Tumepoteza almasi muhimu, Ndugu Lukuvi

Huyu Mzee sikuwahi kumkubali kote alikopita, lakini kwenye ardhi, ameitendea haki ipasavyo ile nafasi.
Naamini hata kama ameenguliwa kwa majungu au kupishana na wakubwa, kazi kubwa aliyoifanya itampa faraja huko aendapo.

Ametatua matatizo mengi sana na kuiweka sawa wizara, upatikanaji wa hati, urasimishaji ardhi n.k pia hakua muongeaji sana kwenye media zaidi ya kazi zake kuonekana.

Nikatika kipindi chake tumeona watu wakipata hati bila gharama kuzidi 1M kwa viwanja vya kawaida kulingana na ukubwa kitu ambacho awali ulikua unaliwa pesa nyingi na bado hati hauipati.

Sijajua kama u spika utamfaa ila ingekua ni maoni yangu, asingetolewa ardhi akakamilisha kazi nzuri aliyoianzisha.

Namuombea kila la kheri popote atakapokua.
 
Ametenda haki gani kwenye ardhi? Nchi imejaa makazi holela na mipango mibovu ya miji ndo unadai ametenda haki?
 
No man is infallible, all men are falible Binadamu hatukosi kasoro. Lukuvi alikuwa mzuri kwenye ardhi. Kama naye Ni kundi la Sukuma, Basi Ni kumuita na kumuweka sawa . Alikuwa mtendaji mzuri.
Pole Bw Lukuvi.
Alimpiga kabari (kaba) yule mswahilina ofisini kwake nakumuibia mabilion. Hii ndo imemcost uwaziri.
 
Huyu Mzee sikuwahi kumkubali kote alikopita, lakini kwenye ardhi, ameitendea haki ipasavyo ile nafasi.
Naamini hata kama ameenguliwa kwa majungu au kupishana na wakubwa, kazi kubwa aliyoifanya itampa faraja huko aendapo.

Ametatua matatizo mengi sana na kuiweka sawa wizara, upatikanaji wa hati, urasimishaji ardhi n.k pia hakua muongeaji sana kwenye media zaidi ya kazi zake kuonekana.

Nikatika kipindi chake tumeona watu wakipata hati bila gharama kuzidi 1M kwa viwanja vya kawaida kulingana na ukubwa kitu ambacho awali ulikua unaliwa pesa nyingi na bado hati hauipati.

Sijajua kama u spika utamfaa ila ingekua ni maoni yangu, asingetolewa ardhi akakamilisha kazi nzuri aliyoianzisha.

Namuombea kila la kheri popote atakapokua.

He had been a senior minister and an MP for long. It is enough, probably it is a time for him to ascend in the top positions presidency post and parliament speaker inclusive
 
Ametenda haki gani kwenye ardhi? Nchi imejaa makazi holela na mipango mibovu ya miji ndo unadai ametenda haki?

Inategemea unaongelea kwa mtizamo upi na unalinganisha na kitu gani mkuu.

Binafsi nimetolea mfano ushuhuda wa niliyoyaona.

Kumbuka haya mambo ni mchakato na maboresho ni endelevu. Asingeweza kuleta mabadiliko yote mara moja.

Hilo la makazi holela na mipango miji amelirithi likiwa hivyo na lina mizizi tokea enzi. Tuongelee kuanzia alipopokea hiyo wizara.

Kitu ambacho hawajaweza kukifanya ipasavyo ni kupangilia makazi kwa maeneo mapya, kwamba tufanye tulikosea awali, lakini inabidi turekebishe kwa makazi mapya na yajayo.

Sijajua kulikua na mipango na mikakati gani kuhusu hilo.
 
Huyu Mzee sikuwahi kumkubali kote alikopita, lakini kwenye ardhi, ameitendea haki ipasavyo ile nafasi.
Naamini hata kama ameenguliwa kwa majungu au kupishana na wakubwa, kazi kubwa aliyoifanya itampa faraja huko aendapo.

Ametatua matatizo mengi sana na kuiweka sawa wizara, upatikanaji wa hati, urasimishaji ardhi n.k pia hakua muongeaji sana kwenye media zaidi ya kazi zake kuonekana.

Nikatika kipindi chake tumeona watu wakipata hati bila gharama kuzidi 1M kwa viwanja vya kawaida kulingana na ukubwa kitu ambacho awali ulikua unaliwa pesa nyingi na bado hati hauipati.

Sijajua kama u spika utamfaa ila ingekua ni maoni yangu, asingetolewa ardhi akakamilisha kazi nzuri aliyoianzisha.

Namuombea kila la kheri popote atakapokua.
1,000%
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom