Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni kama wananchi wamesusia hili zoezi linaloendelea kwa sasa, la kujiandikisa katika daftari la mkazi kwa ajili ya kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Swali hapa la kujiuliza...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania CHADEMA imejaa watu wabinafsi sana, watu wenye roho mbaya,watu wenye mioyo migumu kama zege lililokaukia Juani. CHADEMA siyo chama ambacho unaweza kukiweka hata kwenye...
4 Reactions
185 Replies
6K Views
Mtindo unafanywa sasa wa kuwaandikisha watoto wa shule waliochini ya miaka 18 ni dhahiri ni njama za kuhujumu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa manufaa ya chama tawala. Hakuna chama cha upinzani...
5 Reactions
8 Replies
467 Views
Angalia hapa kwa makini Afisa uandikishaji anaruka nafasi makusudi badae lazima atapachika majina ya watu. OR TAMISEMI Haya ndio maelekeozo mliyowapa maofisa Uandikishaji? Bado mnasema huu...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Oktoba 15, 2024 Manispaa ya Songea ameendelea na zoezi la kuhamasisha wananchi wa manispaa hiyo kujitokeza kwa wingi katika vituo...
1 Reactions
6 Replies
740 Views
Tuwe wakweli na serikali pamoja na wadau wengine tutoke kwenye blanketi la unafiki inajulikana wazi kwamba mahali popote ambapo matokeo ya uchaguzi yanatabirika, hakunaga ari ya ushindani. Watu...
0 Reactions
3 Replies
313 Views
Hii hali ya kujidanganya kwamba Tanzania tuna mfumo wa vyama vingi kunatupotezea muda wa kupata demokrasia halisi ya vyama vingi, mimi nishauri hivi vyama vilivyopo vingekubaliana kuweka mpira...
1 Reactions
11 Replies
600 Views
Mwandishi Yerico Nyerere ameandika makala ndefu katika mitandao ya kijamii akichambua uchumi wa Tanzania katika kipindi ambacho Mwigulu ni Waziri wa fedha. Yerico anaamini Mwigulu ameshindwa...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Urusi, Mhe. Vladimir Putin Jijini...
7 Reactions
66 Replies
13K Views
Kwako Mwalimu Nyerere; Wiki hii tunaitumia kukukumbuka wewe na uongozi wako. Sisi wazee tunakumbuka mbali zaidi hasa zile nyakati za vita Kagera ambavyo wapo wenzetu ambao waliambulia vilema na...
0 Reactions
1 Replies
383 Views
Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Ndugu Lema, nakusabahi Miaka michache iliyopita, wakati ukiwa Canada, na Lissu akiwa ubelgiji mlikuwa mkitoa elimu nzito kuhusu demokrasia na mambo ya uchaguzi. Miongoni mwq elimu nzito mlizokuwa...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Mnec Salim ASAS amesema Mchungaji msigwa ana Sifa za kuongoza CCM Source: Ukurasa X wa Mchungaji msigwa Baadae Mlale Unono 😀🌹
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Katika kata ya Qurus, Wilaya ya Karatu, hekaheka za uandikishaji wa wapiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27 ziliendelea, lakini hali ilikuwa ya kioja. Mussa, msimamizi wa...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Huyu Mwenge wa Uhuru unaokimbizwa Nchi nzima ulitengenezwa Kwa Teknolojia ya zamani Sasa mambo yamebadilika sana na katika Ulimwengu wa roho Mtu anayependa kutumia Vitu Vikuukuu( vya kizamani) na...
7 Reactions
23 Replies
471 Views
Wanabodi, Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!. Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive...
37 Reactions
184 Replies
17K Views
William Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa...
24 Reactions
121 Replies
18K Views
Naona toka ile speach ya Mama ya kuwakemea watu wanaohoji watu kutekwa na kupotea pia kuwakemea kwamba wasitupangie Cha kufanya. Sasa naona mabeberu yameongeza maradufu kuimulika Tanzania. Kama...
3 Reactions
5 Replies
642 Views
𝑵𝒂, 𝑺𝒂𝒊𝒅 𝑻𝒂𝒏𝒌𝒊𝒍𝒆. Tanzania inaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa novemba 2024, uchaguzi ambao ni kiini muhimu katika usimamizi na maendeleo ya jamii zetu. Katika maandalizi ya uchaguzi...
1 Reactions
3 Replies
725 Views
Hali ya uandikishaji wenye Daftari la Kupiga Kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mtaa siyo rafiki, imefikia hatua baadhi ya Waandikishaji wameamua kuingia mtaani kuwatafuta Wananchi ili...
2 Reactions
16 Replies
790 Views
Back
Top Bottom