Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge anadikiki kutamka, kuwa wenzetu wana Sovreingty sisi hatuna. Hii ina maana kuwa hawatambui kuwa kuna Tanzania
1 Reactions
9 Replies
190 Views
  • Redirect
Waziri wa fedha na mipango Zanzibar Dkt Juma Malik Akili amesema manufaa ya Zanzibar na hadhi yake ni makubwa sana katika serikali yw Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza kuwa zaidi ya...
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu zangu, mimi ni mwananchi wa kawaida kabisa, sina ufahamu wa mambo mengi kiasi cha kuchanganywa na mambo mengi, leo naomba kupata ufahamu kuhusu umuhimu wa katiba mpya na umuhimu wa kufanyika...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Rais Samia kumuapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama Dkt. John Jingu, Juni 19, 2026 Dar es Salaam. Pia soma - Uteuzi: Dkt. John Jingu ateuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania akichukua...
0 Reactions
3 Replies
227 Views
Binafsi siyo muumini wa kutegemea changamoto za Taifa kutatuliwa na mataifa mengine kama Marekani au kwingineko . Nimuumininsana wa kuziishi kanuni . Binafsi naamini upungufu wa hekima unaweza...
24 Reactions
176 Replies
3K Views
Ofisi Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa zilizopo Kadege mkoani Mbeya zimevamiwa na kuvunjwa na watu wasiojulikana, huku kiasi kikubwa cha mali, vifaa vya...
6 Reactions
15 Replies
335 Views
Kwamba ndugu Polepole alikuwa hajui kama kujirecord vidio kama zile na upo ndani ya nchi ingemletea shida? Kwamba alikuwa na uelewa mdogo kuhusu teknolojia? Inakuwaje unajipiga picha au...
12 Reactions
84 Replies
2K Views
MAANDIKO YANASEMA...TUTAWAGUNDUA KWA VINYWA NA MATENDO YAO. Natamani iwe kama Usajili ili tusajili Wabunge hawa wawe ndani ya Bunge letu na taasisi zenye dhamana ya kulinda Utu na Uhai wetu...
6 Reactions
3 Replies
145 Views
The war remains active, with no ceasefire or peace agreement in place. Fighting continues along multiple fronts, while both sides increasingly rely on long-range drones and missile strikes...
1 Reactions
2 Replies
561 Views
"Lissu hana kosa, anachosema ni kwamba rasilimali za Nchi hii zitumike kwaajili yetu sote na ndiyo maana tunakuja tunasema mzizi wa fitna wa mambo yote haya yatakatwa na Katiba mpya. Na...
4 Reactions
2 Replies
166 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa tuzo maalumu na ya kipekee na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ikitambua mchango wake mkubwa na maono yake kama kinara wa...
1 Reactions
11 Replies
215 Views
Huku ndiko CCM ilikotufikishwa. Sikiliza clip hii, inatia simanzi isiyo kifani
1 Reactions
20 Replies
408 Views
Mwenye Majibu atuwekee hapa, Saada Mkuya alitokea Zanzibar, Leo anataka watanganyika wasitibiwe Zanzibar Tunaomba Majibu na baada ya hapo tujadili Wizara zingine WABHILLAH TAWFIQ
18 Reactions
94 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/watch?v=LQuVd8blxm4
0 Reactions
5 Replies
128 Views
CCM kukubali katiba mpya ambayo italeta tume huru ya uchaguzi ni kujisogeza kaburini hii ni kutokana na hali halisi ilivyo na mwamko wa wananchi hasa vijana Katiba mpya itaifanya CCM isikae...
4 Reactions
6 Replies
177 Views
Ni bahati mbaya sana kwa Urusi, jinsi muda unavyoenda, uwezo wake wa kuidhibiti Ukraine kwenye uwanja wa vita, unazidi kupungua, wakati uwezo wa Ukraine unazidi kuongezeka. Urusi kwa sasa haipati...
1 Reactions
2 Replies
209 Views
Nchi nyingi za Afrika zimekuja na katiba mpya ila imekua ni ngumu sana kwa hizo katiba kutamka waziwazi kuwashughulikia mafisadi ama kwa kuwafunga au kuwanyonga Ni ngumu sana kwa nchi ya Afrika...
2 Reactions
5 Replies
123 Views
So tunaweza kumuita mtu mojawapo jina mfano wa Moses Moses ni mtoto wa shangazi kutoka kanda ya ziwa ambaye aliolewa na mtu wa Kaskazini, wakahamia Mbeya. Hivyo Moses alizaliwa Mbeya, amelelewa...
3 Reactions
45 Replies
554 Views
Raia Magufuli amelifikirisha bara la Afrika na dunia. Congo DRC imekuwa na tatizo la Ebola kwa miaka zaidi ya 10.Sijawahi sikia Mlami aliyefariki kwa Ebola huko Congo. Zaidi hakuna tahadhari ya...
12 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…