Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Nimeisikiliza Press Conference ya Mwenezi wa Chadema, Brenda Rupia. Amemuita Mwenezi wa CCM, Kenan Kikaragosi badala ya Kenan Kihongosi, nikaona kauli hiyo inatakiwa kufanyiwa PNA...
4 Reactions
59 Replies
1K Views
Wabunge wa CCM wanajua kuperemba kweli. Tangu atunukiwe shahada za heshima za udaktari, sasa kila sentensi inaanza na kuishia kwa 'Daktari Mbobevu Samia'. Heshima ipo, lakini shobo nayo imezidi...
1 Reactions
9 Replies
165 Views
Kuna habari nimeona ya watu wa sinza wanalalamika hawapewi ushirikiano juu ya mradi wa maendeleo wa sinza uliopendekezwa wa kuboresha eneo la sinza binafsi umenifikirisha sana Plus mwezi wa nne...
3 Reactions
50 Replies
417 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa na kile kilichokiita ni mipango ya siri inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yenye lengo la kuhamasisha vurugu nchini kupitia...
1 Reactions
26 Replies
826 Views
Tanganyika ndani ya Tanzania sasa imeshakuwa kichwa cha mwenda wazimu. Kila Mzanzibari anajifunza kunyoa Tanganyika, na hili ni kero inyoweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mustakabali wa Tanganyika...
7 Reactions
15 Replies
308 Views
Kero si kitu kizuri maishani. Kero za kisiasa ndiyo mbaya zaidi. Sasa hivi Awamu hii imechukulia Muungano kuwa poa maana kuna mengi yanatokea 1. Bandari ya DSM imekodishwa kwa DP World, Bandari...
13 Reactions
68 Replies
869 Views
Salama comrades? Nimeiona thread hii: Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito, aliyeandika naona hajui historia yangu. Ni vema kuweka rekodi sawa: Kwanza anasema nilikuwa nanaitwa...
148 Reactions
1K Replies
174K Views
https://www.youtube.com/watch?v=1DWPVZLDxLk
0 Reactions
1 Replies
128 Views
Magari ya umeme ndio future ya usafiri ilipangwa kwa sasa; hata wanaozalisha magari wengi wao wanaweka 'hybrid systems' ili hayo magari yaweze kutumika hata pale magari yenye sumu ya moshi...
24 Reactions
214 Replies
31K Views
Miji ni michafu sana, biashara kila sehemu kila aina. Shagalabagala kila kona kasoro Ikulu tu. CCM wanadhani kwa kufanya hivi itaepuka lawama la wananchi kumbe ndio inabeba lawama. Raia mwenye...
1 Reactions
5 Replies
160 Views
Ofisi ya DAWASA Mbagala Rangitatu imeshindwa kwa makusudi kuwapatia maji wakazi wa Mbagala, ni nusu mwaka sasa wakazi wamekuwa katika mgao wa kupata maji mara moja kwa wiki! Mbagala inapata maji...
2 Reactions
6 Replies
174 Views
Rais Donald Trump ametangaza kuingia mkataba wa amani na Iran. Amefanya hivyo kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwake? Je, mkataba huu utafuatwa au kuvunjwa kama ilivyokuwa huko Gaza ambapo...
1 Reactions
23 Replies
395 Views
  • Redirect
Sikiliza
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Sheikh anatoa nasaaha nzito akitaka kuwepo kwa uwazi kabisa kuhusu mambo ya Muungano ili kuondoa migogoro na migawanyiko kati ya wananchi wa Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar. Anatoa wito wa...
0 Reactions
Replies
Views
Hili ni suala la msingi sana ambalo linatakiwa kupatiwa majibu. Wamepotea watu ambao kama taifa watu wanahuzuni kubwa sana. Humphrey Poleole, Azory Gwanda na wengine wengi wanahuzunisha taifa kwa...
2 Reactions
2 Replies
150 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha ajaye. Inasemekana Wizara haiwezi kwenda bila huyu. Inasemekana bila huyu Waziri wa fedha Mzanzibari hawezitoboa.
7 Reactions
21 Replies
725 Views
Napendekeza pasiwepo na huruma, aibu wala kumuonea haya yeyote yule atakae thubutu au kujitia kimbelembele kujaribu kuvuruga amani au kutatiza shughuli za uzalishaji za waTanzania kote nchini...
1 Reactions
4 Replies
158 Views
Andrew Nyerere ambaye ni Mtoto wa Mwalimu Nyerere anaeleza haya kupitia akaunti yake ya Facebook -- Hapa nadhani kuna fundamental ignorance kuhusu matatizo yanayotukabili. Fundamental ignorance...
5 Reactions
19 Replies
514 Views
Anonymous
Tunaomba JamiiForums itusaidie kupaza sauti zetu kwa TAKUKURU ili ichunguze tuhuma za rushwa katika Ofisi za Ardhi, Arusha. Wananchi wengi wanakumbana na changamoto kubwa wanapohitaji hati za...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…