajia na kila kitu kinabaki wazi, naamini huko waliko kuna watu hawaijui kesho yao itakuwaje, na wenda wakaishia kuwa wendawazimu r.i.p All Mohamed
 
Screenshot_2024-09-08-10-48-20-1.png
 
Serikali inahusika kwa 100%. Samia hizi damu zitatakwa mikononi kwako

Wanatuua na sisi tunajifanya mazoba
Amini nawambia, hii damu haitakwenda bure, marehemu inaonekana ilijiapiza mbele ya Mungu wake, kwanza alitaka mwili wake uzikwe kama watu wengine wanavyozikwa, hakutaka upotee, mengine tutayaona kutokana kauli zake mwenyewe, mengi yanakuja
 
Kila mtu ameumbwa na nguvu zake za ziada ingawa tunafanana, eiza ikwa ni sababu ya kuwa kalibu kiimani na Muumba wake, au na asili ya chimbuko la mizimu yake huko alikotoka

Inawezekana umeshashuuhudia kitu kama hiki, kuna watu wakifa lazima waenda na watu kwa namna moja au nyingine, na hata kama wauaji walitaka kuficha ushahidi wa muhusika wanajikuta wanafanya vitu ambavyo wao wenyewe hawakutarajia na kila kitu kinabaki wazi, naamini huko waliko kuna watu hawaijui kesho yao itakuwaje, na wenda wakaishia kuwa wendawazimu r.i.p All Mohamed
Naunga mkono hoja
P
 
Back
Top Bottom