Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ikungi mkoani Singida kimemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutogombea ubunge 2025 katika jimbo la Ikungi Mashariki ili kuepuka kupata aibu...
https://youtu.be/Qoag3vwDQrk
Msanii wa UGANDA Jose Chameleon aliimba wimbo unaosema tusisubiri kutoa sifa kwa watu ,wakishaenda, tuwape sifa zao wakiwepo,na ikipendeza wakiwa madarakani...
Wafadhili wa nini wakati tuna kila kitu Almasi,Dhahabu,ardhi yenye rutuba,sisi ndio wafadhili,naomba niwaambie ukweli,tulikuwa na shida kwa viongozi wetu.
Dr. Faustine Ndugulile ameondoka katika kipindi ambacho alitazamiwa kuwa mkuu wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika. Ametuachia majonzi makubwa sana! Sasa tunatamani mtu mwingine achukue...
Hii si kawaida yake mtendaji mkuu huyu wa PPP kuwa kimya hasa pale anapoona umma wa Watanzania unahitaji majibu juu ya hoja yoyote ya PPP.
Kwa historia yake Kafulila ni kijana anayechukia sana...
VIONGOZI wa dini mkoani Arusha,wameridhishwa namna Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini(INEC),inavyoshirikisha makundi mbalimbali kwa kuyaelimisha na kupokea maoni ya uboreshaji wa daftari la...
Chama cha ACT Wazalendo kinatoa tamko muda huu kuhusu kutekwa kwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo, nakutelekezwa usiku wa kuamkia leo katika fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam.
Kwa...
Matukio ya utekaji bado tishio nchini Tanzania kwa tukio la hivi karibuni, la kutekwa kwa Mwenyekiti wa Ngome ya vijana ya chama cha upinzani nchini Tanzania, ACT Wazalendo, Abdul Nondo ambapo...
Nchi ndogo kama Rwanda mikakati yake kutafuta maendeleo inaweza hata kumstaajabisha mtu. Unakuta wako kila umoja wa ushirikiano lakini ni kwa ajili ya vigogo wao kupata ulaji. Wasipopata mambo...
Sisemi mengi, ila ukweli ndio huo na sababu kubwa ni matukio ya watu kutekwa na kuuwawa pamoja na vitendo vya wazi vya kupora uchaguzi na watu kuuwawa kwenye uchaguzi.
CCM inajimaliza kwa kasi...
Wapo wengi kama mimi wanaoshangaa ni kwanini utekaji unazidi kuongezeka na kugeuka donda ndugu.
Je, serikali imeshindwa kweli au kuna namna?
Je, huyu mbeba moano ameshindwa kuona namna wananchi...
Kuna Vijana wanadhani Uwezo mkubwa wa Zanzibar Kwenye Siasa, Uchumi na Utamaduni vimeibuka ghafla tu, wanajidanganya mno
Zanzibar iko Juu kabla hata ya Muungano na kama unabisha Soma historia...
Friends and Our Enemies,
Kuendelea kuwapuuzia MAASKOFU kwa hizi fujo zao wanazoendelea nazo eti kwa kujificha kwao nyuma ya kivuli cha uzalendo na kuwasemea wananchi kunaleta ukakasi sana. Kwanza...
Pamoja na ukweli kuwa Abdulu Nondo na chama wake walikuwa hawawaungi mkono katika mapambano ya kupinga vitendo vya utekaji na uuaji, nawashauri muonyeshe ukomavu wa kwenda hospitali ya Aghakan...
1. Picha za kuonesha hali yake baada ya kupatikana zingeliwa zina trend
2. Picha za hospital zingelikuwa zinatrend
3. Most likely, nasema most likely with emphasis, CLOSE relatives wa Abdul...
Mkuu mpya wa mkoa wa Geita Mheshimiwa Rose amesema ameshangazwa sana kukuta mkoa wa Geita una stendi kuu ya mabasi ya matope.
RC Rose amesema stendi ndio reception hivyo hutoa taswira ya mkoa...
Si mara moja wala mara mbili au mara 3 ambapo jeshi la polisi limeua raia wakiwa wanashikiliwa, yaani wakiwa mikononi mwao, tena mara kadhaa raia hao wakijulikana ni raia wema. Na haya hayajaanza...
Mwenyekiti Mbowe, kwa kiasi kikubwa, bila ya kuwahusisha viongozi wenzake na wanachama, ndiye aliyeingia kwenye maridhiano bandia na Samia. Na ni yeye, ndiye mara nyingi aliwashawishi wanachama na...
MTANZANIA, THOMAS NKOLA maarufu Mkulima amehoji sababu za Chama cha Mapinduzi kumruhusu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) anayetuhumiwa kwenye kashfa mbalimbali za ufisadi kuwa mgeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.