Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

My Take Kwa Tanzania mwenye pesa na mwanasiasa Huwa hafungwi. ====== Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na Mahakama ya Wilaya ya Moshi, zimeamuru kutaifishwa magari mawili yaliyokamatwa...
4 Reactions
80 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa hadhara Kilwa Kusini uliokuwa uhutubiwe na Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy. Katazo hili ni mwendelezo tu wa jeshi hilo kukubali Kutumika Kisiasa...
0 Reactions
0 Replies
426 Views
Nimeona watu wengi wameanza kujitokeza kumjibu Jaji Warioba, ni jambo jema kwa Sababu ni haki yao ya Kikatiba Sasa kabla ya kukurupuka Soma kwanza 2 Mambo ya Nyakati 1:7-12 itakusaidia sana kwa...
4 Reactions
15 Replies
811 Views
Mkutano wa hadhara wa Chama cha ACT Wazalendo uliotarajiwa kuhutubiwa na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu ambao ulipangwa kufanyika katika viwanja vya Maalim Seif Garden, Kilwa Kivinje, mkoani...
0 Reactions
3 Replies
503 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Taifa la UAE iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE...
0 Reactions
0 Replies
311 Views
Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia. Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi...
17 Reactions
243 Replies
15K Views
Tunapeleka taifa letu wapi? Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana .. Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto... Habari yenyewe...
17 Reactions
213 Replies
11K Views
Maandalizi yanaendelea kumjibu yeye na si kujibu hoja zake. Suala la hoja sidhani kama ni kipaumbele. Ila itabidi ajibiwe hakuna kumwacha hivi hivi. Wapo vijana ambao hawajifikirii mara mbili...
43 Reactions
147 Replies
7K Views
Katika hali ya kushangaza mahakama imetoa hukumu kuwa mzee wa vya vijisenti alipe faini ya laki saba baada ya kukutwa na hatia ikiwemo kugonga,kuua na kuendesha gari bila Bima. Wakati flani...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Ataka uzalendo zaidi sambamba na utekelezaji wa Ilani ya CCM Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela, amewataka wanachama wa Chama Cha...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Mara kadhaa linapotokea tukio la utekaji bila ya uwepo wa ushahidi wa Video Polisi wamekuwa wakisema wahusika ni watu wasiojulikana mfano Tukio la mzee Kibao, Abdul Nondo na wengine wahusika...
1 Reactions
5 Replies
583 Views
Wakuu, Nina swali,Je Jaji warioba ana hisa katika Kampuni ya Celtel? There is a story I have here mpaka naanza kuogopa. Inasemekana alikuwa ni mmoja wa watu wa kwanza kuwa wajumbe wa Bodi ya...
3 Reactions
102 Replies
13K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Mohammedi Kawaida .Kwa uchungu,maumivu,simanzi ,majonzi na huzuni isiyopimika wala kuelezeka. Ameshiriki na kuhusika katika shughuli zote...
4 Reactions
68 Replies
4K Views
Kuna namna tulikosea katika mchakato wakuandaa viongozi. Wakina Mzee Warioba walipoamua kujiweka kando baada ya mwalimu kung'atuka ilikuwa kosa kubwa sana. Nchi haikuhitaji urais wa majaribio...
2 Reactions
3 Replies
437 Views
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mangula, Halmashauri ya Mji wa Makambako, Sunday Chungwa, kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameahidi kushirikiana kwa karibu na wananchi wa mtaa...
0 Reactions
0 Replies
351 Views
Tegeta kwa Ndevu jijini DSM. Watu waliojitanbulisha kuwa ni maafisa wa TRA wakiwa kwenye gari aina ya Toyota Landcruizer, wameblock gari binafsi aina ya BMW X6 yenye namba za usajili T 229 DHZ na...
0 Reactions
5 Replies
690 Views
Aiseee ukisikia top down effect ndiyo hii. Kinachofanyika juu kinashuka na kuigwa chini, WE ARE DOOMED, it is just a matter of time TUNAENDA KUSAMBARATIKA KABISA, Angalia hii video kwa makini...
32 Reactions
390 Replies
49K Views
Wakati Mchengerwa anatoa taarifa ya matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa alisema kati ya wagombea wa waliopitishwa bila kupingwa ni wangapi walishinda kwa kupigiwa kura nyingi za NDIYO na...
0 Reactions
1 Replies
387 Views
Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka...
4 Reactions
36 Replies
5K Views
Huenda uteuzi wa Waziri wa Ardhi, Angelina Mabula ukatenguliwa wakati wowote kuanzia sasa kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa mgongano wa kimaslahi kutokana na uamuzi wake wa kusitisha utoaji wa...
14 Reactions
62 Replies
7K Views
Back
Top Bottom