Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge...
4 Reactions
63 Replies
5K Views
Hii scene ilipangwa tu 1. Kwanza unakamatwa kwa purukushani na inadondoka begi lenye vitambulisho wala si simu wala kingine! Ni ili watu watambue katekwa Nani 2. ⁠Millard Ayo anafanya coverage...
17 Reactions
37 Replies
3K Views
Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob maarufu Boni Yai amekwaa kisiki baada ya Mahakama Kuu kumkatalia maombi yake kupinga amri ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu! Hekaheka zinazidi kuendelea katika kipindi hichi cha uchaguzi. Naona watu wasiojulikana wamehamia CCM mbona kazi ipo =================== Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Itumba...
12 Reactions
108 Replies
6K Views
Kwa ukubwa wa Tanzania, tumechelewa sana kwenye secta ya anga. Hadi 2015 tulikuwa bado tunatumia rada za majirani zetu na tulikuwa tuna kiwanja kimoja tuu chenye hadhi ya kimataifa. Kwa sasa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Matukio ya utekaji bado tishio nchini Utekaji na mauaji yanayoendelea nchini yameendelea kuwa changamoto kubwa, huku vyombo vya usalama vikionekana kushindwa kubaini kwa haraka wahusika wa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa ubakaji wa demokrasia wa kitoto tusingangae kuwekekwa vikwazo kama nchi. Kuna wanaosema tusijali lakini ukweli ni kwamba nchi yetu inategemea sana watalii ambao wanatoa hizo nchi. Utalii...
0 Reactions
1 Replies
383 Views
Hii nchi imejaa ujinga sana, yaani Dailly ukiamka ni ujinga, Ukisema utembeee mtaani ni ujinga wa Yanga na Simb, Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii huko ndio kumejaaa ujinga mtupu na natangazo ya...
20 Reactions
82 Replies
3K Views
Uimara na umadhubuti wa CCM, chini ya mwenyekiti wa chama na mkuu wa nchi mwanamke ndiyo hasa msingi mkuu wa amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania. CCM ndicho chama kilichobeba...
3 Reactions
69 Replies
2K Views
Hivi Mungu wakati anamuumba Lucas Mwashambwa alikuwa amegombana na nani?
3 Reactions
0 Replies
179 Views
Connecting dots.. Kama kuna wanasiasa nchini walioisanua ishu ya ADANI kupewa kitengo cha makontena bandarini, basi ni Abdul Nondo. Wakati ule sisi tukiwa busy na ishu ya bandari (kubwa)...
10 Reactions
16 Replies
1K Views
Serikali na Mamlaka ya Bandari (TPA) iweke wazi kuhusu mahusiano ya Adani Group na TICTS ya Karamagi (Under Hutchinson Port Holding). Abdul Nondo. Miezi sita sasa tangu serikali imalize mkataba...
11 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake...
10 Reactions
113 Replies
10K Views
Mwenyekiti wa UVCCM Mohammed Kawaida kupitia mtandao wa Instagram akijibu post ya Twaha Mwaipaya ambaye alichapisha video iliyorekodiwa katika eneo la Kiluvya Madukani jijini Dar es salaam ambapo...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu ameshangaa Watawala wanamhofia nini Dogo Abdul Nondo Sugu amesema ana wasiwasi na uraia wa Watekaji kwa sababu kuteka, Kuumiza na...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
JIBU Tabia ya kuharibu uchaguzi, kuiba kura na tabia ya kutekana, italeta umafia wa kuuana, mgawanyiko katika nchi na vurugu za kiitikadi miongoni mwa raia, kisha vurugu za kiitikadi miongoni mwa...
0 Reactions
7 Replies
543 Views
Viongozi wa juu CHADEMA wana ulinzi wa aina 3. 1. Ulinzi kwasababu jumuia za kimataifa wanawafahamu. Si rahisi kumuua kiongozi wa mkuu wa chama cha upinzani kwakuwa wauaji nao wanahitaji misaada...
0 Reactions
10 Replies
770 Views
Nchi hii kuna matusi kweli... Nauliza kwa hasira kabisa, ni nani katoa kauli kuwa Rais hawezi toka Kaskazini...!? Yeye ni nani nchi hii..!? Ana madaraka gani..!? Hata baba wa Taifa, Mwl...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakuu, Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu. Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za...
24 Reactions
194 Replies
6K Views
Najua 90% ya wale great thinkers wa serikali huwa wanakuja JF kuchukua madini na kwenda kuyatumia. Hivyo ningependa kutoa Mawazo yangu haya Kwa njia yenye kuleta maana na sio bila Mpangilio...
12 Reactions
85 Replies
3K Views
Back
Top Bottom