Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi majuzi nimetoka kununua viwanja vya biashara kwenye mikoa 3 ya Tanzania bara na zoezi limekwenda vizuri sana, mamlaka zimetoa ushirikiano wakutosha, zoezi la kutransfer majina ya wamiliki...
23 Reactions
68 Replies
2K Views
Katiba inasemaje kuhusu ukomo wa mtu kushika madaraka ya Waziri Mkuu wa Jamhuri? Je aliyepo anaweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu baada ya kutimiza Miaka 10 (2015-2025)? Hapa nazungumzia kikatiba...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Katibu wa NEC-Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Amos Makalla, leo Oktoba 16 ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wakaazi kwa ajili ya Uchaguzi wa...
0 Reactions
2 Replies
440 Views
Tume ya uchaguzi ipo chini ya CHAMA x Mwenye kiti wa tume ni mteule wa CHAMA x Wasimamizi wa uchaguzi ni wajumbe wa CHAMA x Polisi wanaosimamia uchaguzi ni wa CHAMA x Usalama wa taifa upo upande...
3 Reactions
8 Replies
533 Views
Polisi mkoani Njombe wamekamatwa watu wawili wa CHADEMA, Emmanuel Raston Ngelime (44) na Obadiah Tedius Chogwa (47) siku ya Jumanne, Oktoba 15, 2024 baada ya video kusambaa, ikionyesha wakiwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna biashara zingine kuita biashara ni kama tu kuonea mtu. Unaona tu kuwa huyu anahangaika tu mkono uende kinywani. Unakuta kijana ana ki duka kidogo, tuivitu tuchache hata kwa macho kuita duka...
2 Reactions
4 Replies
313 Views
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi, Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu. #Samia hakamatiki ==== Below are...
20 Reactions
113 Replies
5K Views
Waziri wa TAMISEMI , Mohamed Mchengerwa, ametangaza kuwa uandikishaji wapiga kura wa serikali za mitaa umefikia asilimia 45 ya idadi ya watu wanaostahiki kushiriki tangu zoezi hilo lilipoanza...
0 Reactions
2 Replies
526 Views
Nimewaza yale ya Lowassa Vs Membe alafu mwingine ndo akaongoza nchi! Kwa kifupi hawa vijana hawajaiva kushika madaraka makubwa kivile ya nchi wanatakiwa kuwa chini ya Uangalizi, wana familia na...
23 Reactions
52 Replies
4K Views
Zoezi linasuasua Hadi aibu! Licha ya viongozi wa kiserikali na wale wa kisiasa kuhamasisha watu wajitokeze lakini wamegonga mwamba. Watu ni kama wamepigwa ganzi hawana shauku Wala hamu na zoezi...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Sina uhakika ila kila nikiwaza naona kama matrix inaegemea kwa Makamba Junior. JK, Luten Makamba na Luten Nauye wazazi wa Ridhiwan, January na Nape. Wazazi wamekuwa wote pale Chuo cha Jeshi...
10 Reactions
47 Replies
3K Views
Ethiopia inaongoza Harakati za kuanzisha Kwa Tume ya Ushirikiano ya Bonde la Mto Nile ambapo mda wowote tarehe ya kusainiwa itatangazwa kabla ya mwisho wa mwaka huu wa 2023. Hata hivyo Misri...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu, Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini siku chache zilizopita alikaribisha kikundi cha waendesha baiskeli kinachoitwa TWENDE BUTIAMA. Soma pia: Sagini: Wenye vikundi muandae miradi...
0 Reactions
1 Replies
295 Views
Kumbe Hamisi Kigwangalla aliwahi kuandika barua za kujiuzulu Uwaziri mara mbili akiwa Wizara ya Maliasili, akidai sababu ni vitu vya kipuuzi na masuala ya umbeya. Barua ya kwanza ilichanwa mbele...
0 Reactions
2 Replies
526 Views
Kabla ya mwaka 2015 kulikuwa na mwamko mkubwa sana kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ili kutimiza adhima yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka. Kuanzia 2010 hadi 2015 ulizuka...
15 Reactions
177 Replies
7K Views
Kuna zoezi linaloendelea kwa ajili ya uandikishaji wa daftari la wapiga kura wa Serikali za Mitaa. Kila mahali kuna malalamiko dhidi ya waandikishaji wa zoezi hili wakikipendelea Chama fulani...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Diwani aliyepata cheo kwa kuziendea kinyume ilani, katiba, kanuni, miongozo na taratibu, nataka atoke hadharani akanushe. Naomba machawa mwambieni. Diwani feki feki atoke hadharani, ahimize watu...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Kesi ya jinai inayomkabili Afisa wa Jeshi la Polisi Fatma Kigondo, anayejulikana kama 'Afande', ikimhusisha na tuhuma za kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo Dovya, Dar es...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
1. Hakuna uraia pacha 2. Hakuna mgombea binafsi 3. Hakuna dhamana kwa baadhi ya tuhuma 4. Hakuna kupinga matokeo mahakamani baada ya uchaguzi. 5. Chama kina nguvu sawa na serikali 6. Rais...
2 Reactions
1 Replies
304 Views
Waziri wa fedha barabara hiyo ni kufungua mkoa wako wa Singida. Sasa ni nini kimekushinda kukiweka lami? Ni barabara ya kufungua uchumi wa mkoa wa Singida. Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom