Dkt. Kigwangala ampiga risasi na kumjeruhi vibaya mfanyakazi wake

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
c&p....DR KIGWANGALA AMPIGA RISASI MFANYAKAZI WAKE NA KUMJERUHI VIBAYA SANA

Mh, Mbunge wa Nzega HAMIS KIGWANGALA Leo 23-5-2023 anatuhumiwa kumpiga Risasi na kumjeruhi Kijana Anayefahamika kwa jina la SAID OMARY ambaye ni mfanyakazi wake na kupelekea kumjeruhi vibaya sana Miguuni na sehemu Mbalimbali za mwili wake Katika eneo la NHUNGUMALWA Kwimba Eneo ambalo Mh Hamis Kigwangala amekodi kiwanda cha Pamba(Cotton Ginnery)

Chanzo cha mgogoro huo hadi kupelekea kupigwa Risasi na Mh Kigwangala ni kutokana na Bwana Said Omary kumdai malipo yake bwana Kigwangala baada ya kuona anadaiwa Mh Kigwangala alidai yeye ndiye anamdai Fedha milioni 28 Bwana Said kufuatia hilo Bwana Said Omary aliona ni kama Anataka kudhulumiwa ndipo ukatokea ubishani mkubwa uliopelekea Mh Kigwangala kufyatua Risasi Hewani na Moja kumpiga Miguuni na Sehemu Mbalimbali za Mwili Bwana Said Omary, Baada ya kutokea hilo Said alienda Polisi kuchukua Pf 3 na hatimaye Kutibiwa majeraha yake, Polisi kituo Kikuu Cha Ngudu Ililazimika kumweka Ndani Mh Hamis Kigwangala.

Taarifa Zilizoifikia NGUDU ONLINE TV Zinasema kuwa jioni ya Leo Mh Kingwangala ametolewa kwa Dhamani kwa madai kuwa ANAWAHI Bungeni Dodoma, Na Taarifa zilizopo zinaonesha kuwa Zipo jitihada kubwa za kulizima jambo hili kimya kimya na JESHI LA POLISI KUPITIA KIGOGO MMOJA ALIYEPO POLISI MKOA WA MWANZA Kwa kushirikiana na OC CID KWIMBA Anaonekana kuwa kwenye Mpango huu wa Kumaliza kesi hii Ili ionekane Kijana Huyu Hajapigwa Risasi na Mh Hamis Kigwangala Kwa kubadilisha maelezo yaliyopo Na KUMBADILISHIA KESI Said Omary Ili Kumlinda Mh Hamis Kigwangala , kitu ambacho kinaonesha Waziwazi Uvunjaji wa Sheria za nchi.

Baadhi ya Viongozi Katika Wilaya ya Kwimba waliohojiwa na NGUDU ONLINE TV Wakiwemo Watetezi wa Haki za Binadamu kutoka Maeneo mbalimbali Ya Mkoa wa Mwanza Wameoneshwa kusikitishwa na Kitendo cha Polisi kumwachilia Mh Kigwangala kwa haraka haraka bila kufuata taratibu nyinginezo Na wamezidi kuhoji kwa nini Watuhumiwa wengine huchukua hadi Siku 5 wakiwa Rumande bila dhamana kwa kisingizio cha Upelelezi kwa Nini huyu Aachiliwe kwa muda mfupi kupita Kiasi? Aidha Watetezi wa Haki za Binadamu Wameahidi kuendelea kufuatilia kwa Karibu Kesi hii Hasa dalili za Kijana Said Omary Kubadilishiwa Kesi na Yeye kuwekwa ndani ili kumlinda Mh Hamis Kigwangala.

NGUDU ONLINE TV Ilipompigia Simu Bwana Said Omary Alikiri kweli kutokea kwa tukio hilo na AMEMUOMBA Mh Rais Kumsaidia kupata haki Yake!

===========

Suala hili limetolewa ufafanuzi na Jeshi la Polisi hapa:

Polisi: Kigwangalla hajampiga risasi mlinzi Jumanne

c&p....DR KIGWANGALA AMPIGA RISASI MFANYAKAZI WAKE NA KUMJERUHI VIBAYA SANA

Mh, Mbunge wa Nzega HAMIS KIGWANGALA Leo 23-5-2023 anatuhumiwa kumpiga Risasi na kumjeruhi Kijana Anayefahamika kwa jina la SAID OMARY ambaye ni mfanyakazi wake na kupelekea kumjeruhi vibaya sana Miguuni na sehemu Mbalimbali za mwili wake Katika eneo la NHUNGUMALWA Kwimba Eneo ambalo Mh Hamis Kigwangala amekodi kiwanda cha Pamba(Cotton Ginnery)
Chanzo cha mgogoro huo hadi kupelekea kupigwa Risasi na Mh Kigwangala ni kutokana na Bwana Said Omary kumdai malipo yake bwana Kigwangala baada ya kuona anadaiwa Mh Kigwangala alidai yeye ndiye anamdai Fedha milioni 28 Bwana Said kufuatia hilo Bwana Said Omary aliona ni kama Anataka kudhulumiwa ndipo ukatokea ubishani mkubwa uliopelekea Mh Kigwangala kufyatua Risasi Hewani na Moja kumpiga Miguuni na Sehemu Mbalimbali za Mwili Bwana Said Omary, Baada ya kutokea hilo Said alienda Polisi kuchukua Pf 3 na hatimaye Kutibiwa majeraha yake, Polisi kituo Kikuu Cha Ngudu Ililazimika kumweka Ndani Mh Hamis Kigwangala, Taarifa Zilizoifikia NGUDU ONLINE TV Zinasema kuwa jioni ya Leo Mh Kingwangala ametolewa kwa Dhamani kwa madai kuwa ANAWAHI Bungeni Dodoma, Na Taarifa zilizopo zinaonesha kuwa Zipo jitihada kubwa za kulizima jambo hili kimya kimya na JESHI LA POLISI KUPITIA KIGOGO MMOJA ALIYEPO POLISI MKOA WA MWANZA Kwa kushirikiana na OC CID KWIMBA Anaonekana kuwa kwenye Mpango huu wa Kumaliza kesi hii Ili ionekane Kijana Huyu Hajapigwa Risasi na Mh Hamis Kigwangala Kwa kubadilisha maelezo yaliyopo Na KUMBADILISHIA KESI Said Omary Ili Kumlinda Mh Hamis Kigwangala , kitu ambacho kinaonesha Waziwazi Uvunjaji wa Sheria za nchi, Baadhi ya Viongozi Katika Wilaya ya Kwimba waliohojiwa na NGUDU ONLINE TV Wakiwemo Watetezi wa Haki za Binadamu kutoka Maeneo mbalimbali Ya Mkoa wa Mwanza Wameoneshwa kusikitishwa na Kitendo cha Polisi kumwachilia Mh Kigwangala kwa haraka haraka bila kufuata taratibu nyinginezo Na wamezidi kuhoji kwa nini Watuhumiwa wengine huchukua hadi Siku 5 wakiwa Rumande bila dhamana kwa kisingizio cha Upelelezi kwa Nini huyu Aachiliwe kwa muda mfupi kupita Kiasi? Aidha Watetezi wa Haki za Binadamu Wameahidi kuendelea kufuatilia kwa Karibu Kesi hii Hasa dalili za Kijana Said Omary Kubadilishiwa Kesi na Yeye kuwekwa ndani ili kumlinda Mh Hamis Kigwangala

NGUDU ONLINE TV Ilipompigia Simu Bwana Said Omary Alikiri kweli kutokea kwa tukio hilo na AMEMUOMBA Mh Rais Kumsaidia kupata haki Yake!
Namkumbuka kingwa Mzee wa site enzi za kusaka mbususu za mabongo movie Kwa ndege za taifa ,fisadi kama fisadi

USSR
 
Kwamba alipigwa risasi sehemu mbalimbali za mwili, kisha akaenda polisi kuchukua PF3. Ukitaka kudanganya uwe na akili za kutosha. Labda kama bunduki huijui
 
images (11).jpeg
 
Mbona sabaya and co aliwaacha wafanye watakavyo?
 
Pesa na cheo Huwa havifungwi ila umaskini..

Matukio kama haya ndio yalipaswa kuchukuliwa na jamii Kwa Ajili ya kufanyia uamzi ila Kwa kuwa Tzn imejaa watu wanafiki na wabinafsi na njaa Kali ,wasiojitambua basi hili nalo litapita kama la Naibu Waziri na yule Binti.
 
Back
Top Bottom