Salaam Wakuu,
Nasikitikia Nchi yangu Tanzania. Nadhani na hii ndo sabababu hatuendelei.
Suzani Kaganda aliteuliwa kuwa Commissioner for Administration and Human Resources of Police badala ya...
Tindu Lissu na zile kampuni za Tigo ya zamani na wamiliki ni muda tu kabla ya kukubaliana kiasi gani wamlipe.
Mjadala unao endelea sasa ni mgawanyo kati ya Lissu na mawakili wake kwa mara nyingi...
Naaaaaam naona kila MTU atafikiwa Tu. Ni suala la Muda Tu. Hapa ni Tanzania Prisons wakiwa wamezuiliwa Iringa kwa kosa la Overspeeding, normal speed ilitakiwa iwe 80km/HR yeye kaendesha kwa...
Japo sikuwa nimezaliwa, lakini kupitia vitabu nimefahamu kuwa tarehe kama ya leo ndiyo siku nchi yetu ya Tanganyika ilipata uhuru toka kwa mkoloni mweupe!
Kwa furaha kabisa nawatakia Watanganyika...
Itokee siku moja Rais aende uwanja wa Taifa ili kukusanya maoni ya Watanzania juu ya mustakabali wa Taifa lao.
Kutwa nzima tujadili ni namna gani umaskini na ufukara ukomeshwe.
Tujadili ni namna...
Kwanza tupongezane sote kwa siku hii ambayo ni kumbukizi ya Uhuru ambao wapendwa wetu walipambana kwa jasho na damu mpaka leo hii tunajitawala na kuyaendesha mambo yetu kwa utashi na uhuru kabisa...
Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo Taifa, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema ACT Wazalendo haitakubali Zanzibar kufanyika kura ya siku mbili.
Mheshimiwa Othman, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza...
Tunaposema huu MUUNGANO ni wa hovyo ni pamoja na KUIUA NCHI ya TANGANYIKA Nchi ambayo tulipewa na MWENYEZI MUNGU Nchi ambayo kila RASLIMALI tulipewa na Laana ya kuiua ndio huo UMASIKINI wa Watu...
Mimi sio Mwanasiasa na Wala sio mtu mwenye Jina kubwa ktk hii Nchi Yenye Watu wakuu na Waliomaalumu sana.
Nimetazama Umuhimu wa Raia ktk Hii, Nchi, nimeona Uthamani wa Raia ni mdogo sana...
Wadau nawasalimu.Leo ni tarehe 9 Desemba 2023 Miaka 62 toka Nchi yetu ipatiwe Uhuru wake kutoka kwa Mwingereza.
Kilichonishangaza ni kusikia kuwa Eti Leo ni Miaka 62 ya Uhuru wa TANZANIA BARA...
Hospital ya Mawenzi, Kilimanjaro, kumekuwepo na juhudi za wananchi kufanya usafi katika hospitali ya eneo hilo. Hatua hii inatokana na sababu kadhaa zinazohusiana na hali ya usafi wa hospitali...
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza...
Nimeona mjadala mahali watu wakibishana kuwa leo ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika, nami nimeona kwa manufaa ya wengi nishiriki mjadala huu kwa kutoa mchango wangu wa mawazo.
Siku ya Uhuru Ina...
Jamani mimi sijui ni mshamba au ninamaarifa kidogo, huwa napata sana shida kuona kiongozi mkubwa kama Tulia Acksoni, Spika wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, na spika wa Dunia, mtu anae ongoza...
Wanabodi,
Tukiwa tunajiandaa kwa uchaguzi Mkuu wa rais mwakani huku kuna chama kimoja tayari kinayemgombea wake Mwanamke kwa utaratibu wao wa kichama ndani ya chama chao, huku kuna Wahafidhina wa...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ametangaza kuwa Disemba 09, 2024 wakati Tanzania itakapokuwa inaadhimisha Miaka 63 ya Uhuru, Mkoani Arusha kutafanyika Kongamano kubwa la maombi la...
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Changamoto, Mafanikio, na Mustakabali wa Demokrasia Yetu
Novemba 27, 2024, Watanzania walishiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa lengo la kuchagua...
Hizi comments hapa chini zimenitisha sana na zinaatoa picha halisi ya jinsi utawala wa CCM unavyochukiwa nchi hii. Sijui huo ushindi wa 99% kwenye chaguzi unatoka wapi!
Chuki ya wananchi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.