Kesi ya Mfanyabiashara Basil, aendelea Kusota gereza la Butimba

Kesi ya Mfanyabiashara Basil, aendelea Kusota gereza la Butimba

Oneonone

Member
Joined
May 5, 2026
Posts
13
Reaction score
13
KESI YA MFANYABIASHARA BASIL AENDELEA KUSOTA BUTIMBA

Kesi inayomkabili Mfanyabiashara na mmiliki wa kiwanda cha kutengeneza nyavu cha Nyamagara Fishing LTD cha jijini Dar es salaam, Basil Kyando, imehairishwa kufuatia wadau muhimu katika kesi hiyo kutofika mahakamani.

Kesi hiyo namba 10606 ya mwaka 2026 ilipelekwa na serikali ya Tanzania wakimtuhumu mfanyabiashara huyo kujipatia shilingi zaidi ya bilioni 1 kwa biashara ya utengenezaji wa nyavu za uvuvi.

Kesi hiyo ya uhujumu uchumi, ipo kwa hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi Mwanza, Erick Marley.

Akizungumza nje ya mahakama hiyo, Wakili wa upande wa utetezi, Elphace Rweshabua, amesema sababu zilizosababisha kesi hiyo kutosikilizwa imetokana na wadau muhimu katika kesi hiyo kushindwa kufika mahakamani na kupangiwa terehe nyingine.

Inaelezwa kuwa mfanyabiashara huyo anayefahamika kwa jina la Basil Daud Kyando, alikamatwa Aprili 30 mwaka huu na watu waliojitambulisha kuwa ni askari Polisi, akiwa dukani kwake.

Pamoja na kumkamata maafisa hao walichukua shehena kubwa ya nyavu ambazo zilikuwa dukani na kuondoka nazo na mpaka sasa hazijulikani zilipo.

Hata hivyo inaelezwa kuwa baada ya kumkamata Mfanyabiashara huyo alifichwa kwenye nyumba moja ya TAFICO jijini Dar Es salaam na kukaa hapo kwa siku mbili.

Wakili wa mshtakiwa huyo, Elphace, anasema kukwamatwa na kufikishwa mahakamani kwa Mfanyabiashara huyo, anafafanua kuwa Aprili 4 mwaka huu, maafisa hao kwa kushirikiana na askari polisi walimsafirisha kwenda jijini Mwanza.

Kabla ya kufikishwa Mwanza walifikia mkoani Singida katika kituo kimoja cha mafuta (jina linahifadhiwa)baada ya siku moja iliyofuata Aprili 5 mwaka huu,alisafirishwa mpaka jijini Mwanza na kupelekwa eneo la Igogo kwenye meli ya New Mv. Mwanza na kuwekwa hapo kwa siku tatu.

Baada ya kukaa kwenye meli hiyo kwa siku tatu, Mei 5, mwaka huu alipelekwa kituo kikuu cha Polisi kwa ajili ya mahojiano.

Kufikishwa kwa mara ya kwanza katika kituo kikuu cha Polisi jijini Mwanza, ndipo ndugu zake walipata taarifa na kuomba ndugu yao afikishwe mahakamani kwa ajili ya kusomewa tuhuma zinazomkabili.

Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza liliwaeleza ndugu wa Mfanyabiashara huyo kuwa watamfikishwa Mahakama kuu mei 18 mwaka huu, hata hivyo kabla ya tarehe hiyo Polisi walimfikisha mahakama ya mkoa wa Mwanza Mei 15 kitendo ambacho kinazua wasiwasi kuhusiana na kesi hiyo.

Kwa mjibu wa Wakili wa mshtakiwa anaeleza kuwa mfanyabiashara huyo baada ya kufikishwa mahakamani alisomewa kesi ya utakatishaji fedha namba 10606 ya mwaka 2026 ambayo haina dhamana.

Kesi hiyo itatajwa mahakamani hapo Juni 22 kwa ajili ya kupitia maombi ya mteja huyo ili kumaliza kesi nje ya Mahakama.
 
Kwamba alikamatwa April 30, 2026 Pale mwanza na Kupelekwa Dar. Halafu April 3, 2026 akasafirishwa kutoka Dar kwenda Mwanza. Hii ni dosari kubwa ktk maelezo yako.
 
Kwamba alikamatwa April 30, 2026 Pale mwanza na Kupelekwa Dar. Halafu April 3, 2026 akasafirishwa kutoka Dar kwenda Mwanza. Hii ni dosari kubwa ktk maelezo yako.
Soma tena uelewe sio kuandika bila kusoma na ukaelewa
 
Fanya kazi wewe wacha visingizio vya kijinga.
Kuna biashara hapa Tanzania huwezi kuzifanya ukaachwa salama na hao waarabu.
Biashara ya Kokoto kwa scale kubwa, biashara ya viwanda vya nyavu, biashara ya kusafirisha nyama kwenda Oman na Arabs, Biashara ya kuingiza mafuta ya kupikia hapa nchini, biashara ya kuagiza mafuta (dizeli na petroli)
 
Fanya kazi wewe wacha visingizio vya kijinga.

nafanya kazi, tena sana tu, kwanza Christians karibia wote ni hard working people, ukiangalia wanao amka saa 10 alfajiri kwenda kazini kila siku >85% ni Christians, wanaoshinda shambani wakilima katika mazingira magumu na kuzalisha chakula kwa mahitajii ya nchi nzima wengi wao ni Christians na muslims kama yule msomali wanakuja na udanganyifu na kuiba, wanaosoma kwa bidii na kupata high grades shuleni wengi wao ni Christians, Christians ni walipaji kodi wakubwa tanzagiza (siyo "wafanyabiashara wakubwa" arabs, hao arabs hawalipi kodi takwimu zipo tra), hivyo Christians wanafanya kazi na kujituma sana lkn wanatawaliwa na psychopaths ambao wanagawa na kutapanya kodi zetu kwa wrong people i.e arabs , irans, pakis & co. ...
 
Kuna biashara hapa Tanzania huwezi kuzifanya ukaachwa salama na hao waarabu.
Biashara ya Kokoto kwa scale kubwa, biashara ya viwanda vya nyavu, biashara ya kusafirisha nyama kwenda Oman na Arabs, Biashara ya kuingiza mafuta ya kupikia hapa nchini, biashara ya kuagiza mafuta (dizeli na petroli)
Naunga mkono hoja ni kweli kabisa kuna biashara ukiingia wanakupa kesi za kubumba kukushusha na uache hiyo biashara
 
mbona inajieleza, arabs ambao ni muslims na communists “wafanyabiashara” wakubwa tanzagiza, wanaomilikishwa kila kitu.

they keep black man (abdi) down, and keep him permanently poor kama barbaria somalia …
Ndo shida ya kung'ang'ania masomo ya historia..... Ona sasa umemezeshwa na kutapika hvyhvy
 
Ndo shida ya kung'ang'ania masomo ya historia..... Ona sasa umemezeshwa na kutapika hvyhvy

huyo ningemshauri ahamie kenya, achukue kiwanda chake akafungulie kenya, hapo tanzagiza no chance, watammaliza tu hao wanyanganyibiashata wakubwa …
 
Inaonekana ni visa na maslahi ya kibiashara ndio sababu
huko kuwekwa katika nyumba binafsi na katika meli inaonekana kuwepo na majadiliano au kulazimishwa mtuhumiwa afanye jambo fulani

ana bahati sana kuwepo duniani hadi leo pengine wangemuua na maiti yake isionekane
 
Mtikila alikuwa yupo sahihi sana na hawa waarabu na vibaraka wao ndio wamefanya tanganyika kuwa masikini mpaka leo.Utajiri wao waliupata hapa nchini kipindi cha mzee mwinyi na kikwete
 
nafanya kazi, tena sana tu, kwanza Christians karibia wote ni hard working people, ukiangalia wanao amka saa 10 alfajiri kwenda kazini kila siku >85% ni Christians, wanaoshinda shambani wakilima katika mazingira magumu na kuzalisha chakula kwa mahitajii ya nchi nzima wengi wao ni Christians na muslims kama yule msomali wanakuja na udanganyifu na kuiba, wanaosoma kwa bidii na kupata high grades shuleni wengi wao ni Christians, Christians ni walipaji kodi wakubwa tanzagiza (siyo "wafanyabiashara wakubwa" arabs, hao arabs hawalipi kodi takwimu zipo tra), hivyo Christians wanafanya kazi na kujituma sana lkn wanatawaliwa na psychopaths ambao wanagawa na kutapanya kodi zetu kwa wrong people i.e arabs , irans, pakis & co. ...
Kufanya kazi kwa bidii siyo kuhangaika sana, ni ufanisi.
Kuwateka wajinga akili, ukawatawala kiuchumi, ukaweka serikali zao mfukoni na jamii/taifa lako likafaidi ni bidii ya aina yake.
Bidii inayotakiwa ni kuikomboa jamii/taifa kifikra na kivitendo ili wamiliki uchumi wao kwa kuwadhibiti wageni hadi kuwatumikisha.
Bidii haina dini wala rangi, bali weusi ni waoga, wabinafsi wakiuza wenzao.
 
Back
Top Bottom