Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,510
- 7,755
Tundu Lisu kwenye hotuba zake hazungumzii uchumi, ajira wala viwanda, hawezi kutaja hata maendeleo ya barabara wala vifaa tiba mahosipitalini.
Yeye kwa miaka mitano ni kuelezea tu alivyopigwa risasi, basi, na anaonyesha wazi namna anavyoshirikiana na makampuni ya kibeberu kunyonya rasilimali za taifa. Kwa upande mwingine, Humphrey Polepole anayezungumzia namna ya kukuza uchumi wa nchi, kuongeza ajira kupitia viwanda, na namna ya kusogeza huduma kwa wananchi kama barabara, mahospitali, na mazingira bora ya ufanyaji biashara kwa wamachinga.
Anazungumzia namna ya kulinda rasilimali za nchi yetu kutoka kwa wanyonyaji mabeberu. Kwa hiyo, watanzania siyo wajinga na watachagua Humphrey Polepole, mtetezi wa rasilimali zao.