Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,272
Hivi majuzi nimetoka kununua viwanja vya biashara kwenye mikoa 3 ya Tanzania bara na zoezi limekwenda vizuri sana, mamlaka zimetoa ushirikiano wakutosha, zoezi la kutransfer majina ya wamiliki limekwenda vyema sana.
Baada ya hapo nikaja Zanzibar kupata eneo ili kukamilisha zoezi na kuanza hatua inayofuata. Kwakifupi wameniambia SINA SIFA ya kumiliki ardhi maana mimi sio Mzanzibari wala sio mkaazi wa kudumu wa Zanzibar.
Nimeshangaa sana, huu ni muungano gani? Nawafahamu WAPEMBA wengi wanamiliki viwanja, mashamba na nyumba Tanzania bara na wamemilikishwa kwa kufuata utaratibu uleule tunaofuata watu wa bara.
Mh. Rais hapa mnatunyonya, hakuna haja ya muungano kama mambo yenyewe ni haya. Pia eneo letu la MAKURUNGE lirudishwe toka kwenye mikono ya serikali ya Zanzibar wauziwe watanganyika.