Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TAARIFA KWA UMMA UZINDUZI WA MIFUMO NA KIFURUSHI CHA TOTO AFYA KADI (TAK) Desemba 06, 2024, Dodoma 1. Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama (Mb) anatarajia kuzindua Mfumo wa uandikishaji Wanachama...
3 Reactions
1 Replies
596 Views
Wakuu, Mwanaharakati na mwanamitandao maarufu nchini Martin Maranja Masese amedokeza Wakili maarufu Tanzania Peter anashikiliwa na Jeshi La Polisi. Wakili Madeleka anashikiliwa na Central Police...
6 Reactions
46 Replies
4K Views
Hii ndio Taarifa inayosambaa kwa sasa , kwamba Robert Gabriel ambaye ni RC wa Mwanza amefanya fitna ili Mwandishi wa Habari Mabere Makubi aondolewe ITV , Taarifa zinadokeza kwamba Mtukufu Mkuu wa...
19 Reactions
76 Replies
10K Views
Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lema ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Tanzania huenda ndio nchi Pekee ambayo Wazee ndio wanapigania Taifa/ Wazee ndio wana uchunhu na nchi, wazee ndio wanao umia kuona ncji inaelekea kusiko, Huku vijana wakiwa nyuma ya keybord au...
3 Reactions
12 Replies
932 Views
Tumemsikia waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Sinde Warioba, hakufurahishwa na mazonge yaliyofanywa na ccm ktk uchaguzi wa S/MITAA. Na akenda mbali zaidi aklaani tabia ya ccm kutumia vyombo vya dola...
0 Reactions
9 Replies
867 Views
Nitashanga na nitajiuliza mara kujiuliza kama kuna mwana ccm au mtu yeyote atamjibu Mzee Warioba. Swali langu moja tu hamjiulizi JPM yupo wapi na aloe mjibu wazee wanawashwa washwa yupo wapi Alie...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Polepole na Bashiru ni kundi la yule aliyekata moto, na halikumtaka SSH achukue uongozi. Polepole katika kumhami kaka yake, kamitumia Warioba aliyekuwa naye Tume ya Katiba ili atoe kauli ya...
8 Reactions
92 Replies
5K Views
Wakuu, Kuhusu sakata la kupigwa kwa viongozi wa TRA waliodhaniwa kuwa ni watekaji, Jumanne Muliro ambaye ni Mkuu wa Polisi Dar Es Salaam amesema: "Nakemea vikali tabia hiyo na tabia hiyo...
6 Reactions
88 Replies
6K Views
Wanabodi, Baada ya pilikapilika za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendelea na zoezi imeendelea na mchakato wake wa kuboresha daftari la kudumu la mpiga kura Makamu...
0 Reactions
5 Replies
664 Views
Wananchi wa kitongoji cha NKENE,kijiji cha MAGULYATI,kata ya LOYA wilaya ya UYUI mkoani TABORA wamesema sababu za kumpigia kura za Hapana aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uwenyekiti wa kitongoji...
0 Reactions
0 Replies
471 Views
KATIBU wa Halmashauri Kuu ( NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho hakicheki na mtu katika kushika dola na katika uchaguzi wa...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Dionis Myinga ambaye pia ndiye aliyekuwa Msimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa wilayani humo amesema kuwa aliyekuwa...
1 Reactions
0 Replies
554 Views
Wanajamvi salaam Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa, Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Hadi sasa tunao Joshua Nassari, Ambrose Lijualikali na Dr Mashinji Sisemi kwa uhakika ila ni kama wanahujumu Serikali na Chama Unapomfukuza shule mtoto kisa baba yake ni mpinzani Wewe lazima uwe...
13 Reactions
65 Replies
3K Views
Waziri wa Fedha Dr Mwigulu amewalaani Wananchi waliowashambulia watumishi wa TRA wakati wakitekeleza majukumu yao Dr Mwigulu ametaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya wahalifu hao wa Tegeta kwa ndevu.
5 Reactions
39 Replies
2K Views
WABUNGE wameishauri serikali kutosikiliza maneno ya watu wa mtandaoni kuhusu ushirikiano wa Serikali za Tanzania na Dubai katika makubaliano ya uwekezaji kwenye bandari zilizopo nchini (IGA) kwa...
2 Reactions
209 Replies
12K Views
Sina haja ya maneno mengi. Polisi wanafanya kila kitu kwa maelekezo toka juu.
4 Reactions
16 Replies
902 Views
Hapa waziri hujaonyesha utu kabisa ina maana mpaka washambuliwe TRA ndio utoe pole. Angalizo: TRA wanavizia hata mtu akiwa na mkate wanamvamia na kudai risti hii sio poa yale magari na mafuta ni...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Sasa Bwana Chenge tunajua Mahakama imekusaidia sana kwa kuwa ilikutaka ulipe laki saba au uende ndani miaka mitatu nawe ukalipa laki saba kama vile mtu anavyolipa nauli ya Daladala. Lakini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom