Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tumeandaa Rasimu ya Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Sheria ya kuongoza Mchakato wa Maridhiano nchini.Lengo la Muswada huu wa Mfano ni kushawishi...
2 Reactions
18 Replies
189 Views
Madeleka ana bahati sana hajapotezwa. Baada ya Presha ya Mitandaoni Polisi wakiri kumshikilia. ==== TAARIFA KWA UMMA POLISI DAR ES SALAAM INAMSHIKILIA WAKILI PETER MADELEKA KWA TUHUMA ZA...
5 Reactions
29 Replies
535 Views
Kama sio chawa ni kumfurahisha Mama na masiha yake tu Wabara wamekuwa kama watume wa Malikia Samia! Mungu ni lini Tanzania tutakuwa huru? https://youtu.be/Ur_aGlVQTkA?si=PpXpuKdFaQp7D22f
3 Reactions
9 Replies
126 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 10 Agosti, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania kupitia...
27 Reactions
258 Replies
6K Views
Kuwa kipindi chote wananchi wa Zambia walikuwa na imani kubwa sana na Rais wao Hichilema, hata ule mgogoro wa maziko ya Edgar Lungu haukuwa Tatizo kwa Wazambia Ugomvi wake na Wazambia ulianza...
43 Reactions
59 Replies
1K Views
Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
0 Reactions
6 Replies
102 Views
Kiongozi wa upinzani Zambia mh. Brian Muntayala Mundubile, ni vizuri akawa mtulivu na akaheshimu demokrasia na maamuzi huru ya wananchi wa jamuhuri ya Zambia kwa kumchagua tena Rais Hakainde...
2 Reactions
55 Replies
481 Views
Watuhumiwa wengine wa uhaini waliachiwa kwa manufaaa ya umma. Why not Lissu amabae hata kesi yake haina muelekeo?👇
15 Reactions
42 Replies
755 Views
JENERALI ULIMWENGU alizaliwa tarehe 4 Aprili 1948 huko Ngara, Mkoa wa Kagera nchini Tanzania. Alisoma shule za Kamachumu, Katoke na Nyakato mkoani Kagera na sekondari mkoani Tabora kuanzia mwaka...
26 Reactions
83 Replies
12K Views
Wanasiasa wengine hivi sasa, hasa vijana hawana tena muamko wenye kuibua mawazo mapya wala fikra mbadala na bora zaidi za kutatua changamoto zao, wala hawana tena uwezo wa kujitetea wenyewe kwa...
0 Reactions
24 Replies
128 Views
Issue ya Mwalimu mchezaji inaweza ikawa muhimu kwa siasa zetu watu wamepanga kunufaika nayo, kumbukeni wiki hii ndio kuna deadline fulani hivi, na uhakika mnaijua lakini pia kuna kesi muhimu sana...
3 Reactions
34 Replies
344 Views
Kumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION? Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwa madai ya Malisa aliyochapisha katika mtandao wa Istagram amesema Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika Mahakama ya uhujumu uchumi...
9 Reactions
94 Replies
2K Views
Mi mi sijali CCM mmeanza kuitawala Tanzania kwa muda gani na mtaitawala Tanzania kwa muda gani hata mkiitawala Tanzania kwa miaka 100 kwangu sawa tu. Shida yangu kwa nini msiwe kama wenzenu CPV...
2 Reactions
25 Replies
601 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kilindi, Mathias Cosmas (maarufu kama Mpendakula), amejibu kauli ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa kwa kile alichodai...
0 Reactions
11 Replies
215 Views
Nimeona leo zanzibar wakihaidi kupeleka nyuki ikulu ya Chamwino ili kumlinda mweshmiwa Rais Hawa wazee wa kimila wanapewa mialiko rasmi ya shughuli kama hizi zinazohusu mkuu wa nchi Wana msaada...
3 Reactions
9 Replies
174 Views
Shekhe anauliza ni lini watanzania, na hasa waislam, wataachana na fikra utumwa dhidi ya waarabu. Anasema waarabu ni washenzi, wao ndio waliowaletea vitabu vya dini, wao ndio wanaosababisha...
11 Reactions
19 Replies
456 Views
  • Redirect
Tanzania..Tanzania 🇹🇿 nchi yangu imekuwa ya kutolewa kwa mifano mibaya namna hii 😭😭 . Msikilize kiongozi wa Upinzani Nchini Zambia. "UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa...
0 Reactions
Replies
Views
Hivi huyu Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani? Wote tunajua Oktoba 29 hakukufanyika uchaguzi. Wote tunajua tume ya uchaguzi ilitangaza matokeo ya uongo. Wote tunajua Samia hakupigiwa kura...
19 Reactions
44 Replies
630 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…