Joseph Warioba unasubiri nini kuondoka CCM?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,414
Reaction score
289,597
Mara kadhaa wewe Mzee umezungumza kuhusu Uchafu uliofanywa na ccm kwenye chaguzi za 2019 na 2020, (Kikwete hakuwahi kusema), Bila shaka anayo Maslahi yake.

Hii 2024 ni aibu zaidi, Sasa siyo Chama tena chenye kuhujumu bali ni Familia.

Nakuomba Mzee wangu simama Uhesabiwe, Ondoka ccm hata kama hutakuwa na chama, lakini tafadhali usiwe sehemu ya huu uhayawani unaopangwa, kwanza kwa Umri ulionao huna haja ya kuogopa Chochote, Vinginevyo utakuwa sehemu ya Laana kuu ya Nchi hii ambayo haijawahi kuwepo tangu kuumbwa kwa Dunia.

Nakuombea Maisha Marefu
 
Nakuomba Mzee wangu simama Uhesabiwe, Ondoka ccm hata kama hutakuwa na chama, lakini tafadhali usiwe sehemu ya huu uhayawani unaopangwa, kwanza kwa Umri ulionao huna haja ya kuogopa Chochote, Vinginevyo utakuwa sehemu ya Laana kuu ya Nchi hii ambayo haijawahi kuwepo tangu kuumbwa kwa Dunia.❤❤❤
 
Hakika
 
Mara kadhaa wewe Mzee umezungumza kuhusu Uchafu uliofanywa na ccm kwenye chaguzi za 2019 na 2020, (Kikwete hakuwahi kusema), Bila shaka anayo Maslahi yake.

Hii 2024 ni aibu zaidi, Sasa siyo Chama tena chenye kuhujumu bali ni Familia.

Nakuomba Mzee wangu simama Uhesabiwe, Ondoka ccm hata kama hutakuwa na chama, lakini tafadhali usiwe sehemu ya huu uhayawani unaopangwa, kwanza kwa Umri ulionao huna haja ya kuogopa Chochote, Vinginevyo utakuwa sehemu ya Laana kuu ya Nchi hii ambayo haijawahi kuwepo tangu kuumbwa kwa Dunia.

Nakuombea Maisha Marefu
Chadema akili amna ..nilipo waonya mlinipinga kwa kila kitu ...sasa niliyo waambia yote yanatokea kwenu ...chadema aikuuliwa na JPM bali mliiua nyinyi wenyewe kwa upumbavu wenu
 
Tusingeshiriki uchafu huu uliopangwa na Mchengerwa ungeujulia wapi?
 
Je ukiambiwa uchague kiongozi bora au siasa ungevchagua nini ?
Je ukiambiwa uwe na kiongozi bora au uwe na democracy unge chagua nini? Tumia akili
 
Mara kadhaa wewe Mzee umezungumza kuhusu Uchafu uliofanywa na ccm kwenye chaguzi za 2019 na 2020, (Kikwete hakuwahi kusema), Bila shaka anayo Maslahi yake.

Hii 2024 ni aibu zaidi, Sasa siyo Chama tena chenye kuhujumu bali ni Familia.

Nakuomba Mzee wangu simama Uhesabiwe, Ondoka ccm hata kama hutakuwa na chama, lakini tafadhali usiwe sehemu ya huu uhayawani unaopangwa, kwanza kwa Umri ulionao huna haja ya kuogopa Chochote, Vinginevyo utakuwa sehemu ya Laana kuu ya Nchi hii ambayo haijawahi kuwepo tangu kuumbwa kwa Dunia.

Nakuombea Maisha Marefu
Kwani kuwa mwanachama wa CCM tu maana yake ni kuwa sehemu ya uovu unaoendelea?

Mtu hawezi kuwa mwanachama wa CCM anayepingana na uovu huo kwa wazi kabisa kutoka ndani ya chama?
 
Mwanaye Kippi Warioba anakula kwa kusaini tu (nadhani ni DC). Kwa muktadha huu usitegemee mzee Warioba kuisaliti ccm.
 
Mara kadhaa wewe Mzee umezungumza kuhusu Uchafu uliofanywa na ccm kwenye chaguzi za 2019 na 2020, (Kikwete hakuwahi kusema), Bila shaka anayo Maslahi yake.

Hii 2024 ni aibu zaidi, Sasa siyo Chama tena chenye kuhujumu bali ni Familia.

Nakuomba Mzee wangu simama Uhesabiwe, Ondoka ccm hata kama hutakuwa na chama, lakini tafadhali usiwe sehemu ya huu uhayawani unaopangwa, kwanza kwa Umri ulionao huna haja ya kuogopa Chochote, Vinginevyo utakuwa sehemu ya Laana kuu ya Nchi hii ambayo haijawahi kuwepo tangu kuumbwa kwa Dunia.

Nakuombea Maisha Marefu
Haya yanayoongelewa ya uchafuzi wa uchaguzi kama ni kweli basi inawachafua sana watu wasafi ndani ya CCM. Chama kimetekwa na kikundi cha watu wachache na kukitumia kwa maslahi yao binafsi. Hivi kweli Viongozi wastaafu hawayaoni? Au wana maslahi na uchafuzi huu wa uchaguzi?
 
Kwani kuwa mwanachama wa CCM tu maana yake ni kuwa sehemu ya uovu unaoendelea?

Mtu hawezi kuwa mwanachama wa CCM anayepingana na uovu huo kwa wazi kabisa kutoka ndani ya chama?
Huwezi kumpinga Shetani huku ukiwa mfuasi wake
 
Haya yanayoongelewa ya uchafuzi wa uchaguzi kama ni kweli basi inawachafua sana watu wasafi ndani ya CCM. Chama kimetekwa na kikundi cha watu wachache na kukitumia kwa maslahi yao binafsi. Hivi kweli Viongozi wastaafu hawayaoni? Au wana maslahi na uchafuzi huu wa uchaguzi?
Kikwete yeye ili mradi mwanae na Mkewe wanapewa vyeo hajali
 
Je ukiambiwa uchague kiongozi bora au siasa ungevchagua nini ?
Je ukiambiwa uwe na kiongozi bora au uwe na democracy unge chagua nini? Tumia akili
Huna hoja
 
CCM ni zaidi ya viongozi wake wasiofuata maadili.

Au unataka kulazimisha CCM yote haina watu wenye maadili?
Nitajie wanaccm wenye maadili na uyaweke hapa hayo maadili yao
 
Back
Top Bottom