Wote mlioshangilia kifo cha Rais mmejionea wenyewe ,anzeni kutubu

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Wote lile genge walioshangilia kifo cha Rais wa Tanzania 17/3/2021 anzeni kutubu haraka maana mmejionea wenyewe jinsi watanzania walivyoupokea msiba wa jasusi mbobezi Benard Membe. Mitandao ya kijamii imelipuka kwa shangwe badala ya masikitiko!!
Freeman Mbowe, Lema ,Lisu ,Nape Makamba, Kigogo, Zito Kabwe kama msipotubu vifo vyenu vitashangiliwa sana tu zaidi ya hiki cha jasusi mbobezi na muda si mrefu hilo litatimia
 
Hatimaye Chama cha Watu Wema kimefikiwa!
 
Mzindakaya alilia kabisa tena mbele ya Camera na hatunaye. Unadhani wewe ndiye utaishi siku zote kwa sababu uliumizwa?
 
Wote lile genge walioshangilia kifo cha Rais wa Tanzania 17/3/2021 anzeni kutubu haraka maana mmejionea wenyewe jinsi watanzania walivyoupokea msiba wa jasusi mbobezi Benard Membe. Mitandao ya kijamii imelipuka kwa shangwe badala ya masikitiko!!
Freeman Mbowe, Lema ,Lisu ,Nape Makamba, Kigogo, Zito Kabwe kama msipotubu vifo vyenu vitashangiliwa sana tu zaidi ya hiki cha jasusi mbobezi na muda si mrefu hilo litatimia
Kuelekea uchaguzi wa 2015 kuna genge lilielekeza mizinga Monduli kuwa Ikulu siyo wodi ya wagonjwa, sijui zile ndimi zi wapi hivi sasa
Kuna genge lili🥂 🍻 🍾 🍝🥪🍗 17.03.2021 sijui linajifunza nini siku zinavyosogea
 
Jiwe watu kufurahia kifo chake ilikuwa ni kwa sababu ya matendo yake; ya uonevu,ubaguzi na mauaji.Ni kwamba Jiwe alikuwa analipa kile alichokitenda hapa duniani.Watu wengi waliumizwa sana na Jiwe kipindi cha utawala wake.Suala la Membe kufariki halihalalishi kwamba Jiwe alikuwa mwema,labda kwa SukumaGang,bila shaka wewe ni mmoja wao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom