Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Wakati mataifa mengine yakijikita katika tafiti mbalimbali na kuwekeza katika miradi ya kimaendeleo, Makonda siku ya leo amekusanya maelfu ya wananchi na kuanza kukemea roho chafu...
5 Reactions
15 Replies
564 Views
Sehemu yoyote ukihubiriwa kuwa kuna amani, inahitajika kupimwe amani ile imeleta nini kama ambavyo vita huleta hasara basi amani nayo lazima ipimwe kuwa imeleta maendeleo kiasi gani.. Ikiwa muda...
8 Reactions
28 Replies
1K Views
Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safarini kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa? Ni haki yetu wananchi...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu, Makubwa! ==== Mkuu wa Wilaya ya Babati, Emmanuela Kaganda ametoa maagizo kwa taasisi zote za serikali ambazo hazijahudhuria kwenye sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania...
1 Reactions
10 Replies
867 Views
Inawezekana ni Kweli Chadema huwa wanaanza na Mungu na kumaliza na Mungu Maana wangekuwa na ushirikina nadhani Mdude angekuwa na cheo kikubwa sana na yule Mshana Jr wa Msata Kwako Lucas...
2 Reactions
18 Replies
523 Views
Aliyekuwa Katibu wa (UVCCM) mkoa wa Kigoma ambaye kwasasa amehamishiwa wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Agustino Matefu amesema kuwa atamburuza mahakamani mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama...
2 Reactions
99 Replies
14K Views
Sintashangaa kwamba katika maraisi wote wa Tanzania, Raisi Samia atakuwa anashikilia rekodi ya kuteua na kutumbua, na kama bado hashikilii hiyo rekodi, basi ataishikilia hivi punde, na huenda...
9 Reactions
53 Replies
2K Views
Kuweni wastahimilivu na wenye subra ikiwa hoja, mitazamo, maoni na fikra tunduizi za wadau kwenye masuala mbalimbali ni nzito, za maana na muhimu zaidi ya mawazo, maoni au mitazamo yenu ambayo...
3 Reactions
72 Replies
2K Views
Wanabodi, Ile Amri ya Rais Kuifuta Sikukuu ya Uhuru ni hii hapa na Amri Hiyo Haikutaja Sababu yoyote ya msingi ya kuifuta siku hiyo, wala haijataja kuwa watu watatakiwa kufanya usafi kwa...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Ujumbe wa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda kwa Madiwani wa Mkoa wa Arusha. "Huwa na waambia viongozi wangu wa hapa, sitaki diwani masikini’ hatutaki diwani masikini tafuteni hela hata tukija...
1 Reactions
6 Replies
567 Views
Hawa makada wameishia wapi na watakuwa wapi na upande gani kwenye uchakachuaji ujao mwakani?
1 Reactions
9 Replies
719 Views
Naona kama hakuna makala sheheni ambazo zitaelezea hali ya nchi tangu uhuru zilizoandaliwa na kila Wizara/Idara ili kutanua wigo wa ufahamu wa jamii ya sasa. Hata kama zipo, basi kuna taasisi...
1 Reactions
11 Replies
591 Views
Ikiwa Leo tunatimiza miaka 63 tokea tupate uhuru wa Kisiasa mnamo tarehe 9. 12. 1961, na Bado Taifa Lina changamoto kubwa juu ya uhuru huo ikiwa imesalia miaka 37 tu kufikia karne Moja. Kwa maono...
0 Reactions
3 Replies
364 Views
Siku chache baada ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji hapa nchini, viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) tawi la Mtambani kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo mkoani...
0 Reactions
7 Replies
847 Views
Bendera yetu halisi. Ndugu zangu. Maamuzi ya Rais Samia kufuta sherehe za uhuru wa Tanzania ni sahihi kwa wakati huu tunapoelekea kupata katiba mpya na bora. Tanzania haikupata uhuru wake...
4 Reactions
7 Replies
917 Views
Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU. Wale wote...
23 Reactions
104 Replies
7K Views
Nimeibusu Ardhi ya Tanganyika kuadhimisha kumbukumbu la Uhuru wetu RIP Shujaa Chifu Mkwawa RIP Mwalimu Nyerere RIP Shujaa Magufuli
1 Reactions
3 Replies
297 Views
huyu anaenda kupigizana kelele na akina Stive Mingele, akina Kingwendu, Bambo, wanamichezo kama akina Mkude na wengineo . Akina Shilole, ,sijui nani na nani. Msomi ambaye alipaswa arudi Chuo...
9 Reactions
64 Replies
4K Views
Wakuu, Inaonekana mambo yanazidi kutokota ndani vya CHADEMA kadri siku zinavyozidi kwenda. Hivi karibuni, Dk. Slaa ameonyesha kukerwa na ukimya wa CHADEMA kuhusu tuhuma za rushwa zilizotolewa...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Tanzania tujiandae na vuguvugu kubwa sana miaka 3 ijayo. CCM Mama Samia kaamua kuwafuata wenye siasa kali na wanao amini wizi wa kura na matumizi ya Polisi kwenye chaguzi. Upinzani wale wanaopenda...
2 Reactions
6 Replies
467 Views
Back
Top Bottom