Kumekuwa na nadharia nyingi sana kuelekea 2025 ndani ya chama 5 tena, kitaifa katiba ibadilishwe kuwe na tume huru ya uchaguzi tupate mtu kutoka nje ya mfumo wa CCM.
Nimekuwa nikizungumza na watu...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo Tanzania na Dunia nzima imeshuhudia maandamano na matembezi makubwa sana ya amani kuwahi kushuhudiwa kanda ya kaskazini yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mwamba...
Ulizeni gharama za matibabu Muhimbili zilivyo kisha mlinganishe na Hospitali za mitaani mtaona kuwa hali ni mbaya sana. Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa sasa imekuwa ya kibiashara zaidi na si...
Mhe Waziri Mkuu, juzi nilikusikia ukisema maadhimisho ya sherehe za miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara zitaadhimishwa ngazi ya mkoa na Wilaya.
Hata hivyo leo nimemsikia mkuu wa Wilaya ya Moshi...
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho Duniani kote inaeleza kwamba Mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe
Bali Taarifa zingine za siri ambazo Mwandishi huyu amedokezwa ni...
Ni Bora tubakie na chama kimoja ili tupate umakini katika kuchagua aina ya viongozi, hii attention inayopewa mfumo wa vyama vingi, inaondoa mkazo kwenye kuchakata aina za viongozi tunaowachagua...
MTAMBUE SHEMSA MOHAMED M/KITI CCM MKOA WA SIMIYU KATIKA MEZA YA VIONGOZI MASHUHURI WA KISIASA DUNIANI
Ameandika Comrade Msauzii (0769086992)
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa...
Leo, Tanganyika aka danganyika, na hata Zenj zinasherehekea siku ya uhuru. Kwa uchakachuajin uchaguzi, utekaji, mauaji, ufisadi, uchaawa, ubabaishaji, maisha magumu kwa walio wengi na mazabe...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa...
Wakuu,
Siku ya leo, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) Boniface Mwabukusi ameweka chapisho hili katika mtandao wa X kama sehemu ya kuadhimisha miaka 63 ya...
1. Umesema polisi wamekuwa wana siasa na kuegemea upande wa CCM. Wanajiingiza katika siasa.
.2. Umewalaumu DED kuvuruga uchaguzi
3. Umekemea kutokuwepo na tume huru ya uchaguzi
4. Na mengin...
Mahojiano yake na mwanahabari katika kituo kimoja maarufu cha television nchini yamethibitisha uoga na unyonge wa huyu muungwana katika kupambana na kudhibiti rushwa ndani ya chama chake mwenyewe...
Huyu mwandishi alikuwa ndani ya Vatican,kwa siri alizoziona ndani, akatoa kitabu kilichouza sana na kupata umaarufu mkubwa!
Alitoa nukuu zifuatazo kama tahadhari kuhusu watu aina ya Makonda na...
Mh. Lissu wewe mwenyewe unaelewa kuwa ukiwa mwenyekiti wa chama inakunyima nafasi ya kuwa mgombea nafasi ya Urais. Wafuasi wengi hawaelewi hilo. Ombi langu kwako, badili upepo wa kisiasa ndani ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ametoa hotuba yenye hisia kali sana ,iliyowagusa watu wengi sana. Ni hotuba ya kihistoria yenye kuonyesha namna Tanzania tulivyo bahatika kuwa na kiongozi...
▪️Ni watoto walioachwa na Mama Mzazi aliyefariki kwa kufunikwa na kifusi
▪️Viongozi wa Dini wamshukuru kwa upendo na moyo wa kujitolea
▪️Aahidi kuwasomesha na kuendelea kuwahudumia watoto hao...
Tunaposheherekea miaka 63 ya Uhuru ni vyema kama Taifa kutafakari katika maeneo kadhaa ambayo ni muhimu.
1-Tanganyika ilipata uhuru bila kumwaga damu yaani vita.
2-Kupitia Waasisi wetu hususani...
Ni kwa nini duniani kote inajulikana kuwa Bara la Afrika ni sehemu ya kwenda kuiba au kuchukua vitu pasipo na wenyeji wake kuonyesha kujitetea?
Hii hali inazidi kuwa kubwa kadri siku...
Naona nchi jirani wamesheherekea kwa makongamano na shuhuda mbalimbali huku wakijipongeza walivyomtimua ADANI
Wamesema kuna muhindi mwingine Dr Kamlesh Pattni walimtimua kitambo akakumbilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.